.
Kipara kutokuwa nywele haimaanishi kwamba nywele huota kutoka kipara. Hivyo basi nywele ikiwa ni nyeupe au nyeusi ni lazima zimetoka/ota katika kipara. Haiingii akilini mtu kudai kwamba nywele zimeota kutoka katika utupu(No where). Maana yake ni kwamba wanaosema hakuna Mungu ni imani walioipata kwa kusikia sawa na wale wanaosema kuna Mungu. 'imani' ndio bayana yao na sii vinginevyo au Karanga unaweza ku-pfoof bila shaka imani yako kwamba hakuna Mungu?
.
Nimejitahidi kusoma anthologies zilizokusanya malumbano ya manguli hawa, nilianza na "Philosophy of Religion: An Anthology" kabla hata sijaenda high school, humo wameandika arguments kibao za kina Plato, Aristotle, Aquinas, Augustine, Anselm, Kant,Nietzsche,Berkeley,Russell tangu my coming of age, nika augment na kina Dawkins, Hitchens, Kung na wengine wengi mpaka outside of western thought kwa kina John Mbiti na kwenye ma Dhammapada, Tripitaka, Bhagavad Gita, Vedanta, Upanishads etc.
Nimeangalia mpaka the gnostic bible, nimesoma si Quran na biblia tu, bali mpaka vitabu vilivyokatwa vikatolewa nje ya biblia na Constantine hapo Nicea.
Kwa hiyo si kwamba nasema haya kwa ubishi tu bila kufanya the basic readings first.
Ndiyo maana mara nyingine nauliza maswali ambayo hayapati majibu, haya maswali ni kutoka kwenye classical arguments ambazo mpaka leo hazijapatiwa majibu.
Hata kama nakataa uwepo wa mungu, huwezi kusema nakataa kwa sababu sijamtafuta. Nimemtafuta mpaka kwenye quantum theory huko, hayupo.
Sasa mbona mimi nikienda kanisani nakumuomba huyo mungu.. nafarijika sana na pia sometime huwa anajibu maombi kwA shida zangu kutatulika
Ikiwa unaamini hiyo Quantum Theory, kwanini usiamini kuwa Mungu yupo, na ndiye Yule Yule alileta hiyo Q/Theory kwetu sisi binadamu?
Wewe naona unakuja na akili zako za shule ya kata,mada ni kuwapo au kutokuwapo kwa Mungu.Hizi shule za kata ni Tatizo kubwa.Unataka kuwaomdowa watu katika mada iliyopo,uwapeleke sipo.
The Fool Says, There Is No God.
Psalm 14
Nimejitahidi kusoma anthologies zilizokusanya malumbano ya manguli hawa, nilianza na "Philosophy of Religion: An Anthology" kabla hata sijaenda high school, humo wameandika arguments kibao za kina Plato, Aristotle, Aquinas, Augustine, Anselm, Kant,Nietzsche,Berkeley,Russell tangu my coming of age, nika augment na kina Dawkins, Hitchens, Kung na wengine wengi mpaka outside of western thought kwa kina John Mbiti na kwenye ma Dhammapada, Tripitaka, Bhagavad Gita, Vedanta, Upanishads etc.
Nimeangalia mpaka the gnostic bible, nimesoma si Quran na biblia tu, bali mpaka vitabu vilivyokatwa vikatolewa nje ya biblia na Constantine hapo Nicea.
Kwa hiyo si kwamba nasema haya kwa ubishi tu bila kufanya the basic readings first.
Ndiyo maana mara nyingine nauliza maswali ambayo hayapati majibu, haya maswali ni kutoka kwenye classical arguments ambazo mpaka leo hazijapatiwa majibu.
Hata kama nakataa uwepo wa mungu, huwezi kusema nakataa kwa sababu sijamtafuta. Nimemtafuta mpaka kwenye quantum theory huko, hayupo.
Wakati nasoma haya maelezo yako nimekumbuka kisa kimoja cha bata pale kwenye nyumba ninayoishi
Huyu bata ana vifaranga vingi,na nyumba ambayo tunaishi ambayo na mmiliki wa bata yule anaishi ina ukuta uliotenganisha nyumba hii na nyingine,kuna mahali kuna tundu ambalo ni dogo kiasi cha kuruhusu vifaranga kupita hapo na kwenda kwenye nyumba ya jirani
Siku ya tukio vifaranga vya bata yule vilipita pale kwenye lile tundu na kwenda kwenye nyumba ya jirani,baadae vile vifaranga vilishindwa kujua njia vilivyingilia na vikaanza kupiga kelele ya kumuita mama yao
Kitendo hicho kilimfanya mama yao asikie zile kelele na akaenda mpaka pale kwenye tundu na kulazimisha apite palepale kwa kuwa kupitia hapo ndio anawaona vifaranga vyake,nilimtazama kwa muda yule bata nikidhani kuwa anaweza kujua kuwa lile tundu ni dogo na hataweza kupitia hapo kuwaendea wanae lakini niliona muda unakwenda na haondoki pale
Ilibidi niende kumtoa pale ili nimpeleke kwenye geti aweze kuwafuata wanae lakini kwa kitendo changu cha kutaka kumtoa pale alikiona kama ni kibaya na alianza kupambana na mimi
Kwa mawazo yake yeye aliona ile ilikuwa ni njia sahihi kabisa ya kuwapata wanae na aliona ni jambo lenye mantiki kabisa na kitendo changu kikawa kama cha kijinga hivi!
Vivyo hivyo, binadamu wanaotaka ku prove kwamba mungu yupo wanakuwa kama huyo bata anayetaka kupenya katika hilo tundu ambalo hawezi kupita.
Non Theists are addicted and obsessed to God more than theists. It's interesting isn't it? A lot of them gravitate toward religious threads, which is about God and religion, when they claim to have none.
Non-theists are obsessed with God.
Why do Non-theists talk about God more than Christians?
Nimejitahidi kusoma anthologies zilizokusanya malumbano ya manguli hawa, nilianza na "Philosophy of Religion: An Anthology" kabla hata sijaenda high school, humo wameandika arguments kibao za kina Plato, Aristotle, Aquinas, Augustine, Anselm, Kant,Nietzsche,Berkeley,Russell tangu my coming of age, nika augment na kina Dawkins, Hitchens, Kung na wengine wengi mpaka outside of western thought kwa kina John Mbiti na kwenye ma Dhammapada, Tripitaka, Bhagavad Gita, Vedanta, Upanishads etc.
Nimeangalia mpaka the gnostic bible, nimesoma si Quran na biblia tu, bali mpaka vitabu vilivyokatwa vikatolewa nje ya biblia na Constantine hapo Nicea.
Kwa hiyo si kwamba nasema haya kwa ubishi tu bila kufanya the basic readings first.
Ndiyo maana mara nyingine nauliza maswali ambayo hayapati majibu, haya maswali ni kutoka kwenye classical arguments ambazo mpaka leo hazijapatiwa majibu.
Hata kama nakataa uwepo wa mungu, huwezi kusema nakataa kwa sababu sijamtafuta. Nimemtafuta mpaka kwenye quantum theory huko, hayupo.
Kwani ukiwa atheist kuna ubaya gani?
Vivyo hivyo, binadamu wanaotaka ku prove kwamba mungu yupo wanakuwa kama huyo bata anayetaka kupenya katika hilo tundu ambalo hawezi kupita.
Fear of the unknown brother...the hereafter so to speak..l'au-dela!
The true fool is the one who believes in a nonexistent god because
he is afraid of being called a fool out of a cleverly manipulative verse written by ancient Jews.
Kwa hiyo mimi kwa kukubali kuwa "fool" kwa kutoamini kuwepo kwa mungu, nime ji release from the clever shackle of the human bible writers, shackle ya kuamini mungu hata kama ha make sense, kwa sababu naogopa tu kuitwa a "fool".
I already declared myself a Shakesperean fool, a court jester.
I don't need the bible to tell me that I am a fool.
I find a release in being a fool that allows me to learn, like no other person who is afraid of the label "fool".