Muziki wa taarabu....!!

Muziki wa taarabu....!!

DC

Wenyewe wanakwambia "wanapenda kikweli" kama huyu


Si kitu kunipuuza, kwako tamaa sikati
Fikira sitogeuza, moyo wangu madhubuti
Nilani utavyoweza, lakini sikubanduki

Anaependa kikweli, hachoki kuvumilia
Habadilishi kauli, hata ukimchukia

* Wivu ni kidonda sijaipata youtube @-@

ANAEPENDA KIKWELI ~~~ zanzibar taarab - YouTube

Mhhh,

Huyu nadhani hapa anawaongelea wale ambao wakishasota wanaamua kutumia ile excuse aliyokuwa anajadili MJ1...

Kama anakutesa unavumilia ili iweje??
 
nahodha akae mbele,abiria tuwe nyuma,tupige vigelegele tukishafika salama....hii taarabu ni kali kwa kweli yaani mpaka mistari yake nimeisahau lol..
 
AT akimshirikisha Nyota Ndogo - Mpishi

Penda sana mimi huyu mdada!

 
Last edited by a moderator:
AT akimshirikisha Nyota Ndogo - Mpishi

Penda sana mimi huyu mdada!

Unatuletea chakacha/mduara kwenye muziki wa taarab....maa khussat?! lolz


Hawa wanataka thread yao pekee
 
DC

Wenyewe wanakwambia "wanapenda kikweli" kama huyu


Si kitu kunipuuza, kwako tamaa sikati
Fikira sitogeuza, moyo wangu madhubuti
Nilani utavyoweza, lakini sikubanduki

Anaependa kikweli, hachoki kuvumilia
Habadilishi kauli, hata ukimchukia

* Wivu ni kidonda sijaipata youtube @-@

ANAEPENDA KIKWELI ~~~ zanzibar taarab - YouTube

Naona G huku una upenzi wa hali juu 🙂🙂 Nyingine zilipendwa hii hapa

 
Last edited by a moderator:
Shakila ananikosha na hii-Kifo cha Mahaba

Kifo cha mahaba, kina idhilali
Hakina haiba, wala afadhali
Bali tajikaba, nifilie mbali

KIFO CHA MAHABA [HD] - YouTube

Kweli wewe mpenzi tena wa hali ya juu. Haya kibao kingine hiki ambacho kama sikosei kilipata umaarufu mkubwa sana hata Wanaume wasiopenda taarab 🙂🙂 walikuwa wanaupenda kuusikia kila ukipigwa RTD.

 
Last edited by a moderator:
hapo umeongea jamaa maana humu humu bwana uchelewi kuambia unapendelea u daudi kameruni..
 
Kuna taarab fulani siujui jina, zipo kama mbili hivi,
moja inahusiana na mdada mmoja anamchimba mkwara mwenzake aachane na mme wake, kila ukimuona shemeji yako huchelewi kujipitisha............... nitakuadabisha- unaitwaje huu wimbo??
wa pili ni wa Aisha Mashauzi, kuna sehemu fulani ya huo wimbo alikuwa anaimba alafu analazimisha sauti fulani hivi ya bezi, mistari siikumbuki, aujuae huu wimbo pia anijuze!!
 
Kuna taarab fulani siujui jina, zipo kama mbili hivi,
moja inahusiana na mdada mmoja anamchimba mkwara mwenzake aachane na mme wake, kila ukimuona shemeji yako huchelewi kujipitisha............... nitakuadabisha- unaitwaje huu wimbo??
wa pili ni wa Aisha Mashauzi, kuna sehemu fulani ya huo wimbo alikuwa anaimba alafu analazimisha sauti fulani hivi ya bezi, mistari siikumbuki, aujuae huu wimbo pia anijuze!!

huo wimbo unaitwa hata bado hujanuna wa jahaz
 
maripota nawatuma wa runinga na magazeti mda wa kugombana sina mpeni yangu ripoti
majira ya nukta yashapanda jua la utosi bado lako litakuwakia
ninavyohisi mji ushakushinda
funga fungasha virago vyako umeshafulia
nilitafuta muhisani ww nikakukumbatia
ngamia nilikudhani kwa mwendo ukitembea
kumbe una tabia za mbwa ungamia uliuvaa hata nyororo ningekufunga bado ungeniwangia
MWIMBAJ:HANIFA MAULID
WIMBO;MAKAVU LIVE
 
kuna taarab fulani siujui jina, zipo kama mbili hivi,
moja inahusiana na mdada mmoja anamchimba mkwara mwenzake aachane na mme wake, kila ukimuona shemeji yako huchelewi kujipitisha............... Nitakuadabisha- unaitwaje huu wimbo??
Wa pili ni wa aisha mashauzi, kuna sehemu fulani ya huo wimbo alikuwa anaimba alafu analazimisha sauti fulani hivi ya bezi, mistari siikumbuki, aujuae huu wimbo pia anijuze!!

isha mashauz-si bure una mapungufu
ndo jina la wimbo
 
Back
Top Bottom