ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,029
- 7,277
Tarehe 8 mwezi wa Tano Mwafrika wa Kike aliandika thread hii akionyesha kuridhishwa na jitihada za Rais Kikwete za kupiga vita ufisadi. Katika post hii Mwafrika wa Kike anaahidi kumpa Rais Kikwete mwezi mmoja bila kumghasi,
Ilipofika tarehe 5 mwezi wa sita mtoa hoja huyohuyo ameandika thread ya kumtaka Rais ajiuzuru,
Hapa panakuwa pagumu kidogo kuelewa.
Labda tuanze na swali hili: Kwani mwezi una siku ngapi?
8th May 2008
Mwafrika wa Kike amuunga mkono Rais Kikwete:
t
Okay!
Habari kwamba kuna watu wanatoa vitisho huko serikalini kuwa watabomoa serikali ya Kikwete kama akiwashughulikia kwa makosa yao ya ufisadi zimefikia kipimo cha juu kabisa cha uvumilivu. Sina sababu ya kuanzisha mjadala wa kujua kama ni kweli au ni propaganda ingawa mpiganaji mwenzangu Kubenea amehakikisha kuwa hii habari ina ukweli ndani yake.
Ninakumbuka vizuri juhudi za mzee wa kasungura na ndege iliyoishiwa mafuta AKA morani AKA mzee wa tripi AKA zungu la Richmonduli AKA Lowasa alivyojaribu kujisafisha kwa kuwatumia kina Balile na wenzake lakini in the process kulipa kisasi kwa kina Mwakyembe na wenzake (JK?) waliomshushua bungeni.
Nimevisikia kwa makini vitisho vya mzee wa vijisenti na kunywa sumu AKA mzee mpenda mbichi (wanafunzi wa shule) AKA mzee wa kashfa kibao kabisa za wizi na ufisadi Tanzania AKA Chenge na lawyer wake kuwa "watalipiza kisasi" na kuwaumbua wote wale wanaowafuatilia kwenye kesi ya wizi.
Nimevisikia pia vitisho vya Patel, Manji, Rostam, Kagoda, Mramba na wezi wenzao kibao kuwa watahakikisha utawala wa nchi na sheria unakuwa mgumu kwa vile watu wanafuatilia ulaji wao. Kwa yote haya, hili la kumtisha hadi Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na serikali yake limefikia kipimo cha juu. Haijalishi kama Mkapa anahusika au ni Apson na wanausalama wenzake. Katika hili hakuna cha mswalie yeyote.
Nimeamua kumpa Kikwete nafasi ili afanye kweli katika hili. Najua kuwa alinidisapointi Butiama lakini kwa sasa nampa tena nafasi nyingine ya kufanya kweli na kuwa supporter wake kila mara anapowachukulia hatua mafisadi. Nitaacha kumpondea Kikwete kwa mwezi mzima (Kikwete-Bashing-Free posts for a month). Niko nawe mheshimiwa sana raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenye vita dhidi ya ufisadi.
Ingawa najua bado hujafanya chochote kwenye wito wangu wa kupunguza bei ya nishati Tanzania lakini sasa nakupa nafasi tena ya kutokomeza ufisadi na mafisadi toka kwenye serikali yako. Kwa hili utapata free ride toka kwangu na free media attacks kwa wale maadui zako wote watakaojaribu kuleta propaganda zao hapa JF na kwingine kote ambako kazi zangu zinafika.
kwa mwezi mzima, mwafrika wa kike anamuunga mkono Kikwete katika juhudi zake za kutokomeza ufisadi Tanzania.
5th June 2008.
A call for president Kikwete to resign:
Dear President Kikwete,
Just Because....
that you have failed us over and over again
that you have not worked hard to fight corruption
that you seem to not remember any of your promises
that you have made criminals your best friends
that you have demonstrated cowardice and incompetence
that your "unnecessary massive" government have impoverished us
of your reckless spending
of your careless embezzlement
of your deliberate actions to divide us
you are a sell off
you are taking us for a ride
you don't remember that we exist
you have taken our land from us
you have robbed our savings and our future
you have not taken time to listen to us - your employer
.....
just because... you don't seem to care ... it doesn't get to you whether we die or live...
just because.... of all these and many more...
I am asking you for the sake of our people and our nation, for the sake of our kids and grand kids, for the sake of our united republic, for the sake of our .. yeah future.... to spare us this looming danger.
I am calling for you to resign your presidency effective immediately so that we can start to build our national again without you as our commander in chief and president.
Yours in pain!
Mwafrika wa kike - 2008!
Asante.