MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,092
Therefore, we do not need the god hypothesis.
We do not need darwinic dogma fallacy. Are you a Monkey?
Therefore, we do not need the god hypothesis.
Sawa, let us assume for argument's sake (cc Kiranga!) kwamba sim(wa)jui Yesu na/au Isa. Niambie Yesu/Isa ni yule yule mmoja au watu wawili tofauti?
Mkuu unamuua huyu dada wa Kipagani.Weka kilichosababisha nikasema hayo!
Jibu la swali hilo wanasema wewe unafikiria kibinadamu binadamu ndio maana huwezi kuelewa sense of justice ya Mungu na Mungu kwa ujumla, na kama Mungu angeweza kuwa analyzed na kueleweka kwa akili za kibinadamu basi asingekuwa anaitwa Mungu.Sheria za kibinadamu tu haziruhusu baba yako afanye zali halafu ufungwe wewe. Sasa huyu mungu anayehukumu watu vizazi na vizazi kwa "dhambi ya asili" sense yake ya justice ni mbovu kuliko ya mahakama zetu zilizojaa rushwa na uonevu za kibongo?
Jibu la swali hilo wanasema wewe unafikiria kibinadamu binadamu ndio maana huwezi kuelewa sense of justice ya Mungu na Mungu kwa ujumla, na kama Mungu angeweza kuwa analyzed na kueleweka kwa akili za kibinadamu basi asingekuwa anaitwa Mungu.
To which I say fine, excellent argument, hatuwezi kumuelewa Mungu kwa akili zetu za kibinadamu na ndio maana anaitwa Mungu.
Well, that begs a question: Wewe unaesema Mungu hawezi kuwa analysed na kueleweka kwa akili za kibinadamu umewezaje kujua kwamba Mungu anaelezeka only kwa akili nyingine nyingine za kimungu za juu beyond hizi zetu wakati we mwenyewe binadamu?
Sidhani, kwa sababu hata ukienda Magharibi ambako elimu, sanaa, sayansi na teknologia vimepanuka sana bado imani za Mungu ziko deeply calcified in their social psyche. Obama asipomalizia hotuba yake na "Mungu Ibariki Marekani" anapoteza voting block kubwa tu.Watoto wanaozaliwa miaka hii wakikua, watoto wao watakuwa washaachana mbali sana na hizi imani.
Umejuaje kabla yake hakuwako, ulikuwepo?kabla Yake hakuwako na baada Yake hakutakuwako. Libarikiwe Jina Lake.
Watoto wanaozaliwa miaka hii wakikua, watoto wao watakuwa washaachana mbali sana na hizi imani.
Uzuri ni kwamba entropy moves from order to disorder, halafu ku maintain uongo kunataka order, information wants to be free, zamani Egypt huko watu waliamini kina Firauni walikuwa miungu, China huko walisema wanatawala kwa "mandate of heaven".
Leo marais wanatupiwa mayai, wanachorwa vikaragosi, hawa ndio miungu wa zamani.
Kadiri miaka inavyokwenda watu watajua kuwa hata huyo mungu muumba yote anayesemwa ni fiksi tu.
Bora hata kuabudu mti unaouona (Nyerere anasema Wazanaki "wanaabudu "Chaka la Wazanaki""), tunaweza ku rationalize kwamba wewe ni mwanamazingira, utakataa kukata miti na kusababisha mvua zisipungue, kuliko kuamini mungu asiyeonekana wala kuthibitishika.
exactly...! kwa nini tutubu wakati tushakombolewa? Na kwa nini tulihitaji kukombolewa?au kusema yesu alikuja kukomboa dhambi zetu.sasa kama dhambi zetu zishabebwa na mkombozi kwanini sisi tuhangaike kuomba na kutubu.
Mungu sio mtu, hafani na chochote? Si kweli.mungu sio mtu afanani na chochote ukifikiriachi.u have a worse concept about God.
That is a formidable proposition, great observation.do u think u and ur body mechanism came from no where.go on hell will be ur home
Tutaishi kwa imani.
exactly...! kwa nini tutubu wakati tushakombolewa? Na kwa nini tulihitaji kukombolewa?
Unakumbuka tulipokuwa tunacheza kombolela? Mtu aliyekombolewa ni mtu aliyedakwa, aliyetekwa, aliyepotea, alipokonywa kutoka mahala huru na kadhalika. Sasa ilikuwa kuwaje sisi tukatekwa na shetani ilhali tulikuwa kwenye himaya ya Mungu? Mungu alikuwa off that day paka akapokonywa watu wake? Kwa nini asijiuzuru, manake alilala kazini!
Mungu sio mtu, hafani na chochote? Si kweli.
Mwanzo 1:27: Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Okay, kwa hiyo Mungu wa Ibrahim ni mtu kaa sisi, sio mti wa mbuyu wala sanamu wala ng'ombe.
Okay? Sasa kaa mkao wa kula somo, nataka kukupa my closing argument, the most powerful point against creationism.
That is a formidable proposition, great observation.
Kwamba mwili wangu huu na complications za mechanism zake na biochemistry haziwezi kuwa zimetoka hewani hewani.
Okay, kama kitu complicated kama binadamu hakiwezi kutoka hewani hewani je Mungu yeye ambae tumesha establish kwamba ni kama mtu ( Mwanzo 1:27) nae lazima ni complicated kama sisi au kuzidi, sasa yeye ametokeaje hewani hewani?
Sijui unanielewaaaa? Hebu niruhusu nidadavue ninachokisema.
Ukifungua saa ya Rolex ndani ukakuta iko very complicated jinsi vyuma vidogo vidogo vilivyopangiliwa na jinsi inavyodunda kama moyo wa binadamu unasema duuh, ni lazima hii imebuniwa, imeumbwa kiakili.
Lakini aliyeumba saa ya Rolex, binadamu, nae lazima awe na complications na akili kama hiyo saa au kuzidi, yani awe na yeye amebuniwa, ameumbwa. Ambae ni mtu.
Na aliyemuumba mtu nae lazima awe na complicated mechanisms na akili kama binadamu au kuzidi. Ambae ni Mungu.
Na Mungu nae, kwa sababu nae ana complicated body mechanisms ni lazima awe amebuniwa na ameumbwa na kitu complicated kuliko yeye Mungu.
Sasa imekuwaje complicated "body mechanism" za yeye Mungu zimetoka hewani hewani?
Hahahaaaaaaaa.......
Wewe ndio huwezi kufikiri na kuhoji mantiki ya mnayoyafanya mkikusanyika kwenye hizo ibada zenu na ndio maana hata hapa unakurupuka kuandika pasipo kufikiri! Eti Kiranga, hebu ona hawa jamaa jinsi walivyo: Biblia ina vitabu tena vimeandikwa clearly, kwa mfano, WARAKA WA MTUME PAULO KWA WAEBRANIA! Sasa waraka (ama barua kwa lugha nyepesi) imekuwa addressed kwa Muebrania, leo hii Msukuma wa kule mashenzini anaikimbilia na kuichana ili aisome na kisha kuanza kupagawa akiamini ujumbe uliomo ni wa kwake! Biblia hiyo hiyo ina kitabu kinachoitwa "MAMBO YA WALAWI!", sasa mswahili mmoja wa kule Umakondeni anang'ang'ana na kutoa mishipa kusoma akiamini naye ni Mlawi, bila hata kujua hata hao Walawi wako nchi gani ktk dunia yetu ya leo. Sasa watu kama hao si sawa na huyu kiazi Eiyer? Ndio maana sishangai hata anapo-argue kama hazimtoshi vile! What Nonsense!
Mkuu unamuua huyu dada wa Kipagani.
Niliwahi kukuuliza kuwa ni kitu gani kinakufanya uone haya maelezo kuwa ni kweli?
Au una mashaka nayo?
exactly...! kwa nini tutubu wakati tushakombolewa?
Unakumbuka tulipokuwa tunacheza kombolela? Mtu aliyekombolewa ni mtu aliyedakwa, aliyetekwa, aliyepotea, alipokonywa kutoka mahala huru na kadhalika. Sasa ilikuwa kuwaje sisi tukatekwa na shetani ilhali tulikuwa kwenye himaya ya Mungu? Mungu alikuwa off that day paka akapokonywa watu wake? Kwa nini asijiuzuru, manake alilala kazini!
Mungu sio mtu, hafani na chochote? Si kweli.
Mwanzo 1:27: Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Kwamba mwili wangu huu na complications za mechanism zake na biochemistry haziwezi kuwa zimetoka hewani hewani.
Okay, kama kitu complicated kama binadamu hakiwezi kutoka hewani hewani je Mungu yeye ambae tumesha establish kwamba ni kama mtu ( Mwanzo 1:27) nae lazima ni complicated kama sisi au kuzidi, sasa yeye ametokeaje hewani hewani?
Maelezo gani. Kuwa specific.