Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Kwa mzanzibari wa kawaida bdo anaihitaji sana TANZANIA inayotokana na MUUNGANO WA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. Kwao hawajui habari za wanasiasa na masuala ya utawala.
Ila kwa viongozi wao ndo ambao wameshindwa kuongoza na ndo wanao idai na kuitaka zanzibar yao yenye mamlaka kamili.
Ushauri wangu kwao wote ni kuwa TANZANIA INAENDA ZAKE MTAIKUMBUKA SANA NA HAITORUDI TENA NGOOOO.
Karibu rasimu mpya karibu katiba mpya karibu TANZANIA MPYA karibu ZANZIBAR MPYA NA TANGANYIKA MPYA.