Muungano ukivunjika

Muungano ukivunjika

Karume aliposema koti likikubana unalivua akauliwa..Jumbe akafungiwa miaka yote Mjimwema...Maalim Seif akawekwa kizuizini....Wahenga tunataka kujua kuna siri gani Zanzibar mpaka Tanganyika wako tayari kupeleka jeshi kuwatishia...
Ni roho mbaya za kushamba za ccm wadanganyika.
 
N
Karume aliposema koti likikubana unalivua akauliwa..Jumbe akafungiwa miaka yote Mjimwema...Maalim Seif akawekwa kizuizini....Wahenga tunataka kujua kuna siri gani Zanzibar mpaka Tanganyika wako tayari kupeleka jeshi kuwatishia...
Ndoa yetu na nyie ni ya kikatoliki, sie ni mwili mmoja. Ni kifo peke yake kitakachotutenganisha.
 
Issue Ni uwezo wa bajeti Zanzibar hawana uwezo huo kifedha karafuuu tu unategemea zigharimie hiyo bajeti ikiwemo bajeti ya ulinzi ya jeshi la Zanzibar? karafuuu ya mwaka mzima ya Zanzibar ina uwezo wa kununua ndege Moja tu ya kivita ambayo Ni mtumba yaani used kwa kiingereza.Na ikinunuliwa mishahara wanajeshi Na polisi hawatalipwa hata shilingi Mia
 
Issue Ni uwezo wa bajeti Zanzibar hawana uwezo huo kifedha karafuuu tu unategemea zigharimie hiyo bajeti ikiwemo bajeti ya ulinzi ya jeshi la Zanzibar? karafuuu ya mwaka mzima ya Zanzibar ina uwezo wa kununua ndege Moja tu ya kivita ambayo Ni mtumba yaani used kwa kiingereza.
Ahhha hahaha vipi utalii
 
Zanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake na kuwa member wa East Africa community
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Zanzibar kuwa na sarafu yake.
Zanzibar kuwa na wizara yake ya elimu,
Zanzibar kuwa na wizara ya Anga
Zanzibar kuwa na bank kuu.
Zanzibar kuwa na jeshi lake coast guard

Wizara hizi zote zina ajira zaidi ya 10,000 ni faida kwa wazanzibari.

Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania .

Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.

Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.

Insha Allah
Siku mlipokubali kuungana na sisi ndio siku mlipokula kiapo cha milele.

Hata kama sasa hivi hamtaki muungano, sisi tunautaka.

Tuvumiliane tu, our union is here to stay!

 
Ahhha hahaha vipi utalii
Hakuna kitu utalii unategemea msimu wa Hali ya hewa Ulaya Na marekani.Na hauzidi miezi viwili sio high season mwaka mzima hamna kitu pesa yote ya utalii waweza nunua viifaru vitano tu vipya vya kisasa vya kivita kwa mwaka Na wakinunua wafanyakazi wa serekali mishahara wasahau sababu inategemea hela ya utalii
 
Wapemba na waunguja wooteeeeeeee warudi kwao. hili nalo mlitambue sio mnangngana na muungano uvunjike tu. Wallah hadi makaburi ya ndugu zenu mliowazika bara mtayabeba mgongoni.
Na baada ya miaka 50+ Global warming kakisiwa kao kanazama wasije tena kuanza kutaka kurudi huku. Wazame nako huko huko dadeki
 
CCM wiil never hand it over to you on a silver platter, you people need to grow some balls and demand your country back!!!!
 
Wenzenu wanazidi kuungana nyie mnafikiria kutengana!! Badala ya kufikiri ni vipi tunaweza kwenda hatua kubwa zaidi katika umoja wa EA tunafikiria kuadd member mwingine Zanzibar!

Hakuna kinachozuia Zanzibar kuendelea ambacho kinakwamishwa na muungano, achilia mbali fikra za jumuiya za misaada.

Nchi inajengwa kupitia rasilimali zake. Leo mafuta yakipatikana Zanzibar yatabaki kuwa ya Zanzibar na hakuna la kubadili hilo. Umoja wetu ndio nguvu yetu, msidanganywe!
Mbona hizi "Artificial Unions" zimeshakufa nyingi tu hapa duniani? Ile ya USSR, Yugoslavia, Senegambia, United Arab Republic, Rep of Somalia, Ethiopia/Eritrea Nk. Hii haitakuwa "Exception" and time will tell.
 
Umesahau kitu kimoja. Sarafu . Tutakuwa na sarafu yetu pia pamoja na monetary and fiscal policy
Umesahau kuwa baada ya mwaka mmoja hakutakuwa na zanzibar tena, kutakuwa na nch ya pemba na nchi ya unguja, sijui ndo mtajiita zanzibar. Mtashindwa hata kujilipa mishahara sembuse kuendesha jeshi. Wazanzibr watafurika visiwan hasa wale watakaofukuzwa bara. Sielewi kama mnajua idadi yenu kamili ukijumlisha na hawa walioko bara.
 
Karume aliposema koti likikubana unalivua akauliwa..Jumbe akafungiwa miaka yote Mjimwema...Maalim Seif akawekwa kizuizini....Wahenga tunataka kujua kuna siri gani Zanzibar mpaka Tanganyika wako tayari kupeleka jeshi kuwatishia...
Unadhan muungano huu unawafaidisha vip watu wa bara. Tatizo lenu kulia lia tu. Vunjen tuone kama nyie wanaume. Sisi kwetu ni nafuu sana muungano huu ukivunjika
 
Hivi likija swala la Referendum watachagua serikali ya mkataba au serikali tatu au kujitoa kabisa?!!
 
Back
Top Bottom