kamsongole
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 111
- 15
Wasalaam,
Ndugu zanguni ni mwaka wa saba sasa natafuta kazi bila mafanikio.
Niliomba kazi kila mahali lakini sijafanikiwa. Nikajaribu kuwaomba maboss mbalimbali lakini niliambulia kuombwa rushwa ya -- nikawa nawakimbia. Hapa nilipo hadi hamu ya kutafuta kazi sina maana naona kama napoteza muda. Interview huwa naitwa lakini naishia kwenye written siendi mbali na hapo. Nafasi zenyewe zinakuwa chache lakini mnaitwa watu kibao. Natamani biashara lakini sina hata mtaji.
Maisha yamekuwa magumu mpaka mtaani waliofeli wanasema flani mwenyewe kasoma lakini mbona yupo tuuu. Inaniuma sana. kama kuna mtu anaweza nisaidia angalau nipate hata pa kuamkia nitashukuru sana wapendwa. Naishi Dar na nimesoma kozi ya social protection frm IFM.
Nisaidieni jamani.