Ipo siku kila Mzanzibari atakuwa na hii passport, passport ya mwisho ilio tumika Zanzibar hio hapo chini, mapambano yanaendelea, tutaona tarehe 6. View attachment 789585View attachment 789587View attachment 789588
Wenzetu wanaungana kwa manufaa. Muungano Tanganyika na Znz hauna manufaa yoyote kwa wananchi isipokuwa kwa maslahi ya viongozi!.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
ila wazanzibar wabaguzi jmn dah! Mna hulka kama ya waarabu.Zanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake
Zanzibar kuwa member wa East Africa community(EAC)
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Zanzibar kuwa na sarafu yake.
Zanzibar kuwa na wizara yake ya elimu,
Zanzibar kuwa na wizara ya Anga
Zanzibar kuwa na bank kuu.
Zanzibar kuwa na jeshi lake coast guard
Zanzibar kuwa na jeshi la polisi lake
Zanzibar kuwa na usalama wa taifa
Zanzibar kuwa free port, kama dubai.
Zanzibar kuwa member wa AU
Wizara hizi zote zina ajira zaidi ya 10,000 ni faida kwa wazanzibari.
Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania.
Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.
Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.
InshaAllah
hamjui wanzanzibari walijazana huku bara wewe acha zako. Muungano ukuvunjik Znz inagawanyika inakuwa Pemba ya na Unguja ya ASP. Naujua hata na nyie ccm hamuipendi ni basi tu.Zanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake
Zanzibar kuwa member wa East Africa community(EAC)
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Zanzibar kuwa na sarafu yake.
Zanzibar kuwa na wizara yake ya elimu,
Zanzibar kuwa na wizara ya Anga
Zanzibar kuwa na bank kuu.
Zanzibar kuwa na jeshi lake coast guard
Zanzibar kuwa na jeshi la polisi lake
Zanzibar kuwa na usalama wa taifa
Zanzibar kuwa free port, kama dubai.
Zanzibar kuwa member wa AU
Wizara hizi zote zina ajira zaidi ya 10,000 ni faida kwa wazanzibari.
Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania.
Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.
Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.
InshaAllah
Hello Ilala kuna wasomali ,waganda na wakenya its just a matter of negotiation.Wapemba wauza spea ilala na Chipsi mitaani watakuwa jobless,maana forodhani haiwezi accommodate wote
Hicho kitu hakuna.Na huku kuna Watanganyika lukuki tena wamenufaika haswaaWapemba na waunguja wooteeeeeeee warudi kwao. hili nalo mlitambue sio mnangngana na muungano uvunjike tu. Wallah hadi makaburi ya ndugu zenu mliowazika bara mtayabeba mgongoni.
Kuna faida nyingi zaidi kuendelea kua na muungano kuliko kuuvunjaZanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake
Zanzibar kuwa member wa East Africa community(EAC)
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Zanzibar kuwa na sarafu yake.
Zanzibar kuwa na wizara yake ya elimu,
Zanzibar kuwa na wizara ya Anga
Zanzibar kuwa na bank kuu.
Zanzibar kuwa na jeshi lake coast guard
Zanzibar kuwa na jeshi la polisi lake
Zanzibar kuwa na usalama wa taifa
Zanzibar kuwa free port, kama dubai.
Zanzibar kuwa member wa AU
Wizara hizi zote zina ajira zaidi ya 10,000 ni faida kwa wazanzibari.
Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania.
Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.
Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.
InshaAllah
wenzenu wapi wanaoungana unaweza kututajia nchi moja tu PLEASEWenzenu wanazidi kuungana nyie mnafikiria kutengana!! Badala ya kufikiri ni vipi tunaweza kwenda hatua kubwa zaidi katika umoja wa EA tunafikiria kuadd member mwingine Zanzibar!
Hakuna kinachozuia Zanzibar kuendelea ambacho kinakwamishwa na muungano, achilia mbali fikra za jumuiya za misaada.
Nchi inajengwa kupitia rasilimali zake. Leo mafuta yakipatikana Zanzibar yatabaki kuwa ya Zanzibar na hakuna la kubadili hilo. Umoja wetu ndio nguvu yetu, msidanganywe!
musijali watanganyika mutapata kazi zenji kama vile kazi zakulima, kusafisha, kubeba mizigo bandarini za watchmanVilevile wazanzibari wote waliopo bara itabidi warudi kwao........SASA HUU UTAKUWA NI MSIBA
Ni jambo rahisi mbona wala hauhitaji PhD kuelewa.Karume aliposema koti likikubana unalivua akauliwa..Jumbe akafungiwa miaka yote Mjimwema...Maalim Seif akawekwa kizuizini....Wahenga tunataka kujua kuna siri gani Zanzibar mpaka Tanganyika wako tayari kupeleka jeshi kuwatishia...
haitokuja kutokeaMbona hizi "Artificial Unions" zimeshakufa nyingi tu hapa duniani? Ile ya USSR, Yugoslavia, Senegambia, United Arab Republic, Rep of Somalia, Ethiopia/Eritrea Nk. Hii haitakuwa "Exception" and time will tell.
Nani wanaungana Mkuu,juzi juzi tu UK(united Kingdom) imejitoa kwenye Umoja wa Ulaya,Kuungana kitu kizuri, waswahili wana sema "umoja ni nguvu".lakini kama umoja hauna manufaa unakuwa udhaifu,Muungano huu hauna tija kwa taifa,huu mungano haufai..Wenzenu wanazidi kuungana nyie mnafikiria kutengana!! Badala ya kufikiri ni vipi tunaweza kwenda hatua kubwa zaidi katika umoja wa EA tunafikiria kuadd member mwingine Zanzibar!
Hakuna kinachozuia Zanzibar kuendelea ambacho kinakwamishwa na muungano, achilia mbali fikra za jumuiya za misaada.
Nchi inajengwa kupitia rasilimali zake. Leo mafuta yakipatikana Zanzibar yatabaki kuwa ya Zanzibar na hakuna la kubadili hilo. Umoja wetu ndio nguvu yetu, msidanganywe!
We don't need Crusaders either,..Nimeona picha Magufuli,Ndugai wamevaa kanzu za kiislam,kwenye tafrija ya ubalozi wa Saudi Arabia,Nimecheke mpaka mbavu zimenibana,mkitaka kuomba misaada mnavalishwa kila kitu..😀Ni jambo rahisi mbona wala hauhitaji PhD kuelewa.
We don't need an Islamic State near our borders! Islamic States tend to be security nightmares!