Mwafrika wa Kike mwezi una siku ngapi?

Status
Not open for further replies.

ZeMarcopolo

Platinum Member
May 11, 2008
14,013
7,209
Tarehe 8 mwezi wa Tano Mwafrika wa Kike aliandika thread hii akionyesha kuridhishwa na jitihada za Rais Kikwete za kupiga vita ufisadi. Katika post hii Mwafrika wa Kike anaahidi kumpa Rais Kikwete mwezi mmoja bila kumghasi,

Ilipofika tarehe 5 mwezi wa sita mtoa hoja huyohuyo ameandika thread ya kumtaka Rais ajiuzuru,

Hapa panakuwa pagumu kidogo kuelewa.

Labda tuanze na swali hili: Kwani mwezi una siku ngapi?

8th May 2008
Mwafrika wa Kike amuunga mkono Rais Kikwete:
t
Okay!

Habari kwamba kuna watu wanatoa vitisho huko serikalini kuwa watabomoa serikali ya Kikwete kama akiwashughulikia kwa makosa yao ya ufisadi zimefikia kipimo cha juu kabisa cha uvumilivu. Sina sababu ya kuanzisha mjadala wa kujua kama ni kweli au ni propaganda ingawa mpiganaji mwenzangu Kubenea amehakikisha kuwa hii habari ina ukweli ndani yake.

Ninakumbuka vizuri juhudi za mzee wa kasungura na ndege iliyoishiwa mafuta AKA morani AKA mzee wa tripi AKA zungu la Richmonduli AKA Lowasa alivyojaribu kujisafisha kwa kuwatumia kina Balile na wenzake lakini in the process kulipa kisasi kwa kina Mwakyembe na wenzake (JK?) waliomshushua bungeni.

Nimevisikia kwa makini vitisho vya mzee wa vijisenti na kunywa sumu AKA mzee mpenda mbichi (wanafunzi wa shule) AKA mzee wa kashfa kibao kabisa za wizi na ufisadi Tanzania AKA Chenge na lawyer wake kuwa "watalipiza kisasi" na kuwaumbua wote wale wanaowafuatilia kwenye kesi ya wizi.

Nimevisikia pia vitisho vya Patel, Manji, Rostam, Kagoda, Mramba na wezi wenzao kibao kuwa watahakikisha utawala wa nchi na sheria unakuwa mgumu kwa vile watu wanafuatilia ulaji wao. Kwa yote haya, hili la kumtisha hadi Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na serikali yake limefikia kipimo cha juu. Haijalishi kama Mkapa anahusika au ni Apson na wanausalama wenzake. Katika hili hakuna cha mswalie yeyote.

Nimeamua kumpa Kikwete nafasi ili afanye kweli katika hili. Najua kuwa alinidisapointi Butiama lakini kwa sasa nampa tena nafasi nyingine ya kufanya kweli na kuwa supporter wake kila mara anapowachukulia hatua mafisadi. Nitaacha kumpondea Kikwete kwa mwezi mzima (Kikwete-Bashing-Free posts for a month). Niko nawe mheshimiwa sana raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenye vita dhidi ya ufisadi.

Ingawa najua bado hujafanya chochote kwenye wito wangu wa kupunguza bei ya nishati Tanzania lakini sasa nakupa nafasi tena ya kutokomeza ufisadi na mafisadi toka kwenye serikali yako. Kwa hili utapata free ride toka kwangu na free media attacks kwa wale maadui zako wote watakaojaribu kuleta propaganda zao hapa JF na kwingine kote ambako kazi zangu zinafika.

kwa mwezi mzima, mwafrika wa kike anamuunga mkono Kikwete katika juhudi zake za kutokomeza ufisadi Tanzania.

5th June 2008.
A call for president Kikwete to resign:

Dear President Kikwete,

Just Because....

that you have failed us over and over again
that you have not worked hard to fight corruption
that you seem to not remember any of your promises

that you have made criminals your best friends
that you have demonstrated cowardice and incompetence
that your "unnecessary massive" government have impoverished us

of your reckless spending
of your careless embezzlement
of your deliberate actions to divide us

you are a sell off
you are taking us for a ride
you don't remember that we exist

you have taken our land from us
you have robbed our savings and our future
you have not taken time to listen to us - your employer

.....

just because... you don't seem to care ... it doesn't get to you whether we die or live...

just because.... of all these and many more...

I am asking you for the sake of our people and our nation, for the sake of our kids and grand kids, for the sake of our united republic, for the sake of our .. yeah future.... to spare us this looming danger.

I am calling for you to resign your presidency effective immediately so that we can start to build our national again without you as our commander in chief and president.

Yours in pain!

Mwafrika wa kike - 2008!

Asante.
 
Duh kumbe watu mko makini na maneno ya watu! Ama kweli kuchamba kwingi ...........................

Sasa hiyo inaitwa data collection tunasubiri data analysis kuhusu mtu na statements zake,pia majibu ya maswali/swali yaliyoulizwa hapa.
 
kwi kwi kwi..........zemarcopolo unanidai babake! una suta kijitukizima ....nimekukubali baba!
 
Ze Marcopolo, ingawa siko kumtetea Mwafrika wa Kike, naamini kuwa pale 08 May 2008 alipotoa duku duku lake alikuwa na hiyo dhamira ya kumpa muungwana hiyo moratorium ya mashambulizi kwa mwezi mmoja. Hata hivyo, kwa kuwa dada Mwafrika wa Kike akagundua, ebo mbona huyu ninayempa pumzi ajirekebishe mbona hajaafanya chochote cha maana, ilipofika 05 Juni 2008 akaamua kumfungia kazi. Kumbuka, Mwafrika wa Kikenaye ni binadamu ana uhuru wa kubadilisha mtazamo pale anapojisikia, kama mwanasiasa mahiri Harold Wilson anavyotukumbusha hapa chini:

"He who rejects change is the architect of decay. The only human institution which rejects progress is the cemetery" - Harold Wilson
 
Idadi ya siku katika mwezi inategemea uwezo wa mtu kuhesabu na mazingira yanayomzunguka. Wapo ambao hawana matatizo ya kifedha, kwao mwisho wa mwezi ni kila siku. wapo ambao hupata mishahara yao ya mwezi huu kati kati ya mwezi ujao, wao mwezi una siku 45. Kwa wanaofanya kazi kwa wahindi, mwezi una siku 30 au 31, wafanyakzi wa serikali wana mwezi wenye siku 25 au 26 inategemea tarehe hizo zinaangukia siku gani ya wiki
 
Ze Marcopolo, ingawa siko kumtetea Mwafrika wa Kike, naamini kuwa pale 08 May 2008 alipotoa duku duku lake alikuwa na hiyo dhamira ya kumpa muungwana hiyo moratorium ya mashambulizi kwa mwezi mmoja. Hata hivyo, kwa kuwa dada Mwafrika wa Kike akagundua, ebo mbona huyu ninayempa pumzi ajirekebishe mbona hajaafanya chochote cha maana, ilipofika 05 Juni 2008 akaamua kumfungia kazi. Kumbuka, Mwafrika wa Kikenaye ni binadamu ana uhuru wa kubadilisha mtazamo pale anapojisikia, kama mwanasiasa mahiri Harold Wilson anavyotukumbusha hapa chini:

"He who rejects change is the architect of decay. The only human institution which rejects progress is the cemetery" - Harold Wilson

"We make decesions from facts; when facts change, we change decesions"

Asha
 
Tarehe 8 mwezi wa Tano Mwafrika wa Kike aliandika thread hii akionyesha kuridhishwa na jitihada za Rais Kikwete za kupiga vita ufisadi. Katika post hii Mwafrika wa Kike anaahidi kumpa Rais Kikwete mwezi mmoja bila kumghasi,

Ilipofika tarehe 5 mwezi wa sita mtoa hoja huyohuyo ameandika thread ya kumtaka Rais ajiuzuru,

Hapa panakuwa pagumu kidogo kuelewa.

Labda tuanze na swali hili: Kwani mwezi una siku ngapi?

8th May 2008
Mwafrika wa Kike amuunga mkono Rais Kikwete:
t
Okay!

Habari kwamba kuna watu wanatoa vitisho huko serikalini kuwa watabomoa serikali ya Kikwete kama akiwashughulikia kwa makosa yao ya ufisadi zimefikia kipimo cha juu kabisa cha uvumilivu. Sina sababu ya kuanzisha mjadala wa kujua kama ni kweli au ni propaganda ingawa mpiganaji mwenzangu Kubenea amehakikisha kuwa hii habari ina ukweli ndani yake.

Ninakumbuka vizuri juhudi za mzee wa kasungura na ndege iliyoishiwa mafuta AKA morani AKA mzee wa tripi AKA zungu la Richmonduli AKA Lowasa alivyojaribu kujisafisha kwa kuwatumia kina Balile na wenzake lakini in the process kulipa kisasi kwa kina Mwakyembe na wenzake (JK?) waliomshushua bungeni.

Nimevisikia kwa makini vitisho vya mzee wa vijisenti na kunywa sumu AKA mzee mpenda mbichi (wanafunzi wa shule) AKA mzee wa kashfa kibao kabisa za wizi na ufisadi Tanzania AKA Chenge na lawyer wake kuwa "watalipiza kisasi" na kuwaumbua wote wale wanaowafuatilia kwenye kesi ya wizi.

Nimevisikia pia vitisho vya Patel, Manji, Rostam, Kagoda, Mramba na wezi wenzao kibao kuwa watahakikisha utawala wa nchi na sheria unakuwa mgumu kwa vile watu wanafuatilia ulaji wao. Kwa yote haya, hili la kumtisha hadi Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na serikali yake limefikia kipimo cha juu. Haijalishi kama Mkapa anahusika au ni Apson na wanausalama wenzake. Katika hili hakuna cha mswalie yeyote.

Nimeamua kumpa Kikwete nafasi ili afanye kweli katika hili. Najua kuwa alinidisapointi Butiama lakini kwa sasa nampa tena nafasi nyingine ya kufanya kweli na kuwa supporter wake kila mara anapowachukulia hatua mafisadi. Nitaacha kumpondea Kikwete kwa mwezi mzima (Kikwete-Bashing-Free posts for a month). Niko nawe mheshimiwa sana raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenye vita dhidi ya ufisadi.

Ingawa najua bado hujafanya chochote kwenye wito wangu wa kupunguza bei ya nishati Tanzania lakini sasa nakupa nafasi tena ya kutokomeza ufisadi na mafisadi toka kwenye serikali yako. Kwa hili utapata free ride toka kwangu na free media attacks kwa wale maadui zako wote watakaojaribu kuleta propaganda zao hapa JF na kwingine kote ambako kazi zangu zinafika.

kwa mwezi mzima, mwafrika wa kike anamuunga mkono Kikwete katika juhudi zake za kutokomeza ufisadi Tanzania.

5th June 2008.
A call for president Kikwete to resign:

Dear President Kikwete,

Just Because....

that you have failed us over and over again
that you have not worked hard to fight corruption
that you seem to not remember any of your promises

that you have made criminals your best friends
that you have demonstrated cowardice and incompetence
that your "unnecessary massive" government have impoverished us

of your reckless spending
of your careless embezzlement
of your deliberate actions to divide us

you are a sell off
you are taking us for a ride
you don't remember that we exist

you have taken our land from us
you have robbed our savings and our future
you have not taken time to listen to us - your employer

.....

just because... you don't seem to care ... it doesn't get to you whether we die or live...

just because.... of all these and many more...

I am asking you for the sake of our people and our nation, for the sake of our kids and grand kids, for the sake of our united republic, for the sake of our .. yeah future.... to spare us this looming danger.

I am calling for you to resign your presidency effective immediately so that we can start to build our national again without you as our commander in chief and president.

Yours in pain!

Mwafrika wa kike - 2008!

Asante.

"Tunafanya maamuzi kutokana na urari wa taarifa tulizonazo; kama taarifa zikibadilika, tunabadili maamuzi"

Asha
 
Ze Marcopolo, ingawa siko kumtetea Mwafrika wa Kike, naamini kuwa pale 08 May 2008 alipotoa duku duku lake alikuwa na hiyo dhamira ya kumpa muungwana hiyo moratorium ya mashambulizi kwa mwezi mmoja. Hata hivyo, kwa kuwa dada Mwafrika wa Kike akagundua, ebo mbona huyu ninayempa pumzi ajirekebishe mbona hajaafanya chochote cha maana, ilipofika 05 Juni 2008 akaamua kumfungia kazi. Kumbuka, Mwafrika wa Kikenaye ni binadamu ana uhuru wa kubadilisha mtazamo pale anapojisikia, kama mwanasiasa mahiri Harold Wilson anavyotukumbusha hapa chini:

"He who rejects change is the architect of decay. The only human institution which rejects progress is the cemetery" - Harold Wilson

Sina matatizo na kubadilisha maamuzi. Siku yoyote mtu yeyote akigundua amefanya maamuzi yasiyo sahihi vi vyema kubadilisha ili aanze kufanya yale yaliyo sahihi. Tatizo langu ni pale maamuzi hayo yanapokuwa ni ya kuwapa mawazo watu wengine au ni kwa manufaa ya umma kama ilivyo hapa JF. Mtu anapofanya maamuzi na akaueleza umma maamuzi yake na pengine kuwashawishi baadhi ya watu wamuunge mkono kwa uamuzi wao huo basi ni JUKUMU la mtu huyo kuwaarifu umma kuwa AMEBADILI uamuzi. MWK amekuja na thread ya kumuomba Rais ajiuzuru na amelikwepa jukumu lake la kuwakumbusha wasomi wa thread hiyo kuwa hapo awali aliandika maelezo tofauti juu ya swala hilohilo.

Lengo la thread hii ni kukumbushana MAJUKUMU tuliyo nayo katika kuelemisha jamii.Tukiacha mapengo kama haya tunakuwa sio waelimishaji bali ni wana propaganda - spin masters!

Tujiweke katika nafisa ya wale walioamua kuungana na MWK kumpa Rais mwezi mmoja kama alivyoandika halafu kabla mwezi haujaisha tunaona haya aliyoandika tena, bila kugusia kile alichoandika awali - je tungemfikiriaje MWK?
 
"We make decesions from facts; when facts change, we change decesions"

Asha

One of the major causes of failure in crisis management is improper crisis communication. In our case the author was responsible to communicate that "facts" have changed. Deliberate failure to do so, as it is in this case, is just a spin, which should not be tolerated in free-minded fora.
 
Tarehe 8 mwezi wa Tano Mwafrika wa Kike aliandika thread hii akionyesha kuridhishwa na jitihada za Rais Kikwete za kupiga vita ufisadi. Katika post hii Mwafrika wa Kike anaahidi kumpa Rais Kikwete mwezi mmoja bila kumghasi,

Ilipofika tarehe 5 mwezi wa sita mtoa hoja huyohuyo ameandika thread ya kumtaka Rais ajiuzuru,

Hapa panakuwa pagumu kidogo kuelewa.

.

Ninavyojua mimi mwezi unaweza kuhesabiwa kwa idadi ya siku au ya week. Kwa standard ya kawaida, mwezi una wiki nne. NImeona kwenye ile thread ya kutoa mwezi mzima, mwafrika wa kike amehesabu wiki nne kama ifuatavyo:

kuanzia tarehe 7 mwezi wa tano,

wiki ya kwanza ikaisha tarehe 14, wiki ya pili tarehe 21, wiki ya tatu tar 28 na wiki ya nne ikaisha tarehe 04 mwezi wa sita.

Thread imetumwa tarehe 8, kwa nini umenzia kuhesabu tarehe 7?
 
zema,

katika baadhi ya sentiments za Mwafrika wa Kike....alishawahi kusema kuwa hatosita kumgeukia JK ikiwa hataonyesha hali ya mabadiliko kuelekea positive direction...............pamoja na kumuunga mkono

...........sasa kama watu ni bendera fuata upepo.......sidhani kama MWK na mawazo yake atakuwa msaada kwao.........somebody got to be smart.....kwa mfano uliyeweka contraversy ya MWK.......ungekuwa umemsoma MWK tangu awali wala usingejisumbua ku-quote her posts
 
Hiki ndicho nilikiona kwenye ile thread ya mwafrika wa kike wakati akitangaza kuwa muda aliompa Kikwete umekwisha.

mwafrika wa kike
JF Senior & Premium Member Join Date: Thu Jul 2007
Posts: 5,000
Rep Power: 31

Thanks: 1,100
Thanked 2,516 Times in 1,424 Posts
Credits: 145,992

Re: Mwafrika wa kike kumuunga Mkono Mheshimiwa Kikwete

--------------------------------------------------------------------------------

Hoyaaaaa....

Ilianza May 7th,

May 14th - Checked
May 21st - Checked
May 28th - Checked
June 04th - Checked

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Kikwete amepata breathng room ya mwezi mzima lakini ameshindwa kufanya chochote kuhusu EPA, Richmond na Buzwagi na mengineyo mengi?!

Kazi inaanza sasa rasmi!

I am sorry JK, this is too much to handle!

Yeye anahesabu wiki, na wiki inasiku saba. Naona umekazania hiyo typo ya tarehe 7 wakati inawezekana alimaanisha tarehe 8 kwa sababu ukihesabu siku saba tokea tarehe 8 (thursday), wiki ya kwanza inaisha tarehe 14 (wednesday).

Katika hili bado mwafrika wa kike yuko sawa.

wiki nne zinakwisha tarehe 04 june (wednesday).
 
zema,

katika baadhi ya sentiments za Mwafrika wa Kike....alishawahi kusema kuwa hatosita kumgeukia JK ikiwa hataonyesha hali ya mabadiliko kuelekea positive direction...............pamoja na kumuunga mkono

...........sasa kama watu ni bendera fuata upepo.......sidhani kama MWK na mawazo yake atakuwa msaada kwao.........somebody got to be smart.....kwa mfano uliyeweka contraversy ya MWK.......ungekuwa umemsoma MWK tangu awali wala usingejisumbua ku-quote her posts

Ogah...

Ukiangalia ni kweli mwafrika wa kike alisubiri mwezi ukapita (wiki nne). Swali la kuuliza hapa labda lingekuwa kwa nini mwafrika wa kike anahesabu wiki badala ya siku? Ukiangalia kwenye thread ya count down ya report ya madini, yeye alihesabu wiki 12 kwa maana ya miezi mitatu aliyotoa Kikwete.

Zemarcopolo alidhani amepata kitu hapa cha kushambulia lakini kwa mara nyingine tena amejiabisha.
 
One of the major causes of failure in crisis management is improper crisis communication. In our case the author was responsible to communicate that "facts" have changed. Deliberate failure to do so, as it is in this case, is just a spin, which should not be tolerated in free-minded fora.

Nothing has changed buddy.... get your facts straight .... you are shaming yourself on this one. Go back to the drawing board. Nothing to rant about here...

Go mwafrika wa kike.
 
Sina matatizo na kubadilisha maamuzi. Siku yoyote mtu yeyote akigundua amefanya maamuzi yasiyo sahihi vi vyema kubadilisha ili aanze kufanya yale yaliyo sahihi. Tatizo langu ni pale maamuzi hayo yanapokuwa ni ya kuwapa mawazo watu wengine au ni kwa manufaa ya umma kama ilivyo hapa JF.

Kama nilivyokuonyesha hapo juu, hakuna maamuzi yoyote yaliyobadilishwa katika hili. Mwafrika wa kike bado yuko right kwenye hesabu yake. Naona umeamua kujiabisha sasa.

Mtu anapofanya maamuzi na akaueleza umma maamuzi yake na pengine kuwashawishi baadhi ya watu wamuunge mkono kwa uamuzi wao huo basi ni JUKUMU la mtu huyo kuwaarifu umma kuwa AMEBADILI uamuzi. MWK amekuja na thread ya kumuomba Rais ajiuzuru na amelikwepa jukumu lake la kuwakumbusha wasomi wa thread hiyo kuwa hapo awali aliandika maelezo tofauti juu ya swala hilohilo.

Niliona jana mkijisifia na wana ccm wenzako kuwa mko hapa kuibadili JF iwe ya wanaccm na hiki ndicho mnakuja nacho. ccm kweli imeishiwa, watu hata shule sijui hawakwenda?

Lengo la thread hii ni kukumbushana MAJUKUMU tuliyo nayo katika kuelemisha jamii.Tukiacha mapengo kama haya tunakuwa sio waelimishaji bali ni wana propaganda - spin masters!

Tujiweke katika nafisa ya wale walioamua kuungana na MWK kumpa Rais mwezi mmoja kama alivyoandika halafu kabla mwezi haujaisha tunaona haya aliyoandika tena, bila kugusia kile alichoandika awali - je tungemfikiriaje MWK?

Nadhani umegundua kuwa mwezi ulikwisha, kwa sasa wewe ndio inabidi iulizwe hapa kuwa, je watu wakuchukulie vipi?
 
kwi kwi kwi..........zemarcopolo unanidai babake! una suta kijitukizima ....nimekukubali baba!

Kijitu kizima wewe gaijini sasa umesutwa hapa.... kwi kwi kwi kwi.... unakubali haraka haraka kumbe unauzwa.
 
Duh kumbe watu mko makini na maneno ya watu! Ama kweli kuchamba kwingi ...........................

Sasa hiyo inaitwa data collection tunasubiri data analysis kuhusu mtu na statements zake,pia majibu ya maswali/swali yaliyoulizwa hapa.

naona wewe hapa ndiye ulitaka kuchamba kwingi na kujikuta ukiaibika. Majibu yametolewa na Asha, mama paroko, ogah, mimi na wengine zaidi wanakuja kuwaeleza wanafiki kuwa msome kidogo maandishi kabla ya kujiabisha hapa.

MWK mwenyewe akija hapa mtakuwa mmelowa
 
Kwani wiki nne hazijaisha? Siku za kukaa kazini ngapi ktk wiki? Mtu kaamua tu kuleta thread isiyo na tija!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom