Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Mwacheni Mungu aitwe Mungu

The true fool is the one who believes in a nonexistent god because he is afraid of being called a fool out of a cleverly manipulative insurance policy verse written by ancient Jews.

The true fool is the one wasting her time talking about God who does not exist, inter-alia, the true fool is the one spending her quality time arguing about non existing deity. That is Dumb.
 
Hii anaweza kuijibu Kiranga !!!

Kama hakuna dawa ya UKIMWI, wanaharakati wa kupiga vita UKIMWI wanaweza ku gravitate sana kwenye threads za maganga ongo wanaosema wana dawa ya UKIMWI na kuwapa watu false hope, kuwamalizia hela za wananchi bila ukweli, na kuongeza janga la maambukizi.

That makes sense right?

Substitute "dawa ya UKIMWI" with "mungu" and use the same logic, utaona ni kwa nini inakuwa muhimu kwa wasioamini uwepo wa mungu waeleze ulimwengu kwamba mungu hayupo.

Kama wanaharakati ambao hawaamini kwamba dawa ya UKIMWI ipo wanavyoweza kuwatahadharisha watu dhidi ya false hope ya dawa ya UKIMWI isiyopo, wasioamini mungu wanaweza kuwa na wajibu huo huo.
 
Kabla ya kusema mwenyezi mungu kaumba binadamu na wanyama, kwanza prove kwamba yupo. Hujaprove kwamba yupo usharukia kwamba kaumba?

Kina Firauni wamekongolewa na entropy per the second law of thermodynamics, kama ambavyo kila kitu kitakongoroka.

Sasa unataka kusema entropy na the second law of thermodynamics ndiyo mungu?

Hata nikisema sijui jibu la swali hili, hilo halina maana jibu lake ni mungu.

Ukiniuliza square root ya mbili ni nini? Nikasema sijui, hilo halina maana jibu lake ni nane. Why should it be nane, show me how.

Kwa nini binadamu awe kaumbwa na mungu? Nioneshe.

Kama unasema complexity ni lazima iwe na muumba, ultimately kwa principle hiyo hiyo itabidi mungu naye awe na muumba, na muumba wake awe na muumba, ad infinitum.

Cha kushangaza hapa ni wewe unayekubali kwamba complexity ndogo kama injini inatengenezwa na binadamu, lakini complexity kubwa kama mungu haitengenezwi.

Ni kama kukubali kwamba mkokoteni ni lazima utengenezwe na binadamu, hauwezi kutokea wenyewe, lakini Jumbo Jet linaweza kujitengeneza lenyewe tu.

Kama binadamu (low complexity) ni lazima awe ameumbwa na mungu, na complexity ni alama ya intelligent design, then mungu (high complexity) naye ni lazima awe ameumbwa, na muumba wake lazima awe ameumbwa.

This god falls on his face.

Wakiweza kufikiri maana yake hapo si nje ya uwezo wao, by definition binadamu hawezi kufikiri nje ya uwezo wake.

Usiogope kufikiri kwa kuogopa kufikiri nje ya uwezo wako.Utakuwa kama mtu anayeogopa kutembea kwa kuogopa kufika mwisho wa dunia na kudondoka.
Nilichogundua imani zetu ni tofauti prove yangu mie kama mungu kaumba binadamu, na dunia kwa ujumla kwako inaweza kuwa ni kituko, la msingi kila mmoja ana mamlaka na maamuzi ya kuamini anachokiamini kwenye masuala ya imani kama Mungu yupo au hayupo, na dunia imejiumba yenyewe au imeumbwa.
 
Kama hakuna dawa ya UKIMWI, wanaharakati wa kupiga vita UKIMWI wanaweza ku gravitate sana kwenye threads za maganga ongo wanaosema wana dawa ya UKIMWI na kuwapa watu false hope, kuwamalizia hela za wananchi bila ukweli, na kuongeza janga la maambukizi.

That makes sense right?
Yes kwakuwa ukimwi upo!

Substitute "dawa ya UKIMWI" with "mungu" and use the same logic, utaona ni kwa nini inakuwa muhimu kwa wasioamini uwepo wa mungu waeleze ulimwengu kwamba mungu hayupo.

Hapa umechemka
Wale wanafanya wanayofanya kwakuwa ukimwi upo lakini dawa haipo
Ni bora useme mnafanya haya kwakuwa mnaamini Mungu yupo lakini imani sahihi ya kumhusu haipo
Hapo ndipo mfano wako utakuwa na maana!!!!
 
Mkuu hii hata mimi nashangaa
[/COLOR]

Kweli mkuu!

Mkuu, wale watu wanao zungumza vitu ambavyo havipo na kupigana kwa jasho lote, si ndio wanaitwa punguani? Eti wao wanasema na kujiita thinkers!! A thinker who is thinking about non existing God. Lord have mercy on these sons of darwin.

Jamaa wanakesha hapa kupinga Mungu ambaye hayupo, tena huku wakitokwa povu. Lazina wana upunguani hawa.
 
Mkuu, wale watu wanao zungumza vitu ambavyo havipo na kupigana kwa jasho lote, si ndio wanaitwa punguani?

Jamaa wanakesha hapa kupinga Mungu ambaye haupo, tena huku wakitokwa povu. Lazina wana upunguani hawa.

Hapa ndipo pa kujiuliza maswali kuhusu hawa watu
Halafu ukiwataka wakupe ushahidi kuwa hakuna Mungu hawakupi wanasema eti wewe uliesema Mungu yupo ndio utoe ushahidi

Sasa unajiuliza huyu mtu amewezaje kukataa kuwa hakuna Mungu kama hata ushahidi hana?
 
By the way umesoma The Kybalion - A Study of The Hermetic Philosophy of Ancient Egypt and Greece by Three Initiates? Binafsi nimesoma ila sijaimaliza. Wanaongelea kuhusu The All ambaye amekuwepo, yupo na atakuwepo...hakuanza wala hatakwisha na ni vigumu kum-perceive kwa sense yoyote ile...yeye ndiyo chanzo cha kilichokuwepo, kilichopo na kitakachokuwepo...

Una connect vipi The Kybalion, kama imeisoma tayari, na thread hii?

Kama huyo "The All" ni vigumu kum pereceive kwa sense yoyote ile wao wamem perceive vipi?

Ukristo/ Uyahudi umeiba concepts hizi kwa majirani zao hao Egyptians/ Babylonians na watu wengine wa maeneo hayo.

Ukisoma "The Epic of Gilgamesh" utaona habari zote za mafuriko ya Nuhu ziliandikwa kabla, Wayahudi wameibia na kubadilisha tu.

Habari za Musa kuokotwa na mwanamfalme zote zilishaandikwa kabla ya nyakati za Wayahudi.

Habari za mtoto wa mungu kuzaliwa nabikira zilishaandikwa kabla ya kuzaliwa kwa Yesu.

Kwa hiyo hata hii habari ya miungu ya Misri ikiwa sawa na idea ya almighty god sishangai.

Walichofanya Wayahudi ni kutoka kwenda kwenye monotheism, in a strangely quirky way that makes the Tanzanian Union look like child play if you thought it was strange.

Because the Christian idea of monotheism tells you 3 = 1!

I guess god is above number theory, but couldn't he have mercy on us mere mortal and make the trinity a bit more comprehensible to us?

Of course he couldn't, he is not there.It is all a man made house of cards.

And in this age of information it is crumbling down.
 
Inakuwaje mungu mwenye uwezo wote na upendo wote atengeneze ulimwengu wenye mateso na maovu mengi kama huu?

Ina maana alishindwa kutengeneza mzuri zaidi?

Kama alishindwa ni kweli uwezo wake hauna mwisho?

Au hakushindwa ila hakutaka tu?

Kama hakutaka tu, ni kweli kwamba upendo wake hauna mwisho?
mkuu hii nahisi ni dhana, na ni mjumuiko wa watu wenye fikra pevu sana ambao waliamini kwa theory hii wataiteka dunia na hakika wamefanikiwa.labda kuna namna ingine yavutendaji wa mungu na au hayupo kabisa.wajinga ndio waliwao.
ukichunguza sana ubagundua walioanzisha hii dhana ndio wanaoamua jinsi dunia inavyotakiwa kwenda maana tayari wanaijua siri ya dunia.
 
Hapa ndipo pa kujiuliza maswali kuhusu hawa watu
Halafu ukiwataka wakupe ushahidi kuwa hakuna Mungu hawakupi wanasema eti wewe uliesema Mungu yupo ndio utoe ushahidi

Sasa unajiuliza huyu mtu amewezaje kukataa kuwa hakuna Mungu kama hata ushahidi hana?

Most of them are paranoid with the truth and fear of death. Actually, hawa wote wana u schizophrenia fulani.

Just look at this. Let us use their assumption:

Kama Mungu hayupo,..... na tunafahamu kuwa hawana ushaidi kusaidia madai yao kuwa Mungu hayupo.

Kwanini wanatokwa povu na kupoteza muda wao kuzungumzia Mungu ambaye hayupo?

I mean, how can a thinker wast her time talking about God who does not exists? Halafu eti wanadai na kusema wanatumia LOGIC!!! Where is the logic here, spending your time talking about God who does not Exists? Angalia wametuma post Ngapi kwenye hii MADA? I will expect wangekuwa kule kwenye Tech/ lakini wapi bwana.

Non theists are addicted and obsessed with God, WHY?

Hapa ndipo pa kujiuliza maswali kuhusu hawa watu
Halafu ukiwataka wakupe ushahidi kuwa hakuna Mungu hawakupi wanasema eti wewe uliesema Mungu yupo ndio utoe ushahidi

Sasa unajiuliza huyu mtu amewezaje kukataa kuwa hakuna Mungu kama hata ushahidi hana?
nanyi mtupe ushahidi kama mungu yupo.
 
mkuu hii nahisi ni dhana, na ni mjumuiko wa watu wenye fikra pevu sana ambao waliamini kwa theory hii wataiteka dunia na hakika wamefanikiwa.labda kuna namna ingine yavutendaji wa mungu na au hayupo kabisa.wajinga ndio waliwao.
ukichunguza sana ubagundua walioanzisha hii dhana ndio wanaoamua jinsi dunia inavyotakiwa kwenda maana tayari wanaijua siri ya dunia.

Kuna mchizi - form Voltaire I believe- alisema "If god does not exist, it is necessary to invent him" kwa maana hiyo ya kutaka ku control watu.

Kwamba watu wakijua mungu hayupo watafanya fujo, kwa hiyo ni lazima kuwatia uoga wa mungu ili kuwe na some sort of order, hata kama mungu hayupo.

Unaweza kushangaa kukuta Papa na maaskofu wakubwa wa makanisa hawaamini mungu yupo!

Watu wengi wanaosoma theology ukiwabana sana wanakubali kwamba dini na mungu ni mambo ya utamaduni zaidi ya reality.
 
Ngoja tuone!!!!!!!!!!!!

Her ability is limited to darwinic knowledge. Ndio maana huwa hawajui hater gender zao. Ask her to prove to you that she is not a Woman. Utaona atakavyo toka nduki.
 
Kama huyo "The All" ni vigumu kum pereceive kwa sense yoyote ile wao wamem perceive vipi?

Ukristo/ Uyahudi umeiba concepts hizi kwa majirani zao hao Egyptians/ Babylonians na watu wengine wa maeneo hayo.

Ukisoma "The Epic of Gilgamesh" utaona habari zote za mafuriko ya Nuhu ziliandikwa kabla, Wayahudi wameibia na kubadilisha tu.

Habari za Musa kuokotwa na mwanamfalme zote zilishaandikwa kabla ya nyakati za Wayahudi.

Habari za mtoto wa mungu kuzaliwa nabikira zilishaandikwa kabla ya kuzaliwa kwa Yesu.

Kwa hiyo hata hii habari ya miungu ya Misri ikiwa sawa na idea ya almighty god sishangai.

Walichofanya Wayahudi ni kutoka kwenda kwenye monotheism, in a strangely quirky way that makes the Tanzanian Union

Haya hata mimi nayajua

Ni kitu gani kimekufanya uone kuwa wayahudi walikopi?
 
Hapa ndipo pa kujiuliza maswali kuhusu hawa watu
Halafu ukiwataka wakupe ushahidi kuwa hakuna Mungu hawakupi wanasema eti wewe uliesema Mungu yupo ndio utoe ushahidi

Sasa unajiuliza huyu mtu amewezaje kukataa kuwa hakuna Mungu kama hata ushahidi hana?

Siku utakayonipa ushahidi kwamba hakuna ukoo wa Wachagga wenye miguu mitatu wanaoishi juu ya mlima Kilimanjaro ndiyo siku nitakayokupa ushahidi kwamba mungu hayupo.
 
Haya hata mimi nayajua

Ni kitu gani kimekufanya uone kuwa wayahudi walikopi?

Kwa sababu yaliandikwa kabla ya wakati wao, wakaja wao wakayachukua almost vile vile na kubadili majina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom