Hakuna kitu kama hicho... utapatiwa account na pesa utaipata kwa kufanya kazi(mshahara) na ukikaa bila kufanya kazi utalipwa vilevile ila ni kiwango kidogo sana!Mkuu nipe connection nikafungwe uko France na Mimi nipigie izo euro 100 kwa mwezi ..mwaka tu narud bongo na mtsji wa kutosha
Hyo passport labda passport size.tuliza kalio ww!!Ungeona passport yangu usingethubutu kusema hayo, pale ambapo umesafiri Mara 2 na kuona wengine Ni hewa; we have traveled the world Dogo, na sio Kwa Kazi au kulipiwa; hapana, mke na watoto every year different country! And we carry cash, but follow the rules! Idiot!
Ipogolo Iringa hiyo eapotiAirport kubwa Ufaransa inaitwa Charles de Gaulle, hii yako Charles dagal ipo jiji lipi??
Hyo passport labda passport size.tuliza kalio ww!!
Mkuu kuna kitu umekisema hapo kuwa unapewa simu unaongea na ndugu zako ila unachoongea wanakuwa wanasikiliza sasa mfano kama mtu anaongea kilugha cha kwao labda kihaya kigogo kisukuma wakikusikia nn kinatokeaJela ulaya ni kunyimwa Uhuru wako na sio mateso.
Kwanza unatakiwa uandike namba zako ambazo utahitaji kuzitumia,Mkuu kuna kitu umekisema hapo kuwa unapewa simu unaongea na ndugu zako ila unachoongea wanakuwa wanasikiliza sasa mfano kama mtu anaongea kilugha cha kwao labda kihaya kigogo kisukuma wakikusikia nn kinatokea
Hapa kwetu jela ni kukomoana.Jela za wenzetu je upewa haki ya kuwa na simu?
Maana hizi zetu ni jehanamu sijui kwann awataki mfungwa amiliki simu apate mawasiliano na ndugu zake. Ukiweza ishi jela za bongo kuzimu ni supermarket huwezi shindwa ishi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni true story na sasa sipo jela nipo uraiani nafanya kazi za meli.
Hilo ni tukio limetokea 3 years ago.
Sababu ujuwaji ni mwingi basi story naishia hapa..
Ubalozi haunasafirishagi mtu.Ikiwa stori zako ni kweli, wewe jamaa usipoangalia na kubadili mfumo wa maisha utafia jela tena nchi za watu.
Uwape kazi ubalozi ya kukusafirisha.