Mwaka mmoja CCM kwisha

Mleta mada kila unapoanzaga kupata nafuu ya dozi ya HAPA KAZI TU huwa unaingia uvunguni na kushushia viroba vingine, hili ndo tatizo lako ma nyuzi zako zinareflect hicho.
Hujitambui
 
Ccm chama imara tunajiimalisha kimfumo , kiutendaji,na kiuwajibikaji tujipanga na hatuteteleki , nhi hii sijaona kilichokomaa kubeba madaraka ya nhi zaid ya ccm kama hutaki we ni mubishi tu
 
Ccm chama imara tunajiimalisha kimfumo , kiutendaji,na kiuwajibikaji tujipanga na hatuteteleki , nhi hii sijaona kilichokomaa kubeba madaraka ya nhi zaid ya ccm kama hutaki we ni mubishi tu
Kwa mujibu wa akili yako
 
Ccm chama imara tunajiimalisha kimfumo , kiutendaji,na kiuwajibikaji tujipanga na hatuteteleki , nhi hii sijaona kilichokomaa kubeba madaraka ya nhi zaid ya ccm kama hutaki we ni mubishi tu
......
.......nawatu wamejaa mafweza.asubuhi mayai maini mchana. Nyama choma weee
 
kwanini unasema x mass?Hiyo x ndiyo inakaa badala ya Christ? usitumie X kwa sababu huo ni mpango wa ibilisi kumfuta Bwana Yesu
 
wanataka kukimbia na hawana break? what do they expect kama sio kupigwa kipigo kitakatifu 2020! we will be singing the new victory song called complty independence hureeeeee TANZANIA hureeee CHADEMA hureeeee LOWASA
Ndoto za kipuuzi!!
 
Ni Kweli CCM imechoka na imebaki kuishiwa pumzi kama hatua ya mwisho ya kusahaulika.

Wengi safari hii wanasema hawatakuwa na hasira na mbwembwe kila kitu kitafanyika kiasayansi kimya kimya.

Kinana ni hazina tuitunze itatusaidia kuwaminika zaidi. Pumzi tulienayo na kujiidai nayo leo hii ni matunda ya kazi na ubunifu wake na timu yake.
 
wanataka kukimbia na hawana break? what do they expect kama sio kupigwa kipigo kitakatifu 2020! we will be singing the new victory song called complty independence hureeeeee TANZANIA hureeee CHADEMA hureeeee LOWASA
Kwani Lowassa ndio Mgombea wa CDM tayari? Ikulu mtaisikia tu kama yeye ndiye Mgombea! CCM haiwezi kuondolewa na makapi yake hata siku moja na mazingira ya 2015 hayatakuwa sawa na 2020!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…