Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Huna point, that is to say this is pointless! Sasa wewe uliyesema mimi ni mwanamke na ukashindwa kuthibitisha kuwa mimi ni mwanamke kwanini unayemwambia hayo maneno asikudai huo ushahidi?

Hebu fikiria

Mmekaa mnazungumza na kusema kuwa mlima kilimanjaro uko SINGIDA na mnaendelea story zenu vizuri tu,halafu anatokea mtu huko anakuja na kuwaambia kuwa huo mlima hauko SINGIDA bali uko RUKWA inabidi mkae kimya ili mumsikilize,baada ya kukaa kimya na yeye kumaliza kuongea mnamuuliza sasa wewe ushahidi wako wa kuunga mkono madai yako uko wapi?Anawajibu hana kisha anawaambia kuwa nyie ndio mthibitishe kwanza!!!!!!!!

Sasa hyu mtu ametoa wapi ujasiri wa kubisha au kukataa?

Binafsi mimi najua kuwa mwendawazimu ndie anaebisha au kufanya jambo bila kuwa na sababu yoyote!

Iweje mtu anaedai kuwa ana akili timamu na msomi afanye mambo kama ya mwendawazimu?

Sisi tumeamua kuamini Mungu yupo na hatujawahi kumlazimisha mtu yoyote aamini kama sisi,sasa nyie mnaokuja kuanza kutukatalia uwepo wa Mungu ndio inabidi mtuambie kwanini mnakataa na kwa ushahidi gani

Msitudai ushahidi kwakuwa hatujawakatalia namna mnavyoamini nyie mnaokuja hapa na kuleta vurugu kwenye thread yoyote inayomzungumzia Mungu ndio mtuambie ni kwanini mnafanya hivyo!!!!!
 
Hapa unathibitisha kuwa hujui chochote
Lakini kikubwa zaidi ni kuwa najiuliza mtu mwenye uwezo mzuri wa kufikiri anawezaje kubisha au kilikataa jambo asilolijua?

Muungwana huanza kuuliza kuhusiana na jambo asilolijua kisha anapata majibu halafu ndio anafanya maamuzi ya kukubali hayo maelezo ama kuyakataa

Sasa wewe kumbe huwa "unasikia kutoka kwa watu" halafu unakuja hapa kwa nguvu zote unasema hakuna Mungu!!!!!!!!!!!

Khaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nyie hao mnaosema yupo ndo mnashindwa kuthibitisha,

We ulitaka asikie kwa nan?
 
Yaani wewe sijui umekurupukia wapi

Ukute watu wanaongea kuhusu jambo fulani kutokea halafu uwakatalie kutokea kwa jambo hilo bila kuwa na uthibitisho wowote halafu ujione ni mzima?
 
Hebu fikiria

Mmekaa mnazungumza na kusema kuwa mlima kilimanjaro uko SINGIDA na mnaendelea story zenu vizuri tu,halafu anatokea mtu huko anakuja na kuwaambia kuwa huo mlima hauko SINGIDA bali uko RUKWA inabidi mkae kimya ili mumsikilize,baada ya kukaa kimya na yeye kumaliza kuongea mnamuuliza sasa wewe ushahidi wako wa kuunga mkono madai yako uko wapi?Anawajibu hana kisha anawaambia kuwa nyie ndio mthibitishe kwanza!!!!!!!!

Sasa hyu mtu ametoa wapi ujasiri wa kubisha au kukataa?

Binafsi mimi najua kuwa mwendawazimu ndie anaebisha au kufanya jambo bila kuwa na sababu yoyote!

Iweje mtu anaedai kuwa ana akili timamu na msomi afanye mambo kama ya mwendawazimu?

Sisi tumeamua kuamini Mungu yupo na hatujawahi kumlazimisha mtu yoyote aamini kama sisi,sasa nyie mnaokuja kuanza kutukatalia uwepo wa Mungu ndio inabidi mtuambie kwanini mnakataa na kwa ushahidi gani

Msitudai ushahidi kwakuwa hatujawakatalia namna mnavyoamini nyie mnaokuja hapa na kuleta vurugu kwenye thread yoyote inayomzungumzia Mungu ndio mtuambie ni kwanini mnafanya hivyo!!!!!

Eiyer unapenda sana kukashifu watu mara wenda wazimu, vilaza n.k

Mfano wako hapa na mjadala uliopo ni irrelevant, Mlima kilimanjaro kuwepo singida na kuwepo rukwa, hapa bado mlima UPO.

Mjadala uliopo ni kuhusu KUWEPO na KUTOKUWEPO kwa mungu.

Mfanö wako ungekuwa relevant kama mjadala ungekuwa kuhusu sehemu mungu alipo, mfano either mbinguni or ardhin

Acha kuita wenzio wendawazimu, wakat unatuletea mifano irrelevant na mjadala.
 
Yaani wewe sijui umekurupukia wapi

Ukute watu wanaongea kuhusu jambo fulani kutokea halafu uwakatalie kutokea kwa jambo hilo bila kuwa na uthibitisho wowote halafu ujione ni mzima?

Sijakurupuka mkuu, nimefuatilia hii thread kuanzia mwanzo kabisa.
 
Kijana ana mkono mmoja lakini anaweza kujituma kufanya kazi kujipatia kipato halali. Kwa kazi anazofanya anaweza kuwahudumia wazazi wake ambao ni wazee kwa sasa.

Mungu ni humtunza anayejituma kilema kisichukuliwe kama ndio kufeli maisha
 
Kwanini unataka kujua?

Kwa sababu umesema hujafundishwa.

Maandiko huwa yanashushwa?

Ndo mana kwenye post yangu kuna neno ' AU ' means si lazima yashushwe. Ila kwakuwa umekanusha kufundishwa hayo maandiko may be umeshushiwa hayo maandiko.
 
Eiyer unapenda sana kukashifu watu mara wenda wazimu, vilaza n.k

Mfano wako hapa na mjadala uliopo ni irrelevant, Mlima kilimanjaro kuwepo singida na kuwepo rukwa, hapa bado mlima UPO.

Mjadala uliopo ni kuhusu KUWEPO na KUTOKUWEPO kwa mungu.

Mfanö wako ungekuwa relevant kama mjadala ungekuwa kuhusu sehemu mungu alipo, mfano either mbinguni or ardhin

Acha kuita wenzio wendawazimu, wakat unatuletea mifano irrelevant na mjadala.

Wewe vipi?

Nimemuita nani mwendawazimu?
 
Ndo mana kwenye post yangu kuna neno ' AU ' means si lazima yashushwe. Ila kwakuwa umekanusha kufundishwa hayo maandiko may be umeshushiwa hayo maandiko.

Huwezi kujua jambo bila kufundishwa au "kushushiwa"?
 
Hebu fikiria

Mmekaa mnazungumza na kusema kuwa mlima kilimanjaro uko SINGIDA na mnaendelea story zenu vizuri tu,halafu anatokea mtu huko anakuja na kuwaambia kuwa huo mlima hauko SINGIDA bali uko RUKWA inabidi mkae kimya ili mumsikilize,baada ya kukaa kimya na yeye kumaliza kuongea mnamuuliza sasa wewe ushahidi wako wa kuunga mkono madai yako uko wapi?Anawajibu hana kisha anawaambia kuwa nyie ndio mthibitishe kwanza!!!!!!!!

Sasa hyu mtu ametoa wapi ujasiri wa kubisha au kukataa?

Binafsi mimi najua kuwa mwendawazimu ndie anaebisha au kufanya jambo bila kuwa na sababu yoyote!

Kwa nin unasema hujaita wenzio wendawazimu, au hoja zimekushinda mkuu?

Iweje mtu anaedai kuwa ana akili timamu na msomi afanye mambo kama ya mwendawazimu?

Unaona na hapa, halafu unabisha et hujamwita mtu mwendawazimu.
 
Huwezi kujua jambo bila kufundishwa au "kushushiwa"?

Dah! Narudia tena

Ndo maana nikasema "may be" umeshushiwa.

Haya niambie kiroho safi tu, wewe habar za Mungu (huyo unaeng'ang'ania kwamba yupo pasi na ushahidi) ulizipata wap? Au ulizipata vipi?

Naomba unijibu tafadhali.
 
kitu gan cha ajabu nimeandika???

Hiki hapa:

Eiyer unapenda sana kukashifu watu mara wenda wazimu, vilaza n.k

Mfano wako hapa na mjadala uliopo ni irrelevant, Mlima kilimanjaro kuwepo singida na kuwepo rukwa, hapa bado mlima UPO.

Mjadala uliopo ni kuhusu KUWEPO na KUTOKUWEPO kwa mungu.

Mfanö wako ungekuwa relevant kama mjadala ungekuwa kuhusu sehemu mungu alipo, mfano either mbinguni or ardhin

Acha kuita wenzio wendawazimu, wakat unatuletea mifano irrelevant na mjadala.
 
Dah!!!!!!!

Kwanini unataka kujua???

Hivi huwezi kujibu hilo swali dogo tu,

Ok nataka kujua kwa sababu umesema hujashushiwa na hujafundishwa maandiko, sasa niijue hiyo namna nyingne ya kujua maandiko.
 
Hivi huwezi kujibu hilo swali dogo tu,
Ndugu mbona una viroja sana?
Nimekuuliza tu ka swali kadooooooooooogo mbona unarukaruka kama morani?

Nataka nijue ni kwanini unataka kujua au huna sababu kama vile usivyokuwa na sababu ya kupinga uwepo wa Mungu?

Ok nataka kujua kwa sababu umesema hujashushiwa na hujafundishwa maandiko, sasa niijue hiyo namna nyingne ya kujua maandiko.

Nimejua mwenyewe!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom