Mwakiembe uwanja wa ndege umekuponza

Mwakiembe uwanja wa ndege umekuponza

Umekerwa na madawa ya kulevya au hiyo wizara?

Huyo aliyeanzisha topiki. Amekunywa viroba, halafu akaanzisha topiki isiyo na kichwa wala miguu. Kwa sababu halipi VAT, yupo free kuandika utumbo kadri anavyojisikia. Ndio demokrasia hiyo.
 
Halafu we huwa nakumaind, unapenda sana kuropoka mambo bila kuwa na facts! We utakuwa sio mtanzania wewe, ovyo kabisa!

Hasiye raia ni wazazi wako hivyo kutoa mwanya kwa uhamiaji kudeal na wewe
 
Mpwa sio kweli. Aligusa. Mboniyamaisha yawatu hasa majuzi alipotangaza atahakikisha mabehewayanaponaharaka nakuanzisha safari za mikoani,,alioopoaribu zaidi ni kusema malori yotee yamizigo tutakaanayo tuangalie pale treni inapoishia na wao waanziehapo kupeleka mizigo...wakuu wangu malori mengi yanayobeba mizigo ni memaya nchi ya wakubwa sana nahisi wamemuheshimu hata kumpeleka huko ukweli walimkasirikia wenginaawwkutaka. Kumwonatena. Uongozini
 
Mpwa sio kweli. Aligusa. Mboniyamaisha yawatu hasa majuzi alipotangaza atahakikisha mabehewayanaponaharaka nakuanzisha safari za mikoani,,alioopoaribu zaidi ni kusema malori yotee yamizigo tutakaanayo tuangalie pale treni inapoishia na wao waanziehapo kupeleka mizigo...wakuu wangu malori mengi yanayobeba mizigo ni memaya nchi ya wakubwa sana nahisi wamemuheshimu hata kumpeleka huko ukweli walimkasirikia wenginaawwkutaka. Kumwonatena. Uongozini
This is true PDidy. Watu wengi wanashindwa kuelewa umuhimu wa zile statements alizotoa majuzi kuhusu treni na malori. Kuna issue kubwa sana inayohusiana na monopolization ya biashara ya malori pale bandarini. Mwulize mtu yeyote atakuambia jinsi wafanya biashara wa malori wanavyonyimwa riziki pale bandarini shauri ya ku favour malori ya mtu mmoja tu Anayejulikana. Bandari imekuwa kama bandari ya New Jersey zamani enzi za Mobsters kule Marekani. Mwakyembe knows this history na alikuwa na lengo la kuiondoa hii cancer kabla haijaweka mizizi. It has to be removed. Unfortunately he lost the fight, but time will come.
 
Sosad mpwa niliwaambia jamaa baada ya mahojiano yangu macho.....
 
Kusema kweli Wizara ya Afrika Mashariki ilihitaji sana kiongozi mwenye sifa ya uchapa kazi, kwa sababu Sitta alilala sana.
Kama kisa ni dawa za kulevya, bado Mwakyembe ana nafasi kwani kiasi kikubwa cha dawa za kulevya kinachotumika na kukamatwa nchini hupitia Kenya.
Na ndio maana mkoa wa Tanga unaongoza nchini kwa kupitishia dawa za kulevya ambazo ndizo hizo zinazoshushwa kwenye bandari ya Pwani huko Mombasa.
Ova
 
Kuamishwa wizara Lazima kuna kitu kakosea,anaenda kusoma magazeti sasa
 
Nimesikitika na kushangaa sana mwakyembe kuondoshwa uchukuzi...sijui taifa linaelekea wapi..mtu akiwa zuzu ndo anaekwa kwenye wizara nyeti...ukionekana serious na kazi unatolewa
 
Viongozi wengi wa Tanzania hawaipendi Tanzania ndio maana wanafanya mambo yanayoiharibu kabisa
 
Huyo mwakiembe hamna kitu nimpenda sifa tu

Umenena. Jamaa hajui abc za uongozi ndiyo maana aliingilia kazi za bodi na management ya mashirika yaliyo chini ya wizara yake. Anasikiliza umbea halafu anafanya maamuzi bila hata kushirikisha bodi ambayo ndiyo msimamizi mkuu wa utendaji kazi wa kila shirika. Kwenye mkutano mmoja na wafanyakazi wa shirika fulani, alimteua pale pale internal auditor kuwa chief finance officer, kazi ambayo siyo ya waziri. Matokeo yake ni mfarakano mkubwa kati ya wafanyakazi na management kwa vile waziri kazi yake ilikuwa ni kuponda manajement bila hata kuwasikiliza. Vile vile uteuzi wake wa wajumbe wa bodi ambacho ndiyo chombo muhimu ktkt usimamizi wa shirika lolote ulikuwa na mushkeli mkubwa. Wengi ambao hawakufuatilia kwa makini utendaji wa kazi wa Mwakyembe wanaona kama JK amechemsha, kumbe sivyo hata kidogo.
 
Mwakiembe amabadilishwa kwa sababu ya sembe airport na bandarini alivyokuwa anafanya kazi vizuri,sitta hawezi hiyo wizara hata kidogo asifikiri hiyo wizara n bunge lenye wabunge 375.hataiweza kabisa
 
Hivi kafanya nini huyu jamaa kwenye uchukuz zaidi ya misifa tu
 
Pole mhe. Watu wanaweza kusema wanatetea Nchi kwa Maneno ukianza matendo unapigwa chini...
cheza Kama mista clean Membe hafanyi maamuzi hata matatu aliyopiga ilikuwa tujitoe East Africa au tuwapige Malawi.......
Au unakuwa kimya....ila usijali mtakutana Naye Huko AR atakupa udhoefu .......ila jiandaeee kisaikolojiaaaa maanaa .
wish all the best Rudisha uhusiano Imara na Kenya na Rwanda.....
 
Back
Top Bottom