Mwaka mpya majanga...

Mwaka mpya majanga...

Ahsante...Amenipigia asubuhi hii eti alipitiwa na usingizi.
Inawezekana kweli aisee si unajua mtu kupitiwa tena . Kwa sasa iamini taarifa hiyo mpaka utakapojua vinginevyo.
 
Usijali,niko naye kuna kikao cha ghafla ofisini tunafunga mahesabu ya mwake. Mvumilie hadi kesho kwani kuna mzigo anatakiwa akauchukue usiku huu mwanza yeye na dereva. Kaza moyo shemeji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom