Sawa, let us assume for argument's sake (cc Kiranga!) kwamba sim(wa)jui Yesu na/au Isa. Niambie Yesu/Isa ni yule yule mmoja au watu wawili tofauti?
Na je kama ni yule yule inakuwaje huku anakuwa Mungu Mtu (au mwana = Nafsi ya Pili ya Uungu katika Utatu Mtakatifu) na wakati huo huo Isa asiwe Mungu Mtu (na wala sehemu ya Utatu Mtakatifu)?
Pia una-reconcile vipi hoja katika quran kwamba Mungu (Allah) ni mmoja tu na hana mwenza au msaidizi na biblia kwamba Mungu ni mmoja ila katika nafsi tatu (Utatu Mtakatifu)?
Unaelewa maana ya neno specific? Maana nisije kuwa nabishana na mtu kumbe haelewi key word.
Wakati mwingine huwa tunapotezeana muda na maswali ya hovyo sana!!!!!!!!!!
Ya "hovyo" kwa mujibu wa nani?
Wewe!Nini kinayafanya yawe ya "hovyo"?
Kati ya asiye detail wala specificity anasema vitu kijumla jumla tu, na anayetaka kujikita katika detail with specificity nani anafanya mambo "hovyo"?
Kwa mujibu ya yenyewe!
Wewe!
Ni yule aliyeleta maelezo halafu anauliza mtu mwingine amuoneshe detaily with specificity wakati maelezo ni yake mwenyewe!
"Detaily"? Really?
That alone speaks volumes.
Umeshindwa kuuliza swali, huwezi kupata jibu.
Kukombolewa ni nini kwa mtazamo wako?
Mungu ni nini/nani?
Ukiambiwa umefana na mwanao anakuwa wewe?
Bado nahitaji unijibu kuwa Mungu nini/nani
Complicated mechanism ni nini?
Jibu kwanza hili swali halafu tuendelee!
Yaani wewe kwa kweli sijui tu tukueleweje. Ila kwanza nakupa credit kwa kujitahidi kudumu katika mjadala maana wenzako wameshakimbia. Sasa hapo juu unauliza maana "kukombolewa". Si hicho kitabu cha masimulizi ya wayahudi ndio kinachoongelea "ukombozi" na Mwana wa mtu kufa kwa dhambi zenu? Sasa unataka Anheuser akupe maana ipi ya "kukombolewa"? Kitabu chenu kwani kinasemaje?
Ndio maana kuna wakati inabidi tuwaulize Mungu ni nani/nini
Maana maswali kama haya ni ya ajabu sana
Hujajinibu kama unajua nini kuhusu Yesu na Isa unaniambia eti tuassume for the sake of argument kwanini?
Wewe sema unajua au hujui,na kama unajua utueleze unachokijua!
Shetani ni nani/nini? Alitokea wapi au aliumbwa na nani?Kwa lugha ya kwetu "kiranga maana yake ni shetani" sasa mnaobishana na shetani wakati ni mzoefu wa kubishana tangu kabla ya ulimwengu mnapoteza muda.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Huyo jamaa kujadiliana naye ni vigumu sana.
Yaani wewe kwa kweli sijui tu tukueleweje. Ila kwanza nakupa credit kwa kujitahidi kudumu katika mjadala maana wenzako wameshakimbia. Sasa hapo juu unauliza maana "kukombolewa". Si hicho kitabu cha masimulizi ya wayahudi ndio kinachoongelea "ukombozi" na Mwana wa mtu kufa kwa dhambi zenu? Sasa unataka Anheuser akupe maana ipi ya "kukombolewa"? Kitabu chenu kwani kinasemaje?
Hebu cheki ulivyo chizi, kwahiyo nyie washika dini wa Tunduru huko ndio mmeamua kujadili tena na kuzifanyia kazi tafiti za miaka zaidi ya 6,000 iliyopita na tena tafiti zenyewe zilifanyika Mashariki ya Kati katika mazingira na jamii zenye utamaduni tofauti na wenu? Hivi nyie mmekosa kabisa akili na ubunifu hata wa kuazima ili muweze kufanya tafiti zenu current tena zinazoendana na mazingira ya kwenu mliyopo hadi muazime za miaka ya Pontio Pilato? Halafu na wewe unajiita Great Thinker? What nonsense!Wewe ndio kiazi kweli!
Yale madai yako ya mwanzo umeona yamekosa mashiko sasa unakuja na madai mengine
Halafu hivi wewe hujawahi kuona utafiti uliofanywa New Delhi unajadiliwa na kufanyiwa kazi Chile?
Mi Yesu huwa namsikia kutoka kwenu. Wengine wanasema ni Mwana wa Mungu. Wengine wanakataa siyo Mwana wa Mungu kwani Mungu Hana mshirikia achilia mbali mtoto. Sasa wewe ndio unijibu kuhusu huyo Yesu ili nizidi kumuelewa, na bila Shaka maswali zaidi.
Hebu cheki ulivyo chizi, kwahiyo nyie washika dini wa Tunduru huko ndio mmeamua kujadili tena na kuzifanyia kazi tafiti za miaka zaidi ya 6,000 iliyopita na tena tafiti zenyewe zilifanyika Mashariki ya Kati katika mazingira na jamii zenye utamaduni tofauti na wenu? Hivi nyie mmekosa kabisa akili na ubunifu hata wa kuazima ili muweze kufanya tafiti zenu current tena zinazoendana na mazingira ya kwenu mliyopo hadi muazime za miaka ya Pontio Pilato? Halafu na wewe unajiita Great Thinker? What nonsense!
Hata jambo dogo namna hii umeshindwa kulielewa
Halafu unaita watu chizi
Lakini sishangai
Mtaani kwetu kuna mwendawazimu mmoja huwa anawaita watu wengine ambao hawapo kama yeye kuwa ni machizi!!!!!!!!!!
Hapa unathibitisha kuwa hujui chochote
Lakini kikubwa zaidi ni kuwa najiuliza mtu mwenye uwezo mzuri wa kufikiri anawezaje kubisha au kilikataa jambo asilolijua?
Muungwana huanza kuuliza kuhusiana na jambo asilolijua kisha anapata majibu halafu ndio anafanya maamuzi ya kukubali hayo maelezo ama kuyakataa
Sasa wewe kumbe huwa "unasikia kutoka kwa watu" halafu unakuja hapa kwa nguvu zote unasema hakuna Mungu!!!!!!!!!!!
Khaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ni sawa na wewe unayesikia kutoka kwa "walimu wenu wa hizo dini zenu" halafu unakuja hapa kwa nguvu zote ukisema kuna mungu! Now, what is the difference between you and him?