Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

Hii mvua inanyesha Jiji zima na vitongoji vyake kuanzia chanika, gongo la mboto, Buguruni, ubungo, tabata, k/koo, mbagala, kigamboni, tegeta ,goba , mpiji, mbweni, msasani, oysterbay , masaki, tuangoma, pugu kajiungeni, pugu dampo, karakata, Buza, kwa rulenge, kwa bibi nyau, manzese , tandale popobawa, kwa mfuga mbwa, Maputo, kidogo fresh,mwenge kote huko nimepita kuna booonge la mvua.
Kote huko umepita na mvua hii au kibwengo kimecomekt hii post..
 
Ule ni mkondo asili wa maji, wote waliojenga pale sijui walishauriwa na nani including wavaa ndala na wale wa mabasi marefu
Mkuu mimi nimezaliwa chini ya km kutoka jangwani. Wakati huo kulikuwa viwanja vya mpira hapo, vingi sana. Hata Simba walikuwa wanafanya mazoezi mara moja moja tena hapo ilipo Udart na maji yalikuwa hayafuriki viwanjani hata mvua inyeshe vipi.

Kabla ya udart kulikuwa na yard ya Kajima (japanese construction company) wamekaa miaka mingi sana. Sababu ya hayo mafuriko ni mto kujaa uchafu na kina kupungua. Upande wa muhimbili hapo palikuwa plain na mchanga mweupe kama wa bahari ndio maji yakizidi mtoni yanakaa hapo sasa hivi kuna takataka na magugu kibao.

NEMC inabidi wafanye kazi sana.
 
Punda afe mzigo wa bwana ufike, kazini lazima paendeke kwa baadhi ya wenzetu wanafanya kazi kwa wa wekezaji wetu kutoka Bombey lazima watinge job kwa muda ukizingatia wamewekiwa punch machine ndoh balaa!!!
 
Mna raha kweli watu tuna miezi 6 bila tone la mvua huku
 
Mna raha kweli watu tuna miezi 6 bila tone la mvua huku
 
Punda afe mzigo wa bwana ufike, kazini lazima paendeke kwa baadhi ya wenzetu wanafanya kazi kwa wa wekezaji wetu kutoka Bombey lazima watinge job kwa muda ukizingatia wamewekiwa punch machine ndoh balaa!!!
Huku kwetu njia hazipitiki labda kama una tractor!
 
Hahaha aa una bahati hujaajiriwa na kanjibay maana ungepata akili ya kufika eneo la kazi maana wale wajinga wanajifanyaga hawajuagi matatizo ya kijamii
Leo im working from home!
 
Hii mvua inanyesha Jiji zima na vitongoji vyake kuanzia chanika, gongo la mboto, Buguruni, ubungo, tabata, k/koo, mbagala, kigamboni, tegeta ,goba , mpiji, mbweni, mbande , kisewe. , kitonga, mvuti, chamazi, kimboka, msasani, wailes, oysterbay , masaki, tuangoma, pugu kajiungeni, pugu dampo, karakata, Buza, kwa rulenge, kwa bibi nyau, manzese , tandale popobawa, kwa mfuga mbwa, Maputo, kidogo fresh,mwenge , narung'onmbe, kibada, masaki, kwa wahaya, external, mwananchi, mabibo, kisukuru, kote huko nimepita kuna booonge la mvua.

Bagamoyo ndio aibu
 
Back
Top Bottom