Mwaka huu natamani kuoa

amina mkuu nitakupa kadi ya mualiko
 
ubarikiwe sana mkuu
 
amina mkuu nitakupa kadi ya mualiko
sawa mkuu,

wakati mwingine omba kulingana na mahitaji yako na si km fulani

yale yale ya kuomba Mungu akupe Mume/Mke wa kufanana nae ili hali wewe mwenyewe una tabia tabia fulani

sasa unapomwambia Mungu akupe wakufanana na vijatabia vyako vya kichoyo, ulevi nk, humo ndani patakalika kweli?
 
vitabia vya kuponda ccm hehehe
 
Kila la kheri. Tunakuombea upate mke mwema... Chonde chonde, kwenye michango ya arusi tusionane wabaya, hali ya kipesa ni ngumu... Ila urafiki wetu udumu kama timu kali zaidi ya ndimu...
 
Hivi kumbe we mwanamke ni mchokozi hivi, nilidhani ccm ndio unawachokoza tu, kumbe hata huku....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
....heri ya mwaka mpya!!
jamani unanionea, hivi kwanini hunipendagi?

jaribu kunipenda km nafsi yako na Mungu atakupenda zaidi
 
Hata ya kwaito nnayo[emoji23][emoji23][emoji23]sijui lini ntacheza yangu
hehehehe we queen unanichekesha, ila hap ndio nawaza na aibu nilizo nazo halafu niambiwe nimkisss baby wangu mbele ya wakwe mara bwana harusi na bibi harusi nendeni mkacheze blues.... loooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…