Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Kuna jamaa hapa alikuwa anatoa ushauri kwa wadada eti Acheni kuwa mnakubali wanaume wengine wakati bado uko involved na mwanaume mwingine...demu kampa jibu eti kwani Ukienda kununua kiatu unaenda peku? Nimecheka nusu nizimie...watu sijui huwa wanatoa wapi majibu khaaa *