Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,593
- 2,380
AnywayJaribu kupunguza hizi mistakes za grammar mkuu
AnywayJaribu kupunguza hizi mistakes za grammar mkuu
andiko la kinabii uzi huu unashtua unatoa ole kwa atakayekutwa na kadhia hizi ole ole oleMwaka kesho ajira zitapungua kwenye CSOs na kwenye private sector, shillingi itayumba kidogo. Watakao benefit from pre-election spending boom ni wale ambao watakuwa well connected.
Kwa familia na makabila yaliyoko vyama vya upinzani hali huenda ikazidi kuwa ngumu.
Solution ni watu kuwa vumilia wanafamilia watakao punguzwa kazini. Na taasisi/makampuni zitoe short-term jobs kwa watakao punguzwa makazini. Serikali za mitaa ziuze vipande vidogo vidogo vya ardhi kwa watakao punguzwa makazini.
Ni vizuri pia watanzania wakafanya biashara na watu ambao inahisiwa wanatengwa na mfumo wa kisiasa, pamoja na kuwapa ajira watu hao. Hii itawapa hifadhi ya jamii watu hao na kuwa punguzia makali ya maisha.
Ni vizuri pia watu wakajua kwamba kila mtu anaelipa kodi anastahili public goods and services kwenye mkoa wake, regardless ya kabila, dini/dhehebu au itikadi yake.
Hivi wewe hata shule ulienda kweli?? Mtu amesema ni tafakuri yake mwenyewe bado unataka chanzo gani kingine? Aisee, JF imeingiliwa.......Nini chanzo cha habari hii mkuu?
Vyama vya kisiasa vitabakia kwa Jina.Kw mtazamo wangu, 2019 ndio utakuwa mwaka wa neema kubwa, ukizingatia kuwa ni kipindi ambacho wanasiasa na serikali inatengeneza mazingira ya kukubalika kwa wananchi ili wapate dhamana ya kuongoza tena, kwa hiyo milango mingi itafunguliwa... Mark my words
Utamlisha nini mtoto wa watu na umeshaambiwa mwaka ujao vyuma vinakaza zaidi?Natafuta binti jamani umri miaka 22-24+ 35- tu !!
Imani tu hakuna kitu hapo. Tupe sababu ya kisayansi ya kuhusianisha namba ya mwaka na hali ya maishaKwa kawaida mwaka "witiri" ni mzuri tofauti na "shufwa"
Hivi wewe hata shule ulienda kweli?? Mtu amesema ni tafakuri yake mwenyewe bado unataka chanzo gani kingine? Aisee, JF imeingiliwa.......
Uwe unasoma basi kwa uangalifu na wewe post za wenzio basi.....Halafu we mtoto mzuri kunijia juu hivi danga lako jana siku ya sikukuuu lilikuyeyusha nn hasira zako ndio unanibebesh mimi??
Anaekunyima msaada anakupa akili ya kujitegemea1) Misaada mingi ya wahisani kupungua sana kama sio kukwama.
Tutakula tu chochote kitakacho kuwepo ili mradi asilale njaa tu.Utamlisha nini mtoto wa watu na umeshaambiwa mwaka ujao vyuma vinakaza zaidi?
Hamujafungua shule ndo maana!Kwa kawaida mwaka "witiri" ni mzuri tofauti na "shufwa"
ushindwe na ulegee!Aftryu eggiyfd ohkgfvjjknn srtlnbtroi
Imani na sayansi kipi kina nguvu zaidi?Imani tu hakuna kitu hapo. Tupe sababu ya kisayansi ya kuhusianisha namba ya mwaka na hali ya maisha
Anaekunyima msaada anakupa akili ya kujitegemea
Acha kuwa na mawazo tegemezi,fanya kazi kwa bidiii
Bunge la Ulaya lina viti 751, vyote vinakaliwa isipokuwa kiti no: 666, wanaogopa namba!!! Inabidi waje Tanzania kujifunza kuwa namba hazina maana yoyote!!!! Ni imani za kipuuzi, wajifunze sayansi hasa ya bongo!!!Hamujafungua shule ndo maana!
Sawa mkuu.Ajira za afya zitatoka hospital kibao zimejengwa na Jafo zishakamilika wanasubiliwa watumishi tu