falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,229
- 9,357
utuombeeKila jema nawatakia mkuu.
acha zako humjuiAika huyu huyu? hebu ngoja nimpigie asiniletee utani
jiandae kunywa mbegeMchaga hapo umepatia wavumilivu sana hao
una hahika gani na hizo salahivyo chondechonde wanajf na mimi mniombee kama mnavyomuombeaga magufuli niweze kufanikisha jambo hili la heri
hizo ni hisia za kizamani hazina ukweliWe wish you all the best mkuu but hakikisha pesa haikati kwa mfuko
wenye nia njema wataniombeauna hahika gani hizo sala
kwann usiombe kuombewa kivyako
Ni sahihi lakini ni ndio hali halisihizo ni hisia za kizamani hazina ukweli
uje kunywa hata mbegeWaache waoanee
Mungu Muumba mbingu na dunia na vyote vilivyomowenye nia njema wataniombea
Jambo la ndoa ni jambo jema, Mungu akujalie na akupe ujasiri huo .well baada ya kutokuwa kwenye mahusiano tangu 2012 hatimaye mwaka 2016 katika pitapita zangu bara na visiwani mijini na vijijini nikabahatika kukutana na dada mrembo, mwenye muonekano wa kisomali kidogo lakini ni mchaga wa marangu mtoni ,mtoto mweupe hatari. sasa hapa tulipo penzi ni motomoto na Aika wangu.
mimi na mwenzangu tumeplan mwaka huu tuanze process zote zitakazo tupelekea kwenye ndoa japokuwa tayari nyumbani kwa bibie najulikana kama mimi ndio nakula mzigo.bahati nzuri zaidi mimi na bibie wangu wote ni wakatoliki. hivyo chondechonde wanajf na mimi mniombee kama mnavyomuombeaga magufuli niweze kufanikisha jambo hili la heri
Mkuu huyu mtu anasoma wapi??well japokuwa mimi na MMU sio sana mara zote nakuwaga jukwaa la siasa lakini leo sio mbaya tukashare kile kilichopo moyoni,
baada ya kutokuwa kwenye mahusiano tangu 2012 hatimaye mwaka 2016 katika pitapita zangu bara na visiwani mijini na vijijini nikabahatika kukutana na dada mrembo, mwenye muonekano wa kisomali kidogo lakini ni mchaga wa marangu mtoni ,mtoto mweupe hatari. sasa hapa tulipo penzi ni motomoto na Aika wangu.
mimi na mwenzangu tumeplan mwaka huu tuanze process zote zitakazo tupelekea kwenye ndoa japokuwa tayari nyumbani kwa bibie najulikana kama mimi ndio nakula mzigo.bahati nzuri zaidi mimi na bibie wangu wote ni wakatoliki. hivyo chondechonde wanajf na mimi mniombee kama mnavyomuombeaga magufuli niweze kufanikisha jambo hili la heri