Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,926
- 4,031
Kwani kuna mahali popote nimetaja jina la mtu?
Wewe si ulikuwa unataka nikuoneshe mambo ya ajabu niliyosema unaandika?
Umenifanya nicheke mpaka nimehisi njaa!!!!
Khaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Umenifanya nicheke mpaka nimehisi njaa!!!!
Khaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Halafu unakuta jitu zima halijishughulishi kazi kukalisha tu linategemea kupita bar kuja kuomba... mwenyez mungu amzidishie
Yaani wewe sijui umekurupukia wapi
Ukute watu wanaongea kuhusu jambo fulani kutokea halafu uwakatalie kutokea kwa jambo hilo bila kuwa na uthibitisho wowote halafu ujione ni mzima?
Let's say anakuja mtu kama Nyani Ngabu , ambaye yeye ni agnostic. Hasemi kwamba mungu yupo wala hayupo.
Mdau wa pili huyo anakwambia mfano Irrevant na mjadala, halafu unaishia kucheka,
Narudia tena, onesha relevance ya mfano wako Eiyer kama hutaki, bas kubali umeshindwa kama ulivyoshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu unayemuamini na maandiko yake umeyafanyia utafiti.
Sasa rekebisha hiyo signature yako hapo chini. Grammatical/syntactical mistake...Halafu ukiishairekebisha sasa jaribu kuiishi hiyo signature uone kama hutaelewa mjadala huu, na mingine.
Mkuu, ndo mana kuna pronouns, adjectives n.k ambazo huweza kusimama badala ya nouns, narudia kunukuu
"Binafsi mimi najua kuwa
mwendawazimu ndie
anaebisha au kufanya jambo
bila kuwa na sababu
yoyote!"
Katika maelezo yako, huyo mwendawazimu na anayebisha, ni watu hata kama hujawataja majina.
Sasa tukija kujiuliza ni nan anabisha, tunawajua including Dreadnought
Ndio, na mim nikakwambia hakuna cha ajabu nlichoandika, kama ni cha ajabu basi onesha relevance ya mfano wako ili kuthibitisha kwamba nlichoandika ni cha ajabu.
Lakini huyo Nyani Ngabu,wewe, na wengine mmekuwa mkisema Mungu hayupo
Hapa ndipo nilipowauliza mna ushahidi gani kuwa hayupo?
Wao ndo wameanza kukanusha sijakataa.
Ila wewe umewabishia pasi na uthibitisho, ungeaza wewe kuprove kwamba Mungu yupo, sasa wewe ndo ukawaambia waprove,
Hiv unawezaje prove kitu ambacho hakipo? Huwezi kukisense by the five sense organs, hw can u prove it?
Yaani we jamaa sijui hata nikuweke kwenye kundi gani tu!
Niseme mara ngapi kwamba mimi ni agnostic? Maswali mengi waliyonayo atheists hata mimi ninayo na ndiyo maana sipishani sana na Kiranga kwenye kuhoji huo uwepo wa mungu.
Sasa nadhani labda hicho ndo kinacho kuchanganya wewe. Mimi siyo atheist. Ni agnostic. Unajua maana ya agnosticism wewe?
Sikatai kabisa uwepo wa mungu na wala sisemi yupo. Wewe nipe ushahidi utakaonishawishi nichukue msimamo madhubuti wa yupo ama hayupo.
Kitu ambacho hakipo kitakuwaje na ushahidi wa uwepo wake au kutokuwepo kwake?
Kitu ambacho hakipo ni hakipo tu.
Unazikumbuka hizi kauli zako?
Aahahahahahahaaaaaaaaaa:becky::becky::becky::becky::becky:
Ndiyo maana jana Kiranga akalazimika kuweka kwenye parandesi 'for argument's sake' karibu kama mara nne au tano hivi ili uelewe pasipo shaka alichokuwa kakiandika.
Umenichekesha kweli leo wewe.
Hivi hata unaelewa nini maana ya 'for argument's sake'? Je, unajua kusoma context na kuelewa jambo ambalo mtu kaandika kwa ujumla wake?
Binadamu ana viroja vyake
Kama umechemka si unakuwa mkweli tu?
Unazua mambo yasiyokuwepo
Muungwana hukiri kuchemka sio kukesha akitetea mambo ya ajabu kama haya!
Eti "for argument sake"
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ulichokiandika kina mantiki fulani ila mimi ninaweza kusema labda Mungu anawaumba hawa vilema ili utukufu/matendo yake makuu yaweze kuonekana au unasemaje?
Ni mambo kama haya ndiyo yanayofanya watu tutambue uwepo wa Mungu. Pasingekuwa na watu kama hawa kila kitu kingekuwa sawa hakuna mtu ambaye angemkumbuka Mungu.
Cc; Kiranga.