Mwaka mpya majanga...

Mwaka mpya majanga...

usimdangaje mwenzako alale na sikukuu yote hii? halafu mwaka atauzindua lini? la muhimu apa tujiulize je amekumbuka kutumia tiba? or sorry kinga? oooh god forbid!!!
duuh pole sana,usikute kalalaa
 
usimdangaje mwenzako alale na sikukuu yote hii? halafu mwaka atauzindua lini? la muhimu apa tujiulize je amekumbuka kutumia tiba? or sorry kinga? oooh god forbid!!!

Dah!unazidi kunitia machungu.
 
Ndio suprise zenyewe za mwaka mpya. Kila mtu anafanya kitu cha tofauti ilimradi tu mambo yaende kiupyaupya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom