Leo ni mwaka mpya wa kiislamu

Leo ni mwaka mpya wa kiislamu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,231
Reaction score
14,099
Wengi hivi sasa hata wasiokuwa waislam wanajua kwamba leo ni mwaka mpya wa kiislam. Hii ni kutokana na mapumziko ya watu wa Zanzibar kupewa offer ya mapumziko na kufanya watu wengi kufatilia. Kabla ya hapo, mwaka mpya wa kiislam Tanzania ulikua haufatiliwi si kwa waislam au waislam wenyewe..
Hii sawa na kalenda ya wasiokuwa waislam yaani January mosi
 
watajua wenyewe nchi inajiita imeungana wakati kila mmoja ana mambo yake kimsingi hakuna uwiano wala maslahi yoyote watanganyika wanayopata kule zenji zaidi ya hao wachache wenye vijimaslahi uchwara, hicho kinachoitwa muungno ni kiini macho tu wala hakipo.
 
Mbona haihusiani na kilichoongelea
 
Wengi hivi sasa hata wasiokuwa waislam wanajua kwamba leo ni mwaka mpya wa kiislam. Hii ni kutokana na mapumziko ya watu wa Zanzibar kupewa offer ya mapumziko na kufanya watu wengi kufatilia. Kabla ya hapo, mwaka mpya wa kiislam Tanzania ulikua haufatiliwi si kwa waislam au waislam wenyewe..
Hii sawa na kalenda ya wasiokuwa waislam yaani January mosi
Kalenda ya Kiislam inasema leo ni mwaka gani?
Inatofauti gani na mwaka wa Wayahudi? Maana Wayahudi wao wanahesabu toka Adam kuumbwa. Huu wenu umeanzia lini? Maana huwa mnasema Adam alikuwa Muislam😅😅
 
Kalenda ya Kiislam inasema leo ni mwaka gani?
Inatofauti gani na mwaka wa Wayahudi? Maana Wayahudi wao wanahesabu toka Adam kuumbwa. Huu wenu umeanzia lini? Maana huea mnasema Adam alikiwa Muislam😅😅
Wewe unahisi wetu ulianza lini?
 
Mtoa mada kamilisha habari yako:
Ungeandika Kiislamu Leo ni Tarehe Fulani/Mwezi Fulani na Mwaka Fulani/ na ikiwezekana Siku Fulani
Mfano:
Leo ni Jumatano Tarehe 17/06/2025 kutokana na Kalenda ya Yesu Kristo:

Nasikia huu ni Mwezi Muharram
 
Mtoa mada kamilisha habari yako:
Ungeandika Kiislamu Leo ni Tarehe Fulani/Mwezi Fulani na Mwaka Fulani/ na ikiwezekana Siku Fulani
mfano
Leo ni Jumatano Tarehe 18/06/2025
Andika taratibu watashindwa kutoa jibu maana itaonekana uislam ulianza juzi kati😅😅💔
 
Mtoa mada kamilisha habari yako:
Ungeandika Kiislamu Leo ni Tarehe Fulani/Mwezi Fulani na Mwaka Fulani/ na ikiwezekana Siku Fulani
Mfano:
Leo ni Jumatano Tarehe 17/06/2025 kutokana na Kalenda ya Yesu Kristo:
Yesu hana kalenda sema kalenda ya Papa Gregory
 
Back
Top Bottom