Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
DadnguWee; kwanza hujambo? ... Mbona mapema hivi unaSurrender !! usiSalimu amri chako no chako tu!! Usilaumu Mwaka mpya Mjukumu ya mumeo ni mengi kuliko ujuayo! Bwana akikupa 80% ya wakati wake ni bora kiliko kukosa zote!Ahsante...Mwaka mpya huu umeniijia vibaya
DadnguWee; kwanza hujambo? ... Mbona mapema hivi unaSurrender !! usiSalimu amri chako no chako tu!! Usilaumu Mwaka mpya Mjukumu ya mumeo ni mengi kuliko ujuayo! Bwana akikupa 80% ya wakati wake ni bora kiliko kukosa zote!
kheri mwaka 2014 Good Luck.
God bless you and your family "Subira na uvumilivu" ndiyo utamu wa Uhai !!Mi sijambo kabisa...ahsante sana kwa maneno yako mazuri.
The same to you my dear...
My husband hapokei simu yangu jamanii...Nahisi naibiwa