muwekezaji anahitajika ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

muwekezaji anahitajika !

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by duara, Nov 15, 2010.

 1. d

  duara Member

  #1
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wanabodi nawasalimu,
  nimepata mradi ULIONIZIDI KIMO ambao nina uzoefu nao kiutaalam,
  kwa kawaida (kutokana na uzoefu ) profit margin inarange kati ya 40-55%
  NATAFUTA MUWEKEZAJI (MSHIRIKA WA KIBIASHARA) AMBAYE ATAKUWA TAYARI TUFANYE MAKUBALIANO YA UENDESHAJI KWA PAMOJA,AMBAPO ATALAZIMIKA KUWEKEZA FEDHA KWA AJILI YA MRADI.
  majadiliano na maelekezo juu ya mradi yanapatikana .
  Natanguliza shukrani.
  0713 599509
   
 2. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Angalia kwenye akaunti yako nim PM
   
 3. d

  duara Member

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  asante sana.
  karibu.
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Ili kupunguza usumbufu, unaweza kutoa hint kidogo juu ya aina ya mradi, kiwango cha uwekezaji kinachohitajika na sifa na idadi ya wanahisa/washirika unaokusudia kuwa nao.
   
 5. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #5
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Dokeza mradi uko kwenye sekta gani.
   
 6. M

  Malila JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  kama umeweka mafichoni maelezo ya mradi mimi naona hututendei haki, weka peupe kila kitu kama ulivyoweka hoja yako peupe.

  Ni maoni mkuu.
   
 7. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupe synopsis tuamue kusonga nawe mbele au tuishie hapo, wenginge ni mashekh isje kuwa unataka kuuza kiti moto!
   
 8. d

  duara Member

  #8
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ok wadau,nawashukuru kwa kujitokeza ili kupata details za mradi.
  mradi ni wa civil works ( excavation of trench (uchimbaji wamtaro),cable laying (uwekaji wa kebo) na backfilling (ufukiaji) ya optic fiber cable,
  idadi ya wawekezaji inategemeana na kiasi cha fedha nitakachokubaliana na wawekezaji wa mwanzo watakaojitokeza. Eneo nililonalo la kufanyia kazi (eneo linalotakiwa kuchimbwa mtaro) naweza kuliongeza kulingana na mwitikio (idadi) wenu wawekezaji.
  Thanks kwa mwanabodi mmoja ambaye tumeshaanza mchakato wa makubaliano naamini tutafikia kwenye makubaliano yenye manufaa kwa pande zote.

  Thanks in advance.
   
 9. d

  duara Member

  #9
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ok wadau,nawashukuru kwa kujitokeza ili kupata details za mradi.
  mradi ni wa civil works ( excavation of trench (uchimbaji wamtaro),cable laying (uwekaji wa kebo) na backfilling (ufukiaji) ya optic fiber cable,
  idadi ya wawekezaji inategemeana na kiasi cha fedha nitakachokubaliana na wawekezaji wa mwanzo watakaojitokeza. Eneo nililonalo la kufanyia kazi (eneo linalotakiwa kuchimbwa mtaro) naweza kuliongeza kulingana na mwitikio (idadi) wenu wawekezaji.
  Thanks kwa mwanabodi mmoja ambaye tumeshaanza mchakato wa makubaliano naamini tutafikia kwenye makubaliano yenye manufaa kwa pande zote.

  Thanks in advance.
   
 10. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Safi sana kwa kutupa maelezo mafupi,Mimi nimeagiza Excavator ina jembe la kuchimba mtaro nyuma na mbele ni kijiko,Tuwasiliane.Je unayo construction company Tayari?if yes is it Registered?Umeshaandika Business Plan ya huo mradi?
  unaweza kuni PM or Kujibu hapa
   
Loading...