Mwaka mmoja wa Rais Magufuli vs Kikwete

Mwaka mmoja wa Rais Magufuli vs Kikwete

Kipindi kama hiki mwaka 2006 udom hiyooo.....

Kipindi kama hiki 2006 mishaara hiyo na Ajira kibao......

Kipindi kama hiki 2006 shule kila kata hizo..........

Kama nawaoma wafanyakazi wakipanda madaraja,kwenda kusoma nje Makampuni ya wawekezaji kibao walikuwa yanalanda landa bongo.......

Sasa hivi ni sijaribiwi nitawabana kweli kweli wakati uo MCC wanafunga office zao nchini.........

Dah, kwa Mwaka ulikuwa hukosi tusafari tuwili tu tatu twa Nje ya Nchi. Katika Maisha yangu Nilikuwa sijawahi kuwaza Passport yangu kujaa kwa mihuri ya 'entry na Exit' ya Airport lakin ilijaa kipind cha Check bob wetu!
 
Sina intention ya kusema JK arudi madarakani. Ila hakuna kiongozi aliyewahi kukubalika 100% katika utawala wake na sana sana huwa anakubalika baada ya kumaliza kipindi. Binadamu tumeumbwa na hulka ya kutoridhika tukiwa nacho mpaka kitutoke ndo tunaona kilikuwa muhimu kiasi gani.

Hapa nia ni kutazama yapi aliyoyafanya JK ya kukumbukwa ndani ya mwaka wake wa kwanza na yapi ameyafanya JPM.
Nimekuelewa sana. Binadamu ndivyo tulivyo hivyo. Sababu humu kuna threads nyingi tu za kumkumbuka JK.

Unajua watu wanafikia hatua ya kufananisha hawa viongozi wawili kuna kitu wamekiona. Pia wakumbuke na huku nyuma walisemaje kuhusu kiongozi aliyepita
 
Kwa kweli JK ni level nyingine ukilinganisha na Marais wetu wengine, Maana KM za lami alizojenga kipindi chake kwa awamu hii hata nusu yake tu sidhani kama awamu hii watafikisha .Awamu kuna siasa sana tena nyingine za kitoto sana sema kinachosaidia ni kwamba asilimia kubwa ya Watanzania sio wafuatiliaji wa mambo na wa uelewa mdogo sana wa mambo.
Sasa kama zote zmejengwa unahtaj ajenge nini tena wakati mtanguliz wake kashajenga
 
Kipindi Kama hiki 2006 Nilikuwa tayari Nipo kwny Foleni ya kusubiri Mgao wa Mabilion ya JK kupitia kiji Saccos chetu cha kwny Flash cha Mitaa yetu ya Kawe, huku ofisin kwetu nshajaza Form ya Mkopo wa Hazina usio na riba wa 10 Million na ukaingia direct kwny Account kwa mkupuo wa kulipa miezi 60 kwa Makato ya Kama laki na sitin hiv.

Kama Mtaani kwako hukujenga heshma wakat wa Rais 'dhaifu' jiandae kuitwa Babu at the age of 40
Duuhhh nilikuwa bado kidato kipindi hiki. Ngoja nizisubiri zile mil 50 za kijijini kwetu.
 
Ndani ya mwaka 1Mambo yamekua tafrani

ajira hakuna

Madaraja hayapandi

Uchumi ndio vile tena.
 
Muda huu zombe na polisi wenzake kadhaa waliisha wekwa ndani na tume kuundwa kuchunguza mauaji ya wafanya biashara watatu wa madini...
 
Tuliye mdhania kua nipotelea mbali leoamegeuka nakuonekana ni afadhali kweni bin adam hatuna jema chini ya jua
 
Kwa kweli JK ni level nyingine ukilinganisha na Marais wetu wengine, Maana KM za lami alizojenga kipindi chake kwa awamu hii hata nusu yake tu sidhani kama awamu hii watafikisha .Awamu kuna siasa sana tena nyingine za kitoto sana sema kinachosaidia ni kwamba asilimia kubwa ya Watanzania sio wafuatiliaji wa mambo na wa uelewa mdogo sana wa mambo.
Hizo km za lami wakati wa JK zilijengwa na ndani ya mwaka mmoja wa utawala wake?
 
Kipind kama hiki JK alikua keshazungu bara la ulaya kamaliza , Asia kamaliza na Amerika (USA) . Wakati JPM hata A mashariki hajamaliza
 
Kipind kama hiki JK alikua keshazungu bara la ulaya kamaliza , Asia kamaliza na Amerika (USA) . Wakati JPM hata A mashariki hajamaliza
Huoni ilileta mafanikio kwa baadae kwa kuitangaza TZ na kuwezesha wawekezaji wa kutosha na watalii kuongezeka..
 
Hivi Tanzania in nchi ngeni katika ramani ya dunia kana kwamba hadi Rais awe MC kuitangaza? Wataliii hewa ambao hawalipi kodi? Nenda katika orodha ya nchi wanachama UN , AU, SADC, EAC,,COMMONWEALTH, SOUTH COMMISSION, NK utaiona TZ , sasa ni wapi hatujulikan hp duniani mkuu?
 
Mbona mlima K'njaro unasomeka Kenya kwa wengi wa duniani huko...
 
Back
Top Bottom