Muwasho wa mwili unanitesa, msaada ndugu zangu

Muwasho wa mwili unanitesa, msaada ndugu zangu

Asubuhi nikiwa baharini kwenye shughuli zangu nilipatwa na kiwashi, ni kiwashi cha rangi ya njano ambacho hujificha kwenye mwani wa bahari.

Nimeenda Duka la dawa nikapewa dawa aina tatu zote nimeanza kutumia mchana lakini hakuna hafadhali maumivu ndiyo yanazidi (hasa huu usiku) mwili unawasha na kuchomachoma kwa wakati mmoja.
Hakuna njia ambayo naweza kuitumia kutobu hii wakuu?

Hapa penyewe najinyonga nyonga na kujiwasha na sijui nafanya nini.

Mshana Jr Harmful Dogoli kinyamkela na wengine wote msaada tafadhali.
Wahi kumuona Daktari, usije kuota fangasi na kuanza kufanana na sokwe bure.
 
Back
Top Bottom