Mwaka huu natamani kuoa

Kila la kheri. Tunakuombea upate mke mwema... Chonde chonde, kwenye michango ya arusi tusionane wabaya, hali ya kipesa ni ngumu... Ila urafiki wetu udumu kama timu kali zaidi ya ndimu...
michango mambo ya kizamani hayo lazima twende kisasa
 
Sizana kama kuna MTU atakuombea sababu umetaja jina LA shetani mweusi...eti anaombewa labda kwa ubaya.
 
All the best dearest brother God is upon you to accomplish your mission

Hopefully things gonna be well[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji307] [emoji307]
 
Kila la kheri mkuu falcon mombasa,
 
Kwa majigambo hayo basi sisi tunakuombea ila ogopa tukikazana na maombi kumbe mnapotezeana mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…