Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Hata anavyofanya REALITY ni sawa! akiweza kutengeneza generation yake na propaganda vizuri basi mawazo yake yatarithishwa vizazi na vizazi na kuwa sawa na biblia.

Reality alichokataa ni kushikiwa akili na mtu au vikundi vya watu! (Hata mimi nakataa)
Sawa naomba mimi na wewe tujadiliane.
Lengo si ni kujifunza?
Naandika hapo chini.
 
Urithi wa nyaraka za enzi za mababu kwa michoro ya mapango na mengineyo mengi,pia kuna watu mpaka leo wanaishi kwa mfumo wa enzi
Michoro hiyo imedhibitiwa na nani na nani alikuwa anaifasiri ?
 
Safi kabisa, namaanisha muandishi amejuaje ukweli wa hizo habari mpaka akaamua kuziandika na kuzisambaza ?
Nyaraka za kale zilizohifadhiwa mapangoni,milimani na katika sehemu za siri misituni
 
Swali langu hujalielewa au unalikwepa, baada ya kupata hizo nyaraka, walitumia nini au njia gani kujia kwamba yaliyo kwenye nyaraka hizo ni ya kweli ?
 
Mwanzo 2:10-14.

"10Ukatoka mto katika Edeni uliotiririka maji na kuinywesha hiyo bustani; kutoka huko mto huo uligawanyika kuwa mito minne.
11Jina la mto wa kwanza ni Pishoni; huo waizunguka nchi yote ya Hawila ambako kuna dhahabu.
12Dhahabu ya nchi hiyo ni safi kabisa. Huko pia kuna marashi yaitwayo bedola na vito viitwavyo shohamu.
13Jina la mto wa pili ni Gihoni; huo waizunguka nchi yote ya Kushi.
14Jina la mto wa tatu ni Tigri, nao watiririkia upande wa mashariki wa nchi ya Ashuru; na jina la mto wa nne ni Eufrate."

Hayo ni maneno ya kwenye Bible ambayo nadhani REALITY na isajorsergio mnayaamini.

Hayo majina mengi yaliyotumika hapo sasa hivi hayatumiki. Sasa ni jukumu la mtoa mada kuthibitisha ule mto ulikuwa ni mto NILE kwa kutumia data hizo.
 
Kwasababu ndo kizazi chao na uhalisia wao toka uumbaji
Swali langu hujalielewa au unalikwepa, baada ya kupata hizo nyaraka, walitumia nini au njia gani kujia kwamba yaliyo kwenye nyaraka hizo ni ya kweli ?
 
Ndo nakuambia hii ndo inaitwa the stolen legacy ukweli umefichwa na wazungu wamepindua uhalisia
Mwanzo 2:10-14.

"10Ukatoka mto katika Edeni uliotiririka maji na kuinywesha hiyo bustani; kutoka huko mto huo uligawanyika kuwa mito minne.
11Jina la mto wa kwanza ni Pishoni; huo waizunguka nchi yote ya Hawila ambako kuna dhahabu.
12Dhahabu ya nchi hiyo ni safi kabisa. Huko pia kuna marashi yaitwayo bedola na vito viitwavyo shohamu.
13Jina la mto wa pili ni Gihoni; huo waizunguka nchi yote ya Kushi.
14Jina la mto wa tatu ni Tigri, nao watiririkia upande wa mashariki wa nchi ya Ashuru; na jina la mto wa nne ni Eufrate."

Hayo ni maneno ya kwenye Bible ambayo nadhani REALITY na isajorsergio mnayaamini.

Hayo majina mengi yaliyotumika hapo sasa hivi hayatumiki. Sasa ni jukumu la mtoa mada kuthibitisha ule mto ulikuwa ni mto NILE kwa kutumia data hizo.
FB_IMG_1591479203939.jpeg
 
Kwa muktadha huo, unafikiri kwa nini majina hayo hayatumiki isipokuwa Tigris?
 
Nachotaka ufanye wewe utafiti binafsi mi nishatoa mwanga,kwani huwezi soma kitabu mwenyewe na kingine ukikubali kushikiliwa akili na mataifa ya nje ujue umepotea

Of course you are powerless in the world if you don't know our race's ancestors. I'm not talking about your individual ancestors, but our collective ancestors as the Afrakan race. Our ancestors are the link between Heaven and Earth and therefore a great source of power. Know our ancestors. Call their name when you come together.
Unamaanisha wamegeuza Biblia hao wazungu? Na hiyo picha hapo chini ndio ushahidi?

Tatizo tafiti zenu mnazifanyia YouTube mnaona mmeshakuwa watafiti.
FB_IMG_1591479722233.jpeg
 
Back
Top Bottom