justine lowasa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 727
- 794
kwa kiwsahili hichii! kama wewe sio msukuma basi ni mgita unaeishi simiyuCcm chama imara tunajiimalisha kimfumo , kiutendaji,na kiuwajibikaji tujipanga na hatuteteleki , nhi hii sijaona kilichokomaa kubeba madaraka ya nhi zaid ya ccm kama hutaki we ni mubishi tu
.....
....kwa kiwsahili hichii! kama wewe sio msukuma basi ni mgita unaeishi simiyu
....
Unataka tuanze kutukanana Kisukuma hapa tena kwa ajili ya katuni ya mwanasiasa? Bahati nzuri sana nimeshaachana na ujinga/utoto huu wa kuporomosha matusi mtandaoni tena kwa watu nisiowajua. Hakuna faida wala haja ya kufanya hivyo na kuwa mtu mwema na mwenye subira zaidi ni mojawapo ya resolutions zangu za mwaka mpya (2017). We umetukana tena matusi mazito basi fanya sherehe au kama uko mahali accessible kamata sprite moja baridi nakuja kulipa [emoji23][emoji23][emoji23]...Na ukumbuke kwamba sasa kuna sheria ya makosa ya mtandao. Mtu akikukomalia unaweza kujikuta unatema milioni saba hivi hivi. Wabeja!....
......acha ukabila chini ya kiwango J4 nyanoko sana onyelilee ...Mkuu jifunze sikutegemea
Siyo kwa uzembe huu wa Upinzani wa Tanzania!! Labda 2055Jambo la msingi hapa ni kifo cha ccmView attachment 450653
Na muungwana huwa hatukani licha ya hiyo sheria ya makosa ya mtandaoUnataka tuanze kutukanana Kisukuma hapa tena kwa ajili ya katuni ya mwanasiasa? Bahati nzuri sana nimeshaachana na ujinga/utoto huu wa kuporomosha matusi mtandaoni tena kwa watu nisiowajua. Hakuna faida wala haja ya kufanya hivyo na kuwa mtu mwema na mwenye subira zaidi ni mojawapo ya resolutions zangu za mwaka mpya (2017). We umetukana tena matusi mazito basi fanya sherehe au kama uko mahali accessible kamata sprite moja baridi nakuja kulipa [emoji23][emoji23][emoji23]...Na ukumbuke kwamba sasa kuna sheria ya makosa ya mtandao. Mtu akikukomalia unaweza kujikuta unatema milioni saba hivi hivi. Wabeja!
Juzi CCM imepokea waliokuwa viongozi wa chadema jijini Dar na kuhamia CCM.Wana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
Kuitoa ccm madarakan ni swala mtambuka na ukizingatia kwa sasa wapinzani hawana mtu mwenye mvuto kisiasa, na mbaya zaidi ni serkal kutumia zaidi nguvu ya dola kuliko kutumia SeraWana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
Sawa,unataka kusema kuwa ccm ina kiongozi mwenye mvuto?umetumia kigezo gani kujua huo mvuto?Kuitoa ccm madarakan ni swala mtambuka na ukizingatia kwa sasa wapinzani hawana mtu mwenye mvuto kisiasa, na mbaya zaidi ni serkal kutumia zaidi nguvu ya dola kuliko kutumia Sera
CCM ikidhoofu si ndiyo vizuri ili Mbowe achukue nchi au?Wana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
Huyokwa kiwsahili hichii! kama wewe sio msukuma basi ni mgita unaeishi simiyu
Mkuu Ritz habari za masiku?CCM ikidhoofu si ndiyo vizuri ili Mbowe achukue nchi au?
Bavicha bana.
Ni kweli hata juzi nimemsikia Kadinal Pengo akisema maisha sasa hivi yamekuwa nafuu sana tofauti na kipindi cha nyuma, kama unapingana na mtumishi wa mungu laana itakutafuna.Huyo
Mkuu Ritz habari za masiku?
Juu ya ccm kudhoofu hilo siyo siri tena naamini hata wewe unalijua ila basi tu
Hayo tumesha yazoea kutoka kwa wakuu wa dini,yeye kila kitu analetewaNi kweli hata juzi nimemsikia Kadinal Pengo akisema maisha sasa hivi yamekuwa nafuu sana tofauti na kipindi cha nyuma, kama unapingana na mtumishi wa mungu laana itakutafuna.
Wewe mwenyewe unayetafuta kwa jasho ndiyo unajua ugumu wa maisha,sasa hivi unalazimika kuishi kama shetaniNi kweli hata juzi nimemsikia Kadinal Pengo akisema maisha sasa hivi yamekuwa nafuu sana tofauti na kipindi cha nyuma, kama unapingana na mtumishi wa mungu laana itakutafuna.
Mnatafuta kif***Hatukabidhi nchi kwa wapinzani
Wasiojitambua
So whatUmesahau jambo moja tu kuhusu CCM kwamba ndicho chama tawala ktk nchi hii ya Tanzania hadi uchaguzi ujao.