Mwaka 2019 utakuwa mgumu sana kimaisha. Tuchukue tahadhari

Mwaka kesho ajira zitapungua kwenye CSOs na kwenye private sector, shillingi itayumba kidogo. Watakao benefit from pre-election spending boom ni wale ambao watakuwa well connected.

Kwa familia na makabila yaliyoko vyama vya upinzani hali huenda ikazidi kuwa ngumu.

Solution ni watu kuwa vumilia wanafamilia watakao punguzwa kazini. Na taasisi/makampuni zitoe short-term jobs kwa watakao punguzwa makazini. Serikali za mitaa ziuze vipande vidogo vidogo vya ardhi kwa watakao punguzwa makazini.

Ni vizuri pia watanzania wakafanya biashara na watu ambao inahisiwa wanatengwa na mfumo wa kisiasa, pamoja na kuwapa ajira watu hao. Hii itawapa hifadhi ya jamii watu hao na kuwa punguzia makali ya maisha.

Ni vizuri pia watu wakajua kwamba kila mtu anaelipa kodi anastahili public goods and services kwenye mkoa wake, regardless ya kabila, dini/dhehebu au itikadi yake.
andiko la kinabii uzi huu unashtua unatoa ole kwa atakayekutwa na kadhia hizi ole ole ole
 
Kw mtazamo wangu, 2019 ndio utakuwa mwaka wa neema kubwa, ukizingatia kuwa ni kipindi ambacho wanasiasa na serikali inatengeneza mazingira ya kukubalika kwa wananchi ili wapate dhamana ya kuongoza tena, kwa hiyo milango mingi itafunguliwa... Mark my words
Vyama vya kisiasa vitabakia kwa Jina.
Kura yako Haina maana.
Mwendo ni ule ule mpaka ZIMBABWE.
 
Hivi wewe hata shule ulienda kweli?? Mtu amesema ni tafakuri yake mwenyewe bado unataka chanzo gani kingine? Aisee, JF imeingiliwa.......

Halafu we mtoto mzuri kunijia juu hivi danga lako jana siku ya sikukuuu lilikuyeyusha nn hasira zako ndio unanibebesh mimi??
 
kama hali ya mapato ni ngumu kuna uwezekano nishahara ikaathiriwa kwa kutopanda au kuchelewa na hata wanaoidai serikali wakachelewehwa kulipwa.
But hali ya hewa ikiwa nzuri bei ya chakula itawapoza watumishi lakini kuwaathiri wakulima. Ikiwa mavunono yatapungua basi itakuwa shida kubwa sana
 
Well said.
Tunakwenda kuiona Zimbabwe ya pili.
Vyuma vilivyokaza sana, sasa vinakwenda kusagika na kukatikakatika.

Ishara zote za kiuchumi zinasema 2019 ni mwaka wa kilio kwa Tanzania. Misaada imeyeyuka, Sarafu imedorora, Petrol imepanda, biashara zimekufa, wawekezaji wamesepa, mapato ya serikali yameshuka, madini yamepungua, wenye makinikia wametushtaki, idadi ya watu imeongezeka, ajira hakuna tena nk.

Tumekwisha.
 
Siku mabeberu wakiachia misaada utakuja kurukaruka humu jiwe amewaweza mabeberu kama wenyewe mnavyaowaita
Anaekunyima msaada anakupa akili ya kujitegemea
Acha kuwa na mawazo tegemezi,fanya kazi kwa bidiii
 
Hamujafungua shule ndo maana!
Bunge la Ulaya lina viti 751, vyote vinakaliwa isipokuwa kiti no: 666, wanaogopa namba!!! Inabidi waje Tanzania kujifunza kuwa namba hazina maana yoyote!!!! Ni imani za kipuuzi, wajifunze sayansi hasa ya bongo!!!
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom