Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
SOCIAL PROTECTION mmh
Wasalaam,
Ndugu zanguni ni mwaka wa saba sasa natafuta kazi bila mafanikio.
Niliomba kazi kila mahali lakini sijafanikiwa. Nikajaribu kuwaomba maboss mbalimbali lakini niliambulia kuombwa rushwa ya -- nikawa nawakimbia. Hapa nilipo hadi hamu ya kutafuta kazi sina maana naona kama napoteza muda. Interview huwa naitwa lakini naishia kwenye written siendi mbali na hapo. Nafasi zenyewe zinakuwa chache lakini mnaitwa watu kibao. Natamani biashara lakini sina hata mtaji.
Maisha yamekuwa magumu mpaka mtaani waliofeli wanasema flani mwenyewe kasoma lakini mbona yupo tuuu. Inaniuma sana. kama kuna mtu anaweza nisaidia angalau nipate hata pa kuamkia nitashukuru sana wapendwa. Naishi Dar na nimesoma kozi ya social protection frm IFM.
Nisaidieni jamani.
Tatizo sio ajira,ila tatizo ni hiyo kozi uliyosoma.
Pole sana hili ni janga la kitaifa juzi juzi nilikutana na jamaa yangu ana miaka tisa tangu amalize chuo hajawahi kupata kazi hadi kazeeka. Muda umefika tuachane na mambo ya kutafuta kazi bali tujiajiri hata kama huna mtaji wazo pekee linatosha.
wape hiyo kuch kuch upate kazi, unawabania maboss na unaachia kwa vifaranga...
Nipe nikupe dada