i. pangaz shaaMkuu project ninazozijua ni mbili tu nyingine sielewi hiyo mikopo imetumikaje!!!¡????
Kama we unaelewa nyingine niambie
unauona ww peke yako, au ww ni Janeth Magufuli...Hadi sasa hakuna ufisadi uliyo pitiliza na ubadhirifu umesita hauendelei kama awali.. Mapato ya nchi yamepanda kwa kiwango kibuwa, kodi zinalipwa vilivyo... Bei dollar imetulia kwa muda mrefu !! yaani Mwangaza tunauona upo mbele karibu !!!
Kama wewe ulilelewa na TRA.. basi umekula fedha za wananchi (kodi zao) na umejenga nyumba kwa migongo ya masikini walipa kodi.... Fuatilia kadhia/kesi za wakuu wako wa kazi !!unauona ww peke yako, au ww ni Janeth Magufuli...
mm ni mtumish TRA- Assistance tax officer, kodi tunazokusanya ni za 2013/14 fikilia tukifiika 15/16 tutakuwa tunakusanya nn?
na miez 6 kazin, hata mshara silipwi napokea posho ya kujikimuKama wewe ulilelewa na TRA.. basi umekula fedha za wananchi (kodi zao) na umejenga nyumba kwa migongo ya masikini walipa kodi.... Fuatilia kadhia/kesi za wakuu wako wa kazi !!
Bora kipi kula na mtu mjanja alie juu au kula na mtu wa kawaida yaana africanasKipindi kama hiki tukiangalia katika suala la mahusiano ya kimataifa Mh. Jk alionyesha interest zaidi na mataifa ya magharibi lakini JPM amekuwa ni mfuasi na mataifa ya ndani ya Afrika.
Tatizo wabongo hawataki kufikiri. Tathmini ya mikopo ya nje imefanywa kipindi cha Magufuli lakini kuna mikopo inilitokea awamu ya nne.Mkuu, unaweza kunikumbusha hiyo mikopo ya Magufuli imetumika kwenye projects zipi?
Afu kweli kabisaKipindi kama hiki wakati wa Kikwete tayari dili za Richmond zilikuwa zimeanza kusukwa. Kipindi hiki tayari akina Karamagi wameanza kupiga dili pale bandarini chini ya TIKS
Project ya mazoezi ya polisi na vikosi vya ulinzi. Unakumbuka tarehe ambayo UKAWA walitaka kuandamana kuhusu UKUTA? Hiyo ilikuwa August mwaka huuMkuu, unaweza kunikumbusha hiyo mikopo ya Magufuli imetumika kwenye projects zipi?
kudhibiti uchaguzi zanzibar na operation ukutaMkuu, unaweza kunikumbusha hiyo mikopo ya Magufuli imetumika kwenye projects zipi?
Wala sio kuona ubora bali hali hiyo Inatumika kumbeza mkulu wa sasa. Kuna wengi wanadhani JK anakumbukwa kwa ubora, kumbe watu wanajifanya kumsifia kama njia ya kumkosoa/kumbeza huyu.Ni kawaida ya binadamu kuona ubora wa kitu kinapokuwa kimemtoka lakini anapokwa nacho haoni kama ni bora
Mkuu kwani hizi trillioni sio makusanyo ya kila mwezi ya mwaka 2016... Unataka kuuamnisha umma ni pesa za 2013/14. Sasa ni lini tutaanza kukusanya za 2016/17???....unauona ww peke yako, au ww ni Janeth Magufuli...
mm ni mtumish TRA- Assistance tax officer, kodi tunazokusanya ni za 2013/14 fikilia tukifiika 15/16 tutakuwa tunakusanya nn?
WordWala sio kuona ubora bali hali hiyo Inatumika kumbeza mkulu wa sasa. Kuna wengi wanadhani JK anakumbukwa kwa ubora, kumbe watu wanajifanya kumsifia kama njia ya kumkosoa/kumbeza huyu.