Mwaka mpya majanga...

Mwaka mpya majanga...

sasa hilo la mwanaume kuanza kuomba simu ndo mwanzo wa majanga,maana anaweza kumwomba mdada wa kaunta afu yule dada akajiokotea kirahisi.

Si arudi nyumbani atumie landline.
 
Kumbe kweli bado upo macho mpaka mida hii,pole uwe na amani, atarudi tu,hayo ni
mambo ya kusherekea mwaka mpya huenda yuko sehemu yenye kelele,na ukizingatia haupo nyumbani,labda anaona akirudi mapema ataboreka,na unajua sehemu nyingine hazina saa za ukutani hivyo akajikuta amechelewa.
 
Dah...Roho inaniuma sana.
Unajiumiza bure roho yako daima think positive na tarajia yaliyo mema sasa hii mambo ya kuunda makitu ya kuumiza halafu yanakuumiza mwenyewe si njema aisee. Acha kufikiia mabaya na kuwa mpole mpaka utakapopewa maelezo iwapo nayo utayaomba kwa upole na unyenyekevu . Kumbuka hasira siku zote ni hasara.
 
I hope iwe hivyo...
 
Nimekuelewa mpenzi...Labda kweli ana sababu za msingi...
 
Si arudi nyumbani atumie landline.
atarudi tu uwe na amani,sisehemu zote za starehe zina saa.na kama zipo mara nyingi zinatumika wakati wa kusubiria mwaka,ukishapita basi hakuna anayeangalia saa inategemeana na kampani aliyonayo,hasa ukizingatia wewe haupo nyumbani.
 
Sawa...Ngoja nimsikilizie
 
akipokea uje utupe feedback usisahau kumuuliza maswali ya polisi
 
ah usilalamike sana, si unjua kuchapiwa ni siri ya ndani bhana!
 
Moment of silence please! For a dead marriage!🙁🙁🙁🙁🙁
 
Huu muda ulokuwa jf ungeenda kukaa na mmeo tu, kupanga ni kuchagua.
 
Itakua anacheza bila kukunja got so hajasikia vibration za simu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom