Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Wote wanaoamini hakuna Mungu,hawataki kufa,ikiwa hakuna Mungu mbona hamjiui,ili mkahakishe roho zenu zikitoka kama yupo au hayupo.Jiue ukahakishe kama yupo au hayupo,na kama hayupo fanya urudi uwajulishe watu kama hayuko.Wasema hakuna Mungu lakini kufa waogopa,wajuwa kama utakutana naye.
wewe mbona hujiui ukawahi viwanja mbinguni maana tayari wamjua mungu.sisi tupo ili tuishi sio kusikiliza propaganda za watumwa wa kiimani.na kwa mfano huo ni lini uliona au kusikia mtu akafa akarudi.tunaogopa kufa kwa sababu dunia ni nzuri.nyie wenye mungu ndo mfe halafu mrudi na afya njema mturingishie, faida za mbinguni.
 
Kwa kuamini kisicho uthibitisho.

Kumbe na wewe unaamini......!!!!!!!!!

Mtu anakwambia "Mimi ndiye taifa teule la mungu, shika kitabu hiki hapa kina instructions kutoka kwa mungu, nifuate mimi na hadithi za taifa langu, usiponifuata wewe ni mjinga, usipomkubali mungu wangu wewe ni mjinga".

Mtu gani huyo?
Unafahamu nini kuhusu "taifa teule?
Halafu si umesema hizo"hadithi" sio zao?

Anajua binadamu anaogopa kuitwa mjinga.

Umetumia kipimo gani kujua kuwa anajua hayo?

Wajapan wanachokiita Jiu-Jitsu.

Hili ni jina jipya la tetemeko la ardhi au?

Unapigwa kwa ngumi yako mwenyewe. Unafungwa kwa sheria yako mwenyewe.

Wewe?

I declared, can't you read?

Wapi?

Kwani hapo wewe umeelewa nini? Hii lugha hii!

Swali juu ya swali tutafika kweli?

Swali hili halieleweki wala kuwa na mantiki mpaka ujibu umeelewa nini kwa mimi kusema "I find a release in being a fool".

Niambie umeielewaje hiyo sehemu.

Inawezekana ni suala dogo la kuelewa kiingereza tu.

Kama unadhani sijaelewa si useme ulichokuwa unamaanisha ili ionekane kwa uwazi kuwa sijakuelewa?
 
Ni hivi, wewe unayedai kwamba kipo bado hujanishawishi vya kutosha na kuridhisha kuwa hicho unachoniambia kipo, kipo kweli. Kwa hiyo wala sihitaji kufanya utafiti kufikia jibu langu. Jukumu kubwa unalo wewe unayedai kuwa kipo kunishawishi mimi kwa kutumia ushahidi unaoyapa nguvu madai yako. Hivyo msingi wa mimi kukataa na kusema hakipo ni madai yako wewe pamoja na vizibiti ulivyonipa. Umeelewa?

Yaani watu wengine sijui vipi
Wewe umeshasema kuwa ushahidi ni dhaifu,hii ni ishara kuwa una ufahamu wa jambo husika kuliko mtoa ushahidi la sivyo usingesema kuwa ushahidi wako umeshindwa kukushawishi,sasa utafanyaje maamuzi kupitia ushahidi dhaifu?

Halafu utabishaje jambo ambalo huna ushahidi wa kulipinga?
Nionavyo mimi ungekuwa unasema inawezekana Mungu akawepo lakini huu ushahidi ni dhaifu ungeeleweka,sasa mara useme huna uhakika mara hayupo mara ushahidi hautoshi...............khaaaaaaaaahhhhhhhh!!!!!!

Dhihaka kama hizi hazifanyi madai yako yawe na ushawishi. Usipoteze muda wako kudhihaki watu ambao wanakataa na kutilia shaka madai yako. Washinde na washawishi kwa hoja zenye nguvu na si viroja. Sawa Bw. Maxshimba?

Wakati mwingine mnashangaza sana ndio maana mnakuwa ni viroja!!!!!!!!!!
 
Kwa mujibu wa vizibiti vyako na vya wenzako wenye imani moja na wewe.

Kwa sababu ya wanaoamini kushindwa kutoa ushahidi wa kutosha, kuridhisha, na kunishawishi.

Mtu makini hawezi kuridhika na ushahidi dhaifu na kufanya maamuzi
Hebu tuassume kijinga tu kuwa ni kweli madai yetu ni dhaifu hivi inakuwaje unasubiri mpaka uletewe ushahidi kuwa Mungu yupo?

Kwanini usiutafute mwenyewe?

Umejipa mwenyewe kwa kudai kuwa mungu yupo.

Hii kauli uliitoa wewe hivyo bado hujajibu swali!!!!!!

Hapana, lakini kama binadamu tuna njia tano za utambuzi nazo ni; kuona, kunusa, kuonja, kugusa, na kusikia. Ushuzi hauonekani lakini mtu akiuachia penye watu, kama hao watu pua zao hazina mushkili, basi wataitambua harufu kwa kunusa kupitia pua zao.

Nani alikuambia kila ushuzi una harufu?
Kuna ushuzi usiokuwa na harufu,kama hauna harufu kwako haupo?

Sio kila jambo lazima lijulikane kupitia njia tano za utambuzi
Hivi ulisahwahi kuuona umeme?

Kwa ushahidi wa njia tano za utambuzi.

So,kilicho nje ya hapo kwako ni giza!

Yule muweza wa yote, mwingi wa rehma, huruma, baraka, na BS zingine kama hizo.

Anaitwa nani?
Maana hizi sifa unaweza kujipachika hata wewe?

Kama huelewi jambo omba ueleweshwe maana yawezekana ni uwezo wako wa kuelewa ndiyo tatizo. Sawa?

Sielewi au wewe ndio hueleweki?
Mtu mmoja ansema hana uhakika kama Mungu yupo
Mtu huyohuyo anasema tena hayupo
Huyu ni mzima kweli?
 
yeye anatumia akili yake kuhakiki alichosikia na kufananisha anachokiona.wewe umekipokea moja kwa moja na unakitumikia sasa hapo nani kilaza anayehoji au aliye kama dekio linazoa kila kitu ukiwamo uchafu.

Ebu muulize...manake hata katika kitabu chao cha masimulizi ya kiyahudi kuna mstari unasema kuwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!" Mi nadhani huo mstari ungewafanya waamke na kutumia maarifa yao waliyopewa naye ili wajiulize na kung'amua ukweli!
 
Dude ( Eiyer ) does not get the concept of "let a = b" while solving an equation.

Wala "for the sake of argument" katika ungwini.

Ukisema "let a = b" au "let's say god exists" ushamchanganyaaa!

Hivi simultaneous equation ulifanya wewe?

Leta ushahidi wa hili!
Maana kusema tu maneno bila kuthibitisha ni wapi ulikotoa madai yako ni kama kukata mti ulioukalia mwenyewe!
 
wewe mbona hujiui ukawahi viwanja mbinguni maana tayari wamjua mungu.sisi tupo ili tuishi sio kusikiliza propaganda za watumwa wa kiimani.na kwa mfano huo ni lini uliona au kusikia mtu akafa akarudi.tunaogopa kufa kwa sababu dunia ni nzuri.nyie wenye mungu ndo mfe halafu mrudi na afya njema mturingishie, faida za mbinguni.

Ajabu hata huyo Yesu mwenyewe mpaka leo hajarudi...na aliwaambia kuwa siku hazitapita kabla ya mwana wa Adam hajarudi katika utukufu...alas leo zaidi ya miaka buku bee msela hajarudi! Bora hata Muhammad yeye hakusema atarudi lakini akawafunga kamba wafuasi wake kwamba kutakuwa na qiyama...mpaka leo hakiojaonekana! Matokeo yake wanauana tu kila siku!!

By the way, katika Agano la Kale sijawahi kuona kuna kitu kinachozungumziwa kuhus kiyama au judgment day (I stand to be corrected any way)...hii ilikuja tu baada ya Yesu na wafuasi wake wa Agano jipya...nadhani ndio maana wayahudi wakaona hizo habari za Aagano Jipya ni uzushi tu kwao...wao mpaka leo wanamsubiria Messiah wao...
 
Unajua hivyo wanavyoita "vitabu vitakatifu" ni wizi wa kazi za jamii za kale za Kimisri, kigiriki, kiasyria, etc.

Ninyi watu mna matatizo sana
Kama nyie ni watu mnaofikiria sawasawa si mngekuwa mnaleta ushahidi hapa?
Hivi kudai tu "wizi wa kazi za kale" na ukaishia hapo unakuwa umesema kweli?
Na ndio maana hata Muhamad naye alichofanya ni kudesa tu toka Agano la Kale la Wayahudi akaja na madai kwamba kashushiwa aya! Swali rahisi nililowauliza waumini wa dini hizi, inakuwaje kwamba mie msukuma nilaaniwe na kuhukumiwa kwa dhambi ya asili aliyoitenda Adam na Eve? Babu yangu Masalakulangwa alikuwa na uhusiano gani na watu hao? Hakuna jibu la kueleweka.

Ukiuliza ukakosa jibu la kuridhisha tayari unakuwa uongoi?

Huko Ulaya watu wengi wamegundua kamba na utapeli mwingi katika hicho kitabu...ndio sababu hawashoboki tena na habari za masimulizi ya wayahudi...wamebaki watu wa Mashariki ya Kati waliodesa kutoka wa jirani zao wayahudi..

Ushahidi uko wapi?
.na cha ajabu inakuwaje Mungu wa waarabu atofautiane sana na Mungu wa wayahudi ilhali wote wanasema Mungu ni mmoja

Hapa ndipo unapodhihirisha ujinga wako
Kwahiyo watu kusema Mungu wao ni tofauti na mungu wa watu wengine kwako ni ajabu!
na Yesu/Isa ni mwana (Mungu Mtu)/mtume wake? Hapo utawaona jinsi watakavyobishana wao kwa wao na kuanza matusi ambayo hjawahi kuyasikia!

Dah!
Inaonekana wewe hujui chochote kuhusu Yesu wala Isa
Nakushauri nenda kajifunze tena halafu uje upya!
 
Kumbe na wewe unaamini......!!!!!!!!!

Aliyeamini hapa ni wewe, unazidi kuthibitisha kwamba ufuatiliaji wako haba. Hivi unaweza kufuatilia hoja wewe?

Mtu gani huyo?

Abraham.

Unafahamu nini kuhusu "taifa teule?

Uongo ulioandikwa kwenye biblia.

Halafu si umesema hizo"hadithi" sio zao?

What has that got to do with the price of pork in China?

Umetumia kipimo gani kujua kuwa anajua hayo?

Nani anajua?

Hili ni jina jipya la tetemeko la ardhi au?

Just goes to show. Do the knowledge. Hapo watu hawajafungulia stream of consciousness ushaanza kuuliza ka

Wewe.

Above.

Swali juu ya swali tutafika kweli?

Hakuna kufika bila maswali.Ukianza safari lazima ujiulize unaenda wapi, ukianza safari lazima ujiulize kama unafuata njia iliyo sawa. Ukifuata njia iliyo sawa lazima ujiulize kama haijawa compromised. Ukifuata njia iliyo sawa na ambayo haijawa compromised ni lazima ujiulize kama kwa muda wako safarini kuna njia nyingine mpya iliyo bora zaidi.

Suala sio kwamba "swali juu ya swali tutafika kweli?"

Suala ni, bila ya swali juu ya swali tutafika kweli?

Kama unadhani sijaelewa si useme ulichokuwa unamaanisha ili ionekane kwa uwazi kuwa sijakuelewa?

Kama nadhani hujaelewa, sijajua kwamba hujaelewa. Ndiyo maana nikakupa nafasi ujieleze ulivyoelewa nisije kukuhukumu kwamba hujaelewa wakati umeelewa.

Awali ulinihukumu kwamba sijaelewa hadithi yako ya bata na vifaranga vyake, nikakuonesha kwamba niliielewa vizuri.

Nimekupiga Jiu-Jitsu tu.
 
Hapa ndipo pa kujiuliza maswali kuhusu hawa watu
Halafu ukiwataka wakupe ushahidi kuwa hakuna Mungu hawakupi wanasema eti wewe uliesema Mungu yupo ndio utoe ushahidi

Sasa unajiuliza huyu mtu amewezaje kukataa kuwa hakuna Mungu kama hata ushahidi hana?[/QUOTE]
Hapo ni sawa na wewe tu unayekubali kuwa kuna mungu wakati na wewe ushahidi huna! Sasa nani wa kumfunga paka kengele? Hapo umechemka! Kiranga kuna siku niliwahi kumhoji mchungaji mmoja kuhusu mungu na huo ukombozi wake! Kwanza, nikaanzia asili ya dhambi ilikuwa nini, Biblia haitoi chanzo halisi cha dhambi badala yake inasema tu eti kiburi kilionekana kwa Lusifa aliyekuwa malaika mkuu, naye akaanza kampeni ya kumpinga mungu na kujiona yeye yuko kama mungu mwenyewe. Baadaye, jamaa akafanikiwa kuzoa theluthi moja ya malaika! Sasa cha kujiuliza ni hiki: iweje mungu mtakatifu aumbe viumbe visivyo vitakatifu? Doesn't the "Gabbage in, Gabbage out" rule apply here? Kiburi kitawezaje kuonekana ndani ya mwana (tena malaika mkuu) wa mtakatifu? Nikisema huko huko mbinguni ndiko chanzo cha uasi nitakuwa nakosea? Manake imeandikwa jamaa baada ya kumpinga mungu na kuzoa 33% ya population ya mbinguni ndipo huyo mungu akaamua kumpoteza mbinguni, akamfukuza! Hapo hapo akaanza mpango wa ukombozi maana alijua kama jamaa kakomba 33% ya malaika wa mbinguni, huku kwenye malimwengu mengine angeweza kuyanyakua yote! Ndipo mungu akaanza counter attack! Cha ajabu hadi leo, njia ya mungu kurudisha heshima yake imekuwa ngumu na ya mateso makali, ndio maana hata yesu mwenyewe ali-cease akaomba ikibidi kile kikombe kimuepuke! Huyu ndio yesu (ambaye wengine wanadai ndiye mungu mwenyewe) lakini aliukubali mziki wa wanayemuita shetani alivyojaribu ku-test zali kule uyahudini! Sasa swali lingine kwa washika dini ambalo naamini hakuna mwenye jibu zuri ni hili: Iwapo hapo zamani dhambi iliibuka kule mbinguni just from no where ambako ndiko inaaminika ndiko PATAKATIFU, tuna uhakika gani kwamba hata hizo pepo tunazolala na kuota kuwa ipo siku tutaenda hakutatokea tena uasi ule ule kama awali na kupelekea tena kufukuzwa na huyo mungu mtakatifu asiyechangamana na uovu? Iweje hapo mwanzo ilishindikana lakini safari hii iwezekane? Is this not craziness and full of nonsense!
 
[Kiranga kuna siku niliwahi kumhoji mchungaji mmoja kuhusu mungu na huo ukombozi wake! Kwanza, nikaanzia asili ya dhambi ilikuwa nini, Biblia haitoi chanzo halisi cha dhambi badala yake inasema tu eti kiburi kilionekana kwa Lusifa aliyekuwa malaika mkuu, naye akaanza kampeni ya kumpinga

Kwa hiki kipande tu cha maelezo yako kinaonesha unasubiri mtu afikiri kwa niaba yako

Hivi unaendaje kumuuliza mtu habari za Mungu?
Halafu unayachukua majibu ya mtu huyo kama ushahidi wa madai yako
Hovyo kabisa!

Hapo kuna mambo yafuatayo
Huyo unaemuuliza na akakupa maelezo kuna uwezekano wa wewe kutokumuelewa
Huyo unaemuuliza anaweza akawa hajui unachomuuliza

Kwa mtazamo huo tu maelezo yako hayana maana yoyote ile
Inawezekana ulichoandika hapa sicho alichokuambia kwa kuwa hata tukikuambia ulete ushahidi huwezi
Inawezekana nae hajui lolote kuhusu swali ulilomuuliza kama wewe!

Hivyo haya maelezo yako mpelekee mwanao wa miaka miwili!!!!
 
Aliyeamini hapa ni wewe, unazidi kuthibitisha kwamba ufuatiliaji wako haba. Hivi unaweza kufuatilia hoja wewe?

Kwa kuamini kisicho uthibitisho.

Inaonekana wewe ndio unaefuatilia mada,hongera!!!!!!

Ushahidi tafadhali!

Uongo ulioandikwa kwenye biblia.

Ushahidi tafadhali!!!!!!!

Hakuna kufika bila maswali..

Kwa kuulizana maswali bila kujibu?
 
Kwa hiki kipande tu cha maelezo yako kinaonesha unasubiri mtu afikiri kwa niaba yako

Hivi unaendaje kumuuliza mtu habari za Mungu?
Halafu unayachukua majibu ya mtu huyo kama ushahidi wa madai yako
Hovyo kabisa!

Hapo kuna mambo yafuatayo
Huyo unaemuuliza na akakupa maelezo kuna uwezekano wa wewe kutokumuelewa
Huyo unaemuuliza anaweza akawa hajui unachomuuliza

Kwa mtazamo huo tu maelezo yako hayana maana yoyote ile
Inawezekana ulichoandika hapa sicho alichokuambia kwa kuwa hata tukikuambia ulete ushahidi huwezi
Inawezekana nae hajui lolote kuhusu swali ulilomuuliza kama wewe!

Hivyo haya maelezo yako mpelekee mwanao wa miaka miwili!!!!

What nonsense! Haya yamo katika Agano la Kale na kwa taarifa yako mimi nimesoma Biblia nzima yenye vitabu 66 zaidi ya mara tano! Ndio maana wanaoijua vizuri Biblia hawajauliza na wala hawawezi kuuliza maswali ya kipuuzi kama ya kwako! By the way, wewe unayesema unao ushahidi wa huyo mungu si ujibu swali langu la msingi? Iweje lusifa amchachafye huyo mungu wenu kule mbinguni hapo zamani na ashindwe kufanya hivyo kwenye ulimwengu ujao mnaokaririshwa kuwa hautakuwa na shida, taabu wala mauti tena? Ukijibu hili swali vizuri, uje hata leo unibatize / unisilimishe whatever will that mean!
 
Leta ushahidi wa hili!
Maana kusema tu maneno bila kuthibitisha ni wapi ulikotoa madai yako ni kama kukata mti ulioukalia mwenyewe!

Umeandika

Hizi kauli sijui ni za viroba?
Hazieleweki kabisa
Mara Mungu hayupo
Mara inawezekana yupo
Mara haiwezekani kuthibitisha
Khaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!:heh::heh::heh::heh:
 
What nonsense! Haya yamo katika Agano la Kale na kwa taarifa yako mimi nimesoma Biblia nzima yenye vitabu 66 zaidi ya mara tano! Ndio maana wanaoijua vizuri Biblia hawajauliza na wala hawawezi kuuliza maswali ya kipuuzi kama ya kwako! By the way, wewe unayesema unao ushahidi wa huyo mungu si ujibu swali langu la msingi? Iweje lusifa amchachafye huyo mungu wenu kule mbinguni hapo zamani na ashindwe kufanya hivyo kwenye ulimwengu ujao mnaokaririshwa kuwa hautakuwa na shida, taabu wala mauti tena? Ukijibu hili swali vizuri, uje hata leo unibatize / unisilimishe whatever will that mean!

Hili swali gumu sana kwa waamini mungu mkuu.

Halafu miswali kama hii ipo kibaaaaao, mingine hata haijaaandikwa bado.
 
Hili swali gumu sana kwa waamini mungu mkuu.

Halafu miswali kama hii ipo kibaaaaao, mingine hata haijaaandikwa bado.

Sasa iwapo hako kajiswali kameonekana kagumu kwa hao ma-agent wa mungu, kwanini sasa nisiamini yale matokeo ya wachangiaji waliosema hadi sas Kiranga. et al wana 95% V/s 1% ya wakaririo stori za wayahudi huku wengine (4%) hawajui kinachoendelea?
 
Hapo ni sawa na wewe tu unayekubali kuwa kuna mungu wakati na wewe ushahidi huna! Sasa nani wa kumfunga paka kengele? Hapo umechemka! Kiranga kuna siku niliwahi kumhoji mchungaji mmoja kuhusu mungu na huo ukombozi wake! Kwanza, nikaanzia asili ya dhambi ilikuwa nini, Biblia haitoi chanzo halisi cha dhambi badala yake inasema tu eti kiburi kilionekana kwa Lusifa aliyekuwa malaika mkuu, naye akaanza kampeni ya kumpinga mungu na kujiona yeye yuko kama mungu mwenyewe. Baadaye, jamaa akafanikiwa kuzoa theluthi moja ya malaika! Sasa cha kujiuliza ni hiki: iweje mungu mtakatifu aumbe viumbe visivyo vitakatifu? Doesn't the "Gabbage in, Gabbage out" rule apply here? Kiburi kitawezaje kuonekana ndani ya mwana (tena malaika mkuu) wa mtakatifu? Nikisema huko huko mbinguni ndiko chanzo cha uasi nitakuwa nakosea? Manake imeandikwa jamaa baada ya kumpinga mungu na kuzoa 33% ya population ya mbinguni ndipo huyo mungu akaamua kumpoteza mbinguni, akamfukuza! Hapo hapo akaanza mpango wa ukombozi maana alijua kama jamaa kakomba 33% ya malaika wa mbinguni, huku kwenye malimwengu mengine angeweza kuyanyakua yote! Ndipo mungu akaanza counter attack! Cha ajabu hadi leo, njia ya mungu kurudisha heshima yake imekuwa ngumu na ya mateso makali, ndio maana hata yesu mwenyewe ali-cease akaomba ikibidi kile kikombe kimuepuke! Huyu ndio yesu (ambaye wengine wanadai ndiye mungu mwenyewe) lakini aliukubali mziki wa wanayemuita shetani alivyojaribu ku-test zali kule uyahudini! Sasa swali lingine kwa washika dini ambalo naamini hakuna mwenye jibu zuri ni hili: Iwapo hapo zamani dhambi iliibuka kule mbinguni just from no where ambako ndiko inaaminika ndiko PATAKATIFU, tuna uhakika gani kwamba hata hizo pepo tunazolala na kuota kuwa ipo siku tutaenda hakutatokea tena uasi ule ule kama awali na kupelekea tena kufukuzwa na huyo mungu mtakatifu asiyechangamana na uovu? Iweje hapo mwanzo ilishindikana lakini safari hii iwezekane? Is this not craziness and full of nonsense!

Mazee ukishaamini tu kwamba mungu ndiye muumba wa kila kitu, basi mungu anakuwa responsible kwa dhambi zote zilizoko duniani, pamoja na vyote vilivyoumbwa.

Hata ukitaka kumpakazia shetani nitakuuliza huyo shetani kaumbwa na nani?

Huo uwezo wa dhambi kuwezekana umetoka wapi?

Halafu bora hata wangetuambia kwamba mungu hakuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu mzuri zaidi ya huu, ikambidi tu aumbe huu atupe maisha.

Lakini tunaambiwa mungu ana ulikuwa na uwezo wote na upendo wote!

Hogwash.
 
What nonsense! Haya yamo katika Agano la Kale na kwa taarifa yako mimi nimesoma Biblia nzima yenye vitabu 66 zaidi ya mara tano! Ndio maana wanaoijua vizuri Biblia hawajauliza na wala hawawezi kuuliza

Nini kilikupeleka kwa mchungaji?
 
Nini kilikupeleka kwa mchungaji?

Sasa hapa ndio unainyesha jinsi unavyoweza kuwa ni insane, kwani wewe ni kitu gani kinachokupeleka kanisani iwapo tu unajua kusoma, kuhesabu na kuandika kiasi kwamba hata hivyo vifungu vya kwenye Biblia / Quran unaweza ukavisoma wewe mwenyewe nyumbani? Au hujui kusoma mpaka ukasomewe na wanaume wenzio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom