Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,648
- Thread starter
- #81
Mzee DC, Mie sio mtaalam wa Taarab but the little I know I Love and appreciate... hii ni moja ya Music hapa JF inakua rarely listed to or discussed, hopefully hii thread itaendelea na Music ya taarabu Worthwhile zitazidi miminika....
Inatia moyo kuona kwamba kuna walau watu wachache wanaotambua kuwa huu muziki ni muhimu sana na unabeba utambulisho wetu kama watu wa A Mashariki....Hili ni muhimu sana kulitambua.
Naomba tundelee kupata maoni ya wadau!!