Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,842
- 5,068
Tupo pamoja 🙏🏽Sawa mkuu asante kwa maelezo yako lakini, naamini yatanisaidia na kusaidia wengine mapema siku ikitokea.
Tupo pamoja 🙏🏽Sawa mkuu asante kwa maelezo yako lakini, naamini yatanisaidia na kusaidia wengine mapema siku ikitokea.
Pole mkuu ndio changamoto Cha utafutaji hizo......asubuh ukiamka jitahidi uende hospitalUsiku umekuwa mrefu sana asee
Pamoja mkuu.Pole mkuu ndio changamoto Cha utafutaji hizo......asubuh ukiamka jitahidi uende hospital
Watanzania mmerogwa ndio maana CCM wako madarakani mpaka sasa.Nimeenda Duka la dawa nikapewa dawa aina tatu zote nimeanza kutumia mchana lakini hakuna hafadhali
Asante mkuu, ninafanya hivyo hii asubuhi.Watanzania mmerogwa ndio maana CCM wako madarakani mpaka sasa.
Aliyekuambia duka la dawa Kuna Daktari ni nani? Hayo maduka naweza hata nikachukua beki 3 nikam train nikamuweka na akauza dawa vizuri tu, jengeni mazoea ya kufika hospital vya bure gharama.
Dawa za maumivu tuuAsante mkuu, na hakuna njia naweza kufanya kutuliza maumivu huu usiku?
Asante mkuu nipo zahanati hapa nasubiri huduma.Dawa za maumivu tuu
Nenda hospital 🏥 kafanyiwe vipimo, Chanzo kijulikane na kitibiwe. Huwezi kupona kwa kutibu dalili
Nimekwenda zahanati mkuuu, nishapewa dawa (bila vipimo) naitumia nikiona hali ni ile ile itabidi kesho niende mjini kwenye hospitali kubwa.Nenda hospital 🏥 kafanyiwe vipimo, Chanzo kijulikane na kitibiwe. Huwezi kupona kwa kutibu dalili
Asante mkuu nimepewa dawa zahanati nazitumia.Pole Sana -usikose kuleta mrejesho Mkuu.
Naendelea vizuri mkuu, usingizi uliniiba kama lisaa hivi nyuma ndio nashtuka sasa naamini usiku wa leo utapita vyema.Muimba SINGELI vipi unaendeleaj
Daah pole kakaNaendelea vizuri mkuu, usingizi uliniiba kama lisaa hivi nyuma ndio nashtuka sasa naamini usiku wa leo utapita vyema.
Kama ukipita vibaya tena kesho nitaingia manispaa kutafuta vipimo.
Pamoja Pamoja mkuu.Daah pole kaka