Kipindi kama hiki mwaka 2006 udom hiyooo.....
Kipindi kama hiki 2006 mishaara hiyo na Ajira kibao......
Kipindi kama hiki 2006 shule kila kata hizo..........
Kama nawaoma wafanyakazi wakipanda madaraja,kwenda kusoma nje Makampuni ya wawekezaji kibao walikuwa yanalanda landa bongo.......
Sasa hivi ni sijaribiwi nitawabana kweli kweli wakati uo MCC wanafunga office zao nchini.........
Hahahahaa.. kama nyota njema huonekana asubuhi basi sasa hivi ni saa saba mchana na hakuna cha nyota bali jua la utosi linawaka.Nyota njema huonekana alfajiri, na biashara ni asubuhi jioni mahesabu ndugu.
My day was actually goodUkweli wa malaika.
By the way how was your day!
Hao waliokuwa wana mnanga JK siwalijua kuwa uongozi na easy tu, na majority ya Watanzania walifikiri watu wakitumbuliwa wao ndo watapata unafuu, lakini siku zinavozidi kwenda wamebadili maono.Hahahahaa.. kama nyota njema huonekana asubuhi basi sasa hivi ni saa saba mchana na hakuna cha nyota bali jua la utosi linawaka.
Kipindi anaanza kwa staili ya kutumbua majipu mbona hawakuja hapa kutathmini..?? Mbaya zaidi waliongea kila baya juu ya JK..
Leo iweje mzuri awe mbaya na aliyekuwa mbaya awe mzuri..
Ukiona haya yote ujue namba zinasomeka.....
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Acheni kumfananisha JK ni vitu vya kipuuzi
[emoji2] [emoji125]Kuwaongoza Wabongo kunahitaji moyo.....
[emoji23] [emoji23]Mshaanza kunyooka kidogo kidogo na bado mpaka 2020
Wee xtabelaa si mkongo wewe ya huku yakuhusu nini au wataka ungana na babu seyaHuyu wa sasa hamna kitu kabisa
Mkuu heading inasoma mwaka mmoja wa JPM vs JK na sio kipindi cha JPM vs JK.Kikwete katawala miaka 10.. Magufuli katawala mwaka mmoja.
Yani unamchukua mtoto wa darasa la nne (miaka 10) na ambaye hajaanza shule (mwaka 1) unawapa mtihani halafu unakaa ukingojea matokeo yao yawe sawa.
Saa zingine tuwe tunatumia akili kidogo tu.
Ha ha haaaaaa. Mkuu una million 7???Acheni kumfananisha JK ni vitu vya kipuuzi
Barqbara za lami ni za mkapa, jk alikuja kutekeleza mipango ya mkapa!Kwa kweli JK ni level nyingine ukilinganisha na Marais wetu wengine, Maana KM za lami alizojenga kipindi chake kwa awamu hii hata nusu yake tu sidhani kama awamu hii watafikisha .Awamu kuna siasa sana tena nyingine za kitoto sana sema kinachosaidia ni kwamba asilimia kubwa ya Watanzania sio wafuatiliaji wa mambo na wa uelewa mdogo sana wa mambo.
Mazingira yamebadilika, mitandao ya kijamii ingekuwa toka 2005 kama ilivyo sasa JK angepondwa na anhechafuliwa sana na bavicha, hata magazeti yalikuwaga na nidhamu!Sina intention ya kusema JK arudi madarakani. Ila hakuna kiongozi aliyewahi kukubalika 100% katika utawala wake na sana sana huwa anakubalika baada ya kumaliza kipindi. Binadamu tumeumbwa na hulka ya kutoridhika tukiwa nacho mpaka kitutoke ndo tunaona kilikuwa muhimu kiasi gani.
Hapa nia ni kutazama yapi aliyoyafanya JK ya kukumbukwa ndani ya mwaka wake wa kwanza na yapi ameyafanya JPM.