Muungano ukivunjika

Muungano ukivunjika

Wapemba na waunguja wooteeeeeeee warudi kwao. hili nalo mlitambue sio mnangngana na muungano uvunjike tu. Wallah hadi makaburi ya ndugu zenu mliowazika bara mtayabeba mgongoni.
Toba, kumbe ukizoea kula nyama ya mtu huwezi kuacha ‍♂️‍♂️‍♂️
 
Wapemba na waunguja wooteeeeeeee warudi kwao. hili nalo mlitambue sio mnangngana na muungano uvunjike tu. Wallah hadi makaburi ya ndugu zenu mliowazika bara mtayabeba mgongoni.
Mkuu mbona umepanic, kwani kutoa maoni yake ya moyoni limekua kosa? sio lazima tukubaliane nae, na halazimishwi kukubaliana nasi, by the way, wanaweza ishi kwa visa na resident permits , na sijawahi ona makaburi yakafukuliwa watu wakitengane hata korea kusini na kasikazini walipotengana halikutokea hilo unalosema , usichochee watu, yeye katoa anavyofikiri na sio lazima awe sahihi
 
zanzibar enyewe elimu hakuna ..kisiwa kidogo mpaka mchanga wa kujengea unakosekana ..umaskini mkubwa mnao..yani zanzibar iko.kama vingunguti .vichochoro vitupu afu mwataka kujitenga ..na kila kitu mnatutegemea sisi wa bara
 
Nchi ya Ugiriki hakuna mchanga wa kujengea,kuna meli maalumu za kubebea mchanga wanaoagiza kutoka nchi jirani,...hoja mbovu,Wazanzibari wajitenge tu kama hawawezi hata kuuza sukari Tanganyika huu Mungano wa nini..
 
zanzibar enyewe elimu hakuna ..kisiwa kidogo mpaka mchanga wa kujengea unakosekana ..umaskini mkubwa mnao..yani zanzibar iko.kama vingunguti .vichochoro vitupu afu mwataka kujitenga ..na kila kitu mnatutegemea sisi wa bara

Hatuko kwenye hoja ya elimu, Rais wako hata english hajui lakini anakutawala. Umaskini watu wa bara ndio umeenea. Angalia omba omba huko kwenu walivojazana. Kuna nchi zina watu laki 3 na wamejitawala wako UN.

Akili mbovu kabisa sijui nani anamtegemea mwenzake anaeuza sukari 110,000 na anaeuza 65000. Wazanzibar hawahitaji chochote kutoka Tanganyika muungano uvunjike ndio mtajua. Na wazanzibar wanataka hilo kwa kujiamini sio kubahatisha.
 
Habari ndio hio.
IMG-20180530-WA0005.jpg
 
one incontrovertible truth,ukweli usiopingika - anguko la CCM ndio mwisho wa muungano. Muungano wa kulazimisha kwa nguvu za jeshi tofauti na Muungano wa maridhiano.
 
zanzibar enyewe elimu hakuna ..kisiwa kidogo mpaka mchanga wa kujengea unakosekana ..umaskini mkubwa mnao..yani zanzibar iko.kama vingunguti .vichochoro vitupu afu mwataka kujitenga ..na kila kitu mnatutegemea sisi wa bara
tmp-cam--129113046.jpg
 
Mie Mzanzibari wa kutoka Wesha Pemba
Ukiwa tutashinda hii case, Sijajua hatua zitakazo fuata, kwa sababu mimi sio mtu wa sheria, lkn naamini ya kwamba, muungano utafikia kikomo chake kwa sababu huu Muungano ni maigizo, na fidia watalipa. Subiri tu
 
Back
Top Bottom