kuna mambo mengine huwa ni ya kufikirika tu halafu watu tunataka kuyafanya ndo uhalisia...gays na taarab, wapenda taarab ni watu wa kurushiana maneno/usutwe nk.
hebu Gee enedelea kutuonyesha upande mwingine wa taarab, muziki bila jasho!!!
Hivi wale mabwabwa wa marekani na ulaya na wao wanahusikaje na taarab??
Unajua labda gays wanapenda taarab kutokana na historia yake. Zamani ulikuwa ukichukuliwa ni muziki wa kike. Sio wasikilizaji, ila wachezaji pamoja na matumizi yake. Wanawake wakitaka kutuma ujumbe kuwa sasa ana mpenzi anatumia taarab, akitaka kusema anaonewa, anatumia huo huo. So umekuwa mziki ambao wanwake wanautumia kisawa sawa kama meneno kwenye khanga-lolz
Sawa wao wakitumia taarab wanajiona na wao wanawake kweli kweli
Anyway leo acha tuangalie na pande nyengine ya taarab
Tena kwa matao, vingi huvi beza, bila ya kuwaza
wapendacho wao, kikiwapendeza, sifa hueneza
mikononi mwao, chongo ni kengeza, huipa na tunza
zile ila zao, ukiwasemeza, hima huzimeza
Na watende wao, kitenda wenzao, ati huwa mwao
na watende wao, ati huwa mwao, kitenda wenzao