Muwa ni tunda?

asante kwa ufafanuzi yakinifu.
 
Kum
Nikiangalia sifa za tunda naona kama muwa una sifa baadhi za tunda lakini bado najiuliza inawazekanaje tunda likawa na umbo kama fimbo ilhali matunda mengi yana umbo la mviringo?
Kumbe kinachokupa shida ni umbile, sio faida zake. Ila naomba nami unijibu hili kwanini uulize muwa ni tunda na usifananishe na jamii nyingine za vyakula?
 
Tetramelyz ndio ametoa jibu linalostahili,muwa si tunda bali ni mmea jamii ya nyasi unaoweza kudumu(kuishi)zaidi ya miaka miwili(perennial grass plant).kuna aina mbili za mimea; (1) annual plants na (2)perennial plants.Annual plants ni mimea yote ile isiyoweza kuishi zaidi ya mwaka mmoja kwa mfano maize plant au mkaranga ni mmea ambao ukishazaa matunda hufa na hauwezi kuzaa tena na perennial plants ni ile inayoweza kuishi zaidi ya miaka miwili mfano muembe mchungwa na mkorosho ni mimea inayoweza kuzaa matunda bila ya kufa na kuishi zaidi ya miaka miwili.
 
Ni jamii ya matunda
Hapana muwa si mmea jamii ya matunda bali ni mmea wa jamii ya nyasi unaoweza kuishi uku ukizaa kwa zaidi ya miaka miwili(a perennial grass plant)
 
Kum
Kumbe kinachokupa shida ni umbile, sio faida zake. Ila naomba nami unijibu hili kwanini uulize muwa ni tunda na usifananishe na jamii nyingine za vyakula?
Hauwezi kuwa jamii ya vyakula kwa sababu haupikwi.
 
Thank you very much kwa uchambuzi.
 
Tunda ni zao la ua ambalo lazima liwe na sehemu kama zinavyoonekana kwenye picha, kama ovule, sepal, petal n.k. Kitu chochote ambacho hakitokani na ua sio tunda.
Kwa asili, matunda mengi yana fructose (sukari) pamoja na acid kitu ambacho muwa hauna. Ukisoma food storage, utagundua kuwa chakula kinaweza kuhifadhiwa na mmea kwenye seed, roots, au stem. Muwa kama mti, huhifadhi chakula chake kwenye stem, wakati mti kama muhogo huifadhi chakula chake kwenye mizizi na n.k.
So dont be twisted, muwa sio tunda...
 
Last edited:
Nyie vipi ubishi wa nini??? Muwa ni msosi/chakula basiii!
 
Last edited:
Mkuu ni kweli matunda yana sukari lakini si sucrose,sucrose(non-reducing sugar or disaccharide )ni aina ya sukari iliyoundwa kwa muunganiko wa glucose na fructose monomers na naturally inapatikana kwenye vitu viwili tu maziwa na maji ya miwa na matunda mengi yana reducing sugar kama vile glucose,galactose na fructose na si sucrose.
 
Muwa ni aina ya nyasi. Tunda moja ya sifa zake ni kuwa na mbegu/seed either ndani yake au kwenye tunda lenyewe
 
 
Nikiangalia sifa za tunda naona kama muwa una sifa baadhi za tunda lakini bado najiuliza inawazekanaje tunda likawa na umbo kama fimbo ilhali matunda mengi yana umbo la mviringo?
Tango nalo linaumbo gani? Nalo ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…