Mwaka mmoja CCM kwisha

Ukianzia kwa watumishi wa serikali,ukaenda mitaani kwa kina sisi,ukaenda kwa wafañyabiashara ukaenda vijijijni ndio utajua kuwa ccm sasa inapumulia mashine
 
Kwani Lowassa ndio Mgombea wa CDM tayari? Ikulu mtaisikia tu kama yeye ndiye Mgombea! CCM haiwezi kuondolewa na makapi yake hata siku moja na mazingira ya 2015 hayatakuwa sawa na 2020!
blah blah blah staki kusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…