Mwaka 2019 utakuwa mgumu sana kimaisha. Tuchukue tahadhari


dolevaby

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
9,644
Points
2,000
dolevaby

dolevaby

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2013
9,644 2,000
Siku mabeberu wakiachia misaada utakuja kurukaruka humu jiwe amewaweza mabeberu kama wenyewe mnavyaowaita
Anaekunyima msaada anakupa akili ya kujitegemea
Acha kuwa na mawazo tegemezi,fanya kazi kwa bidiii
 
N

nabiidaniel

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2014
Messages
690
Points
1,000
N

nabiidaniel

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2014
690 1,000
Hamujafungua shule ndo maana!
Bunge la Ulaya lina viti 751, vyote vinakaliwa isipokuwa kiti no: 666, wanaogopa namba!!! Inabidi waje Tanzania kujifunza kuwa namba hazina maana yoyote!!!! Ni imani za kipuuzi, wajifunze sayansi hasa ya bongo!!!
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
20,066
Points
2,000
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
20,066 2,000
Siku mabeberu wakiachia misaada utakuja kurukaruka humu jiwe amewaweza mabeberu kama wenyewe mnavyaowaita
tusichotaka ni hayo masharti ya ushoga,ndioaana tunahimiza kujitegemea
 
kajunjumele

kajunjumele

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2014
Messages
1,749
Points
1,500
kajunjumele

kajunjumele

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2014
1,749 1,500
Haya ni maoni na tafakuri yangu.

Iwe ulilia kwa sauti na kububujikwa na machozi mengi au ulililia tumboni na kuvaa tabasamu danganyifu mwaka huu wa 2018, kilio zaidi kwa mwaka 2019 .

Mwaka 2019 Tutarajie haya:

1) Misaada mingi ya wahisani kupungua sana kama sio kukwama.

2) Mapato mengi ya serikali kutumika kulipia miradi ya maendeleo inayoendelea kujengwa kama SGR, Stiglers Gorge, Ujenzi wa Meli, Kununua Ndege na Miundo mbinu

3) Kupanda kwa gharama za nishati ya mafuta na usafiri kama ilivyoanza kuonekana hivi sasa.

4) Kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya sarafu nyingine.

5) Ukosefu wa ajira rasmi - Hakutakuwa na ajira mpya.

6) Anguko kubwa la Sekta binafsi ambayo ndio inaajiri theluthi mbili ya watanzania wenye ajira rasmi.

7) Matumizi mapya ya serikali haswa uchaguzi wa serikali za mitaa nakadhalika.

8) Kuanguka kwa sekta ya kilimo ambako kutatokana na anguko la bei ya mazao na uzalishaji kama inavyojionesha katika kanda zinazozalisha mazao kipindi hiki cha vuli.

Ni vizuri Watanzania wakajua yajayo na yatarajiwayo ili wachukue tahadhari zinazofaa - KNOWLEDGE IS POWER

Heri ya mwaka mpya 2019 Watanzania wote
..inaelekea mwaka 2019 ndo ulitunga usemi usemao yajayo yanafurahisha je uko tayari?
 

Forum statistics

Threads 1,285,036
Members 494,423
Posts 30,847,904
Top