Mwaka huu natamani kuoa

Unajulikaana nyumban kwamba unakula nini???
Mtu ambae atakua mke wako unam refer kihuni hivyo
 
Mkuu umenifurahisha ulivyosema tukuombee kama tunavyomwombea BWANA YULE, Anyway ni uamuzi wa busara OA uachane na mambo ya uzinzi nasi bila hiana tutakuombea. Pia utupe mrejesho utakapo oa tujui kama sala zetu zimekusaidia au la
 
Mimi sina ushauri juu ya ndoa kwakuwa unawez kufanikiwa au kufeli so ....
 
Hayqa hayaa hatimae umeondoka na dadaang falcom sasa umekua shem please usiende kumtesa dadaang huyo

Mungu awabarki na furaha kubwa sana kwny ndoa

Nsikosetu cad please nasubir tu kad ya harus hapa na n shela tenaa walaaaa naisubir mkuuuu

Nb na mm huku mambo n kama yanaenda yakinyoooka
Napanga kuondoka na mkiss,ama mkamba

Maombi yako pia n muhimu
 
ameen karibu lune wari hahahaaa chezea marangu ww
 
i only promise her happy life
 
Mkuu umenifurahisha ulivyosema tukuombee kama tunavyomwombea BWANA YULE, Anyway ni uamuzi wa busara OA uachane na mambo ya uzinzi nasi bila hiana tutakuombea. Pia utupe mrejesho utakapo oa tujui kama sala zetu zimekusaidia au la
ya mkuu namuonea wivu mnavyomuombeaga
 
i only promise her happy life
Hakuna kitu kama hicho, maisha ya ndoa kama yalivyo maisha ya kawaida hayana furaha tu, so don't promise what you can't really offer. Kuna furaha, huzuni, kulia, kucheka,......etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…