Mungano utafika kikomo chake sio kwa kesi kama hiyokwani sifikirii kama watawala wa CCM watakubali kutoa nchi kirahisi hivyo,kama waliweza kukataa kuwapa wazanzibari haki yao ya waliomchagua,wakahairisha matokeo...Labda hao waliofungua hiyo kesi wana na Plan BUkiwa tutashinda hii case, Sijajua hatua zitakazo fuata, kwa sababu mimi sio mtu wa sheria, lkn naamini ya kwamba, muungano utafikia kikomo chake kwa sababu huu Muungano ni maigizo, na fidia watalipa. Subiri tu
Mkuu mbona umepanic, kwani kutoa maoni yake ya moyoni limekua kosa? sio lazima tukubaliane nae, na halazimishwi kukubaliana nasi, by the way, wanaweza ishi kwa visa na resident permits , na sijawahi ona makaburi yakafukuliwa watu wakitengane hata korea kusini na kasikazini walipotengana halikutokea hilo unalosema , usichochee watu, yeye katoa anavyofikiri na sio lazima awe sahihi
Usifikiri kuwa hii issue itaisha hapa bongo, itaenda hadi United nations ambapo tawi lake lipo uk, haki itapatikana tu, usiwe na wasi, hii sio siasa. [emoji111]Mungano utafika kikomo chake sio kwa kesi kama hiyokwani sifikirii kama watawala wa CCM watakubali kutoa nchi kirahisi hivyo,kama waliweza kukataa kuwapa wazanzibari haki yao ya waliomchagua,wakahairisha matokeo...Labda hao waliofungua hiyo kesi wana na Plan B
Usijali hata hizi barabara za mkapa na Nyerere huku Zanzibar watakuja kuzi ng'oaHizo ni chuki za wayahudi na wale wanaomini apartheid. huyo aliyendika hivyo kuwa atawaondoa wazanzibari na makaburiu yao ni fala, mse.nge. wa kutupwa. Hatutajali hilo likifanyika alimradi maslahi ya znz kwanza. Hatufukuziki. Upooo.
Ww unafkiria vita tu???Issue Ni uwezo wa bajeti Zanzibar hawana uwezo huo kifedha karafuuu tu unategemea zigharimie hiyo bajeti ikiwemo bajeti ya ulinzi ya jeshi la Zanzibar? karafuuu ya mwaka mzima ya Zanzibar ina uwezo wa kununua ndege Moja tu ya kivita ambayo Ni mtumba yaani used kwa kiingereza.Na ikinunuliwa mishahara wanajeshi Na polisi hawatalipwa hata shilingi Mia
Unaskia but hujaonaNaskia mkipiga kura ya maoni waunguja asilimia 89 watasema wanahitaji muungano na asilimia 75 ya wapemba hawahitaji muungano
hizo meli wanazo?ili ujitenge watakiwa walau uwe umejizatiti kila idara..sasa wao hata umeme hawana wamechukua huku..mabadiliko ya hali ya hewa yanasababisha kisiwa kinazid kua kidogo jumlisha na populition kuongezeka kila siku..hao watu watakaa wapiNchi ya Ugiriki hakuna mchanga wa kujengea,kuna meli maalumu za kubebea mchanga wanaoagiza kutoka nchi jirani,...hoja mbovu,Wazanzibari wajitenge tu kama hawawezi hata kuuza sukari Tanganyika huu Mungano wa nini..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana wakasema wanataka kujitenga kutokana na dhulma wanazofanyiwa na bara, umaskini wa znz kwa kiasi kikubwa umesababishwa na bara kwa roho mbaya zaozanzibar enyewe elimu hakuna ..kisiwa kidogo mpaka mchanga wa kujengea unakosekana ..umaskini mkubwa mnao..yani zanzibar iko.kama vingunguti .vichochoro vitupu afu mwataka kujitenga ..na kila kitu mnatutegemea sisi wa bara
Ata wabara wapo wengi wanalimaafu ukiangalia wapemba wengi wanaishi bara kuliko watu wa bara kuishi huko..
afu hawana cha maana zaid ya majengo ya wakoloniunaongelea nchi ambayo kila siku inapungua kwa kumegwa na bahari, zile nyumba ilala na kariakoo itabidi mzibebe mrudi nazo bila kusahau wale mliolowea mikoani mkijifanya kulima ndio utakuwa mwisho wa kusoma bure na kodi mnayolalamika kuwa mnalipa mkileta vitu huku bara itakuwa maradufu na lile zuio la kuuza chakula nje litawahusu pia wasitegemee watakuja kuchukua dhahabu, magogo yetu na kuyauza nje na pia ajira walizokuwa wakibebwa kwa mwamvuli wa muungano zitaisha hata wachezaji wanaotoka bara kwenda huko inabidi wahamishwe kimataifa na wachezaji wao wanaocheza huku watahesabiwa kama wachezaji wa kigeni mwisho wakigombana wakimbilie oman wasije huku kudai ukimbizi
Comment zako nyingi zinaonekana ni za busara sana, RESPECT KWAKO BROMimi sishangai kabisa, hakuna kisichowezekana kama ilivyokuwa Swaziland leo ni Eswatini hahaha.. hakuna ajuaye kesho.
Unaandikia mate mkuuhizo meli wanazo?ili ujitenge watakiwa walau uwe umejizatiti kila idara..sasa wao hata umeme hawana wamechukua huku..mabadiliko ya hali ya hewa yanasababisha kisiwa kinazid kua kidogo jumlisha na populition kuongezeka kila siku..hao watu watakaa wapi
Kumbe Mafuta & gesi siku hizi sio vya maana?afu hawana cha maana zaid ya majengo ya wakoloni
Na nyinyi hivyohivyo kinyume chakeunaongelea nchi ambayo kila siku inapungua kwa kumegwa na bahari, zile nyumba ilala na kariakoo itabidi mzibebe mrudi nazo bila kusahau wale mliolowea mikoani mkijifanya kulima ndio utakuwa mwisho wa kusoma bure na kodi mnayolalamika kuwa mnalipa mkileta vitu huku bara itakuwa maradufu na lile zuio la kuuza chakula nje litawahusu pia wasitegemee watakuja kuchukua dhahabu, magogo yetu na kuyauza nje na pia ajira walizokuwa wakibebwa kwa mwamvuli wa muungano zitaisha hata wachezaji wanaotoka bara kwenda huko inabidi wahamishwe kimataifa na wachezaji wao wanaocheza huku watahesabiwa kama wachezaji wa kigeni mwisho wakigombana wakimbilie oman wasije huku kudai ukimbizi
Kila kitu kitaenda step by step mjomba, muungano ukivunjika ni kuwa znz inajitoa kwenye umaskini kwa hio itachukua muda kujitenga kiuchumihizo meli wanazo?ili ujitenge watakiwa walau uwe umejizatiti kila idara..sasa wao hata umeme hawana wamechukua huku..mabadiliko ya hali ya hewa yanasababisha kisiwa kinazid kua kidogo jumlisha na populition kuongezeka kila siku..hao watu watakaa wapi