Mwafrika bila mzungu si chochote

Mwafrika bila mzungu si chochote

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,312
Reaction score
55,973
1. Africa ya Kusini kabla ya Mandela kuwa huru ilikuwa na uchumi unaotisha na timu kali ( bafanabafana ),baada ya waafika kushika dola uchumi hauridhishi na timu imebaki jina.

2. Wachezaji wa soka toka Africa kama Yaya Toure,Drogba,Etoo nk utawajua ni wachezaji wakiwa ulaya wakija kuchezea timu zao za Afrika si lolote si chochote.

3. Zimbabwe kabla ya uhuru ilikuwa kama London mliofika Harare mtaona mitaa yake ilivyo sasa si lolote si chochote

4. Tanzania kiwanda cha bia na sigara vilitaka kufa baada ya wazungu kuvichukua vinaongoza kwa kulipa kodi

5. Reli zote za Tanzania ,(tazara mchina)majengo mazuri ya serikali kando ya bahari ya hindi including ikulu na Oysterbay ni kazi ya wazungu.

6. Chaguzi zote za kidemokrasia huwa zinapata bajeti toka kwa wazungu.

7. Wasomi wazuri wa Africa wengi wao waliwahi kwenda nje ya nchi kujiendeleza kielimu.

8. Karne ya kumi na tano Africa na Ulaya vilikuwa sana kiuchumi na kitechnolojia leo ni mbingu na ardhi

Hitimisho

Kwa vile katiba zetu zinaandaliwa na waafika wenyewe si lolote si chochote.
 
1.africa ya kusini kabla ya mandela kuwa huru ilikuwa na uchumi unaotisha na timu kali( bafanabafana ),baada ya waafika kushika dola uchumi hauridhishi na timu imebaki jina
2.wachezaji wa soka toka africa kama yaya toure,drogba,etoo nk utawajua ni wachezaji wakiwa ulaya wakija kuchezea timu zao za afrika si lolote si chochote
3.zimbabwe kabla ya uhuru ilikuwa kama london mliofika harare mtaona mitaa yake ilivyo sasa si lolote si chochote
4.tanzania kiwanda cha bia na sigara vilitaka kufa baada ya wazungu kuvichukua vinaongoza kwa kulipa kodi
5.reli zote za tanzania ,(tazara mchina)majengo mazuri ya serikali kando ya bahari ya hindi including ikulu na oysterbay ni kazi ya wazungu
6.chaguzi zote za kidemokrasia huwa zinapata bajeti toka kwa wazungu
7.wasomi wazuri wa afica wengi wao waliwahi kwenda nje ya nchi kujiendeleza kielimu
8.karne ya kumi na tano africa na ulaya vilikuwa sana kiuchumi na kitechnolojia leo ni mbingu na ardhi

hitimisho
kwa vile katiba zetu zinaandaliwa na waafika wenyewe si lolote si chochote

Umesahau lugha....
 
Docta james watson mbona alithibitisha hili kisayansi.
Kikwete alisema tusimwamini
 
hata makao makuu ya AU tunajengewa na wazungu,vyandarua navyo kwa msaada wa watu wa marekani still watu wakipewa vyandarua wanavitumia kufugia vifaranga au kuvulia dagaa,wengine wanaenda kwa mganga au kuombewa na mzee wa upako au mama rwakatare ili wapate viza kwenda ulaya
 
8.karne ya kumi na tano africa na ulaya vilikuwa sana kiuchumi na kitechnolojia leo ni mbingu na ardhi
Mkuu mdukuzi naomba unifahamishe hivi karne ya 15 Afrika ilikuwa juu kwa sababu ya wazungu ? Mbinguni umeisha wahi kufika? Kama kwao ni mfano wa mbinguni kwanini bado wanakuja kutafuta maisha huku 'ardhini'?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mdukuzi naomba unifahamishe hivi karne ya 15 Afrika ilikuwa juu kwa sababu ya wazungu ? Mbinguni umeisha wahi kufika? Kama kwao ni mfano wa mbinguni kwanini bado wanakuja kutafuta maisha huku 'ardhini'?
ndo tumsake huyo aliyeturoga
 
Back
Top Bottom