Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Ndugu yangu Mwakiembe pole sana ni harakati zako pale uwanja wa ndege wa JKNIA ndizo zilizokuponza, wewe bila kujua uligusa maslahi za watu,mtandao wa wauza unga ni mkubwa sana unaanzia shamba(pakstani) ,china hadi brazil, sasa juhudi zako ziliutikisa mtandao huo ndio maana wamekushughulikia, huoni Mzee alisema ana majina ya wauza unga lakini hajawataja hadi leo. Huoni Amina Chifupa walivyomfanya.
Sasa unaenda kukaakijiweni, maana hiyo wizara uliyonda ni kijiwe no moja. Muulize mwenzio Sitta alimanda mpaka fegi akawa anagongea.
nadhani chini ya uongozi wake wafanyakazi wengi sana wamefukuzwa but hajui pale tazara kuna watu hawajalipwa mshahara miezi 6 na wanaamuliwa warudi kuendesha mitreni yao hiyo.hivi ukimkuta mfanyakazi wa aina hiyo anakwiba mafuta utamfukuza kweli?