Mwaka 2022 niliwapekea udsm proposal ya kutengeneza dawa ya Corona wakaikataa- Moja ya sababu iliyoni-inspired kuwa na ndoto za uRais wa Tanzania

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE###

Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza dawa mda sisi nchi za afrika tumebakia kama onlookers zinafanikiwa mwaka 2021

Kwanin ilikuwa UDSM
  1. UDSM wanatoa degree ya molecular biology hii ni moja ya msingi wa kutengeneza dawa
  2. UDSM wanatoa degree ya microbiology hii ni moja ya msingi wa kutengeneza dawa
  3. UDSM wana toa degree ya chemistry na physics hii ni moja ya msingi wa kutengeneza dawa

JAMBO AMBALO LILINIKERA SANA NI PALE NCHI ZA AFRIKA TULIVYOAMBIWA TUSUBIRIE FUNGULIWA MBWA A.K.A CHANJO ZA MSAADA LILE LILIKUWA TUSI KUBWA SANA FEDHEHA KAMA HIZI ZITAENDELEA MPAKA LINI

Ni ukweli nchi za afrika tunategemea misaada za dawa za misaada mpaka sahivi tunategemea dawa za misaada ila kwangu mimi mwaka 2021 ilikuwa ni Rock bottom baada ya masimango mengi kutoka kwa nchi ambazo kuna kampuni zimetengeneza chanjo

Maswali ambayo nilijiuliza kwa uchungu mkubwa sana ndani yangu
  1. Hii dhihaka itaendelea mpaka lini kwa nchi kama Tanzania na afrika nyingi kuendelea kuwa tegemezi wa dawa
  2. Hivi ni kweli tumeshindwa kutengeneza dawa

JIBU LANGU NI TUNAWEZA KUTENGENEZA DAWA VIZURI TU

Mimi elimu yangu ni bachelor of science in Economics Mzumbe sina historia ya masomo ya science ila mara nyingi nilikuwa na curiosity juu ya mambo ya science

Nilitumia elimu niliyokuwa nayo kama nilivyosema nilikuwa na curiosity ya mambo ya science japokuwa sikusoma masomo ya science

Lengo la kwanza ni kujua njia za kutengeneza dawa kumbuka hii science kwa nchi kama Afrika tumekuwa tukitishiwa kwamba ni ngumu na inahitaji mtaji mkubwa

NI KWELI SCIENCE YA DAWA NI NGUMU KWANINI WAO WAMEWEZA BASI HATA SISI TUNAWEZA

Kwa hiyo kupitia huu uzi ambao nilishaupost nikaainisha njia zitumikazo kutengenezea dawa na huku nilishaupost na link ni hii hapa

NILICHOKIONA UDSM
Niliwapelekea barua ya KUTENGENEZA DAWA YA CORONA kama nilivyosema ni ugonjwa uliosumbua dunia nzima alafu sisi kama nchi za kiafrika tupo tu hatufanyi chochote tunasubira wengine wapambane wafanikiwe alafu tupewe dawa kwa misaada nikasema hapana hii haiwezi kuendelea
  • Baada ya mda udsm wakaja wakajibu wakaniita nikaenda kuongea nao
  • Mwanzoni ilikuwa ni ngumu kwa mtu niliyekutana naye kunielewa nisingependa kumtaja jina kwa sababu mimi sina background ya science, nina bachelor tu sina hata PHD au masters ya mambo ya science niliongea nae baadae akanikabidhi kwa mtu mwingine ambaye ni wa chini yake kwenye department flani nisingependa kuitaja jina
  • Nilienda kwa yule mtu tukaongea sana akanionyesha project na paper walizokuwa wanaandika tuliongea mambo mengi ila baadae akaniambia atanirecommend ili niitwe kwa kupigiwa simu tuangalie tunafanyaje na tunaanzaje kwa hiyo ntajibiwa kwa kupigiwa simu ila hawakuwahi kunitafuta mpaka leo

MAMBO NILIYOJIFUNZA USDM BAADA YA KUONGEA NAO
  1. Msisitizo mkubwa wa udsm na vyuo vingi vya Tanzania na Afrika ni kuona paper zao zinachapishwa kwenye journal za wazungu binafsi naona huu ni aina nyingine ya utumwa wa kifikra ambao unatakiwa ukomeshwe kwanini tusiwe na journal zetu
  2. Udsm miradi ya kuhusu dawa imejikita sana kwenye eneo la DRUG REPOSITIONING binafsi naamini mtu au taasisi iliyojikita kwenye DRUG REPOSITIONING ni wavivu na pia ni kutaka kutumia shortcut kitu ambacho kwangu mimi sion ni sahii
  3. Udsm kama zilivyotaasisi nyingi sana za Tanzania na Afrika zinakosa uthubutu wa kufanya yale wanayofanya wazungu kwenye hii case ni swala la kutengeneza dawa ya Corona. Na kwa aina ya fikra na mtazamo ambayo ipo usdm na taasisi nyingi AFRIKA ni ngumu sana kama nchi kufanya mambo makubwa

NINI NILIFANYA BAADA YA KUTOKUJIBIWA NA KUKATALIWA
  • Nilikuwa disappointed sana nikajiuliza ni watu wangapi mawazo yao yamekataliwa na wamekata tamaa jibu ni wengi sipo pekee yangu na wengi wataendelea kukataliwa
  • Niliwaza kwenda nje ya nchi ili kutimiza ndoto zangu, ni ukweli usiopingika wengi wameondoka na wako nje ya nchi baada ya kuwa na disappointed sana na mambo ambayo yanafanywa na taasisi nyingi za Afrika
  • Lakin nikawaza sasa kama kila ukishindwa unawaza kwenda nje ya nchi sasa hii nchi siitabaki hivi hivi mambo yatakuwa ni haya haya ni dhahiri kuna-hitajika akili mpya na fikra mpya ambazo zitaitoa nchi hapa na kuwapa uthubutu wa kufanya mambo makubwa mbona na wao wameweza
KUTOKANA NA HIO LIFE EXPERIENCE NAAMINI ITAKUA NI RAHISI KUFANIKISHA MPANGO WA KUTENGENEZA DAWA KAMA NCHI MIMI NIKIWA RAIS- KWA SABABU KWA NCHI ZA AFRIKA NYINGI SIO KIPAUMBELE CHAO KUTENGENEZA DAWA HUO NDO UKWELI NA WALA SIWALAUMU

MIMI NAAMINI NI MTU SAHII WA KUWEKA MSINGI WA KUTENGENEZA DAWA HAPA TANZANIA SABABU HATA SISI TUNAWEZA

Toeni mawazo ya kujenga na sio kuiponda taasisi ya udsm sio lengo la uzi karibuni
 
JAMBO AMBALO LILINIKERA SANA NI PALE NCHI ZA AFRIKA TULIVYOAMBIWA TUSUBIRIE FUNGULIWA MBWA A.K.A CHANJO ZA MSAADA LILE LILIKUWA TUSI KUBWA SANA FEDHEHA KAMA HIZI ZITAENDELEA MPAKA LINI
 
Wale jamaa wa jalalani hamnazo enewei.. Mpaka sasa kura yangu umeshapata Mr President
 
  • Udsm kama zilivyotaasisi nyingi sana za Tanzania na Afrika zinakosa uthubutu wa kufanya yale wanayofanya wazungu kwenye hii case ni swala la kutengeneza dawa ya Corona. Na kwa aina ya fikra na mtazamo ambayo ipo usdm na taasisi nyingi AFRIKA ni ngumu sana kama nchi kufanya mambo makubwa
Kama wewe ulipeleka wazo lako mwaka 2022, basi ulichelewa maana UDSM waligundua na kuanza kuiuza dawa ya corona ya Fukiza UDANOL tangu mwaka 2021. Kwa hiyo walipokuwa wanafanya mazungumzo na wewe basi walikuwa wanakuzoom tu. Na kama usemavyo hawakuendelea kukutafuta, sababu no kwamba hawakuona jipya kwako. Soma uzi huu:
 
###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE###

Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza dawa mda sisi nchi za afrika tumebakia kama onlookers zinafanikiwa mwaka 2021

JAMBO AMBALO LILINIKERA SANA NI PALE NCHI ZA AFRIKA TULIVYOAMBIWA TUSUBIRIE FUNGULIWA MBWA A.K.A CHANJO ZA MSAADA LILE LILIKUWA TUSI KUBWA SANA FEDHEHA KAMA HIZI ZITAENDELEA MPAKA LINI

Ni ukweli nchi za afrika tunategemea misaada za dawa za misaada mpaka sahivi tunategemea dawa za misaada ila kwangu mimi mwaka 2021 ilikuwa ni Rock bottom baada ya masimango mengi kutoka kwa nchi ambazo kuna kampuni zimetengeneza chanjo

Maswali ambayo nilijiuliza kwa uchungu mkubwa sana ndani yangu
  1. Hii dhihaka itaendelea mpaka lini kwa nchi kama Tanzania na afrika nyingi kuendelea kuwa tegemezi wa dawa
  2. Hivi ni kweli tumeshindwa kutengeneza dawa

JIBU LANGU NI TUNAWEZA KUTENGENEZA DAWA VIZURI TU

Mimi elimu yangu ni bachelor of science in Economics Mzumbe sina historia ya masomo ya science ila mara nyingi nilikuwa na curiosity juu ya mambo ya science

Nilitumia elimu niliyokuwa nayo kama nilivyosema nilikuwa na curiosity ya mambo ya science japokuwa sikusoma masomo ya science

Lengo la kwanza ni kujua njia za kutengeneza dawa kumbuka hii science kwa nchi kama Afrika tumekuwa tukitishiwa kwamba ni ngumu na inahitaji mtaji mkubwa

NI KWELI SCIENCE YA DAWA NI NGUMU KWANINI WAO WAMEWEZA BASI HATA SISI TUNAWEZA

Kwa hiyo kupitia huu uzi ambao nilishaupost nikaainisha njia zitumikazo kutengenezea dawa na huku nilishaupost na link ni hii hapa

NILICHOKIONA UDSM
Niliwapelekea barua ya KUTENGENEZA DAWA YA CORONA kama nilivyosema ni ugonjwa uliosumbua dunia nzima alafu sisi kama nchi za kiafrika tupo tu hatufanyi chochote tunasubira wengine wapambane wafanikiwe alafu tupewe dawa kwa misaada nikasema hapana hii haiwezi kuendelea
  • Baada ya mda udsm wakaja wakajibu wakaniita nikaenda kuongea nao
  • Mwanzoni ilikuwa ni ngumu kwa mtu niliyekutana naye kunielewa nisingependa kumtaja jina kwa sababu mimi sina background ya science, nina bachelor tu sina hata PHD au masters ya mambo ya science niliongea nae baadae akanikabidhi kwa mtu mwingine ambaye ni wa chini yake kwenye department flani nisingependa kuitaja jina
  • Nilienda kwa yule mtu tukaongea sana akanionyesha project na paper walizokuwa wanaandika tuliongea mambo mengi ila baadae akaniambia atanirecommend ili niitwe kwa kupigiwa simu tuangalie tunafanyaje na tunaanzaje kwa hiyo ntajibiwa kwa kupigiwa simu ila hawakuwahi kunitafuta mpaka leo

MAMBO NILIYOJIFUNZA USDM BAADA YA KUONGEA NAO
  1. Udsm miradi ya kuhusu dawa imejikita sana kwenye eneo la DRUG REPOSITIONING binafsi naamini mtu au taasisi iliyojikita kwenye DRUG REPOSITIONING ni wavivu na pia ni kutaka kutumia shortcut kitu ambacho kwangu mimi sion ni sahii
  2. Udsm kama zilivyotaasisi nyingi sana za Tanzania na Afrika zinakosa uthubutu wa kufanya yale wanayofanya wazungu kwenye hii case ni swala la kutengeneza dawa ya Corona. Na kwa aina ya fikra na mtazamo ambayo ipo usdm na taasisi nyingi AFRIKA ni ngumu sana kama nchi kufanya mambo makubwa

NINI NILIFANYA BAADA YA KUTOKUJIBIWA NA KUKATALIWA
  • Nilikuwa disappointed sana nikajiuliza ni watu wangapi mawazo yao yamekataliwa na wamekata tamaa jibu ni wengi sipo pekee yangu na wengi wataendelea kukataliwa
  • Niliwaza kwenda nje ya nchi ili kutimiza ndoto zangu, ni ukweli usiopingika wengi wameondoka na wako nje ya nchi baada ya kuwa na disappointed sana na mambo ambayo yanafanywa na taasisi nyingi za Afrika
  • Lakin nikawaza sasa kama kila ukishindwa unawaza kwenda nje ya nchi sasa hii nchi siitabaki hivi hivi mambo yatakuwa ni haya haya ni dhahiri kuna-hitajika akili mpya na fikra mpya ambazo zitaitoa nchi hapa na kuwapa uthubutu wa kufanya mambo makubwa mbona na wao wameweza
KUTOKANA NA HIO LIFE EXPERIENCE NAAMINI ITAKUA NI RAHISI KUFANIKISHA MPANGO WA KUTENGENEZA DAWA KAMA NCHI MIMI NIKIWA RAIS- KWA SABABU KWA NCHI ZA AFRIKA NYINGI SIO KIPAUMBELE CHAO KUTENGENEZA DAWA HUO NDO UKWELI NA WALA SIWALAUMU

MIMI NAAMINI NI MTU SAHII WA KUWEKA MSINGI WA KUTENGENEZA DAWA HAPA TANZANIA SABABU HATA SISI TUNAWEZA

Toeni mawazo ya kujenga na sio kuiponda taasisi ya udsm sio lengo la uzi karibuni

Kupeleka proposal ya mambo ya tiba udsm ni sawa na kusubiria ndege stendi ya mabasi. Kwamba hukujua uende wapi bila shaka ndiyo maana wana walikuona kiroja!
 
Brother wewe ni kichaa unaishi kwenye dunia yako ya fantasies ...hadi siku uokote makopo ndo wajue we kichaa ....le profeseli
 
Kupeleka proposal ya mambo ya tiba udsm ni sawa na kusubiria ndege stendi ya mabasi. Kwamba hukujua uende wapi bila shaka ndiyo maana walukuona kiroja!
Chuo chochote kinaweza kupokea pendekezo .

Unapokuwa na Chuo kina wasomi wakubwa Kazi kubwa nikuandika mapendekezo na kufanya tafiti mbalimbali baada ya hapo zinawasilishwa sehemu husika.
 
Kupeleka proposal ya mambo ya tiba udsm ni sawa na kusubiria ndege stendi ya mabasi. Kwamba hukujua uende wapi bila shaka ndiyo maana wana walikuona kiroja!
Udsm wanafundisha molecular biology na pia wana campus wanayofundisha medicine
 
Chuo chochote kinaweza kupokea pendekezo .

Unapokuwa na Chuo kina wasomi wakubwa Kazi kubwa nikuandika mapendekezo na kufanya tafiti mbalimbali baada ya hapo zinawasilishwa sehemu husika.

Basi angepeleka hata chuo kuchomelea vyuma chang'ombe pale!
 
Back
Top Bottom