Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Jk kwenye kuruhusu good governance hasa uwazi wa mambo ya bunge, aliruhusu equal participation kwenye politics kwa magroup yote, ajira, mikopo ambayo ilisaidia watoto wa maskini wengi kwenda Chuo kikuu, ambaye alishindwa kupata degree enzi za Jk asubirie 2026 tu, kipindi cha Jk uchumi haujawa hovyo ka sa hivi ambapo watu wengi wanafunga biashara, Jk hakuwa na chuki na upinzani, kama wahuyu wa sasa aliweza kuunganisha watu bila kujali background zao, makabila wala dini. Though kwenye suala larushwa ndo hakulidhibiti.
Kwangu Mimi Jk bado ni best.
Kwangu Mimi Jk bado ni best.